Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Utajaza mwenyewe maana naona unanisumbua tu kwa hoja za kitotoKwa hiyo inapigana na M/kiti wangu

Sasa tuambie, Chadema inampigania Nani??Utajaza mwenyewe maana naona unanisumbua tu kwa hoja za kitoto
Huo Ukweli ni Mchungu sana Kama Mtu akijaribu Kuumeza au Kuutafuna tu lazima Ateme na NyongoKwanza napenda kukujulisha kuwa uanasisa ni kazi ya kutafuta ajira. Chama kinapopata wabunge wengi na kura nyingi kinatengeza ajira kwa wanachama na viongozi. Wingi wa wabunge na kura unaongeza ruzuku kwa chama.
Chama kinaposhindwa kupata kura au wabunge mwisho wake ni kufa, kwa sababu uhai wa chama hasa katika nchi maskinbi kama TZ unategemea hasa ruzuku na labda uwekezaji wa chama. CHADEMA kama chama kichnga hakina mali au uwekezaji wowote. Kwa hiyo mategemeo yake ni ruzuku ya serkali pamoja na michango waliyokuwa wakipata toka wabunge wake.
Kurubuniwa wanachama wenye nguvu kunatokana au na siasa mbaya za kufkuzana (Zitto,Slaa) bila kujuwa na bhili hupunguza saana nguvu za chama. mCHADEMA imekuwa na msukosuko wa kuondokewa na wanasiasa wenye nguvu, aidha kwa sababu kuna watu wanakumbatiwa na wanadhani bila wao CHADEMA haitakuwepo. Kukisha kuwa na mawazo ya namna hii hukatisha tamaa viongozi wengine ambao huonekana kama wasaliti wanapojitokeza kugombea nafasi. Dr. Slaa aliondoka CHADEMA kwa sababu walimuengua kugombea na kumpa nafasi Lowasa mtu aliyejiunga na CHADEMA baada kupata matatizo kwenye chama chake. Zitto ambaye aliijenga sana CHADEMA aliwekewa mizengwa tu eti kwa sababu alitaka kugombea.
Cha ajabu CHADEMA ni haki kuwawekea wanachma wao mizengwe na kuwafukuza, lakini CCM ikiwaziodi kete maneno. Kwa nini mbowe huwa hata hataki kuwa na mpinzani? Yeye anaogopa nini watu kusimama kugombea uwenyekiti. Hivi anategemea kuwa Museveni wa CHADEMA?
Sio cha Lipumba?Chadema inaandamwa kwa sababu ndiyo chama cha kweli cha upinzani
Acha uongo Chadema chaguzi zinafanyika wazi hakuna mizengwe ya kuchukua fomu ha kugombea. Mwendazake angeruhusu kitu kama hiki hata ndani ya chama chake asingepita. Alikuqa mbovu hana uwezo.Kwanza napenda kukujulisha kuwa uanasisa ni kazi ya kutafuta ajira. Chama kinapopata wabunge wengi na kura nyingi kinatengeza ajira kwa wanachama na viongozi. Wingi wa wabunge na kura unaongeza ruzuku kwa chama.
Chama kinaposhindwa kupata kura au wabunge mwisho wake ni kufa, kwa sababu uhai wa chama hasa katika nchi maskinbi kama TZ unategemea hasa ruzuku na labda uwekezaji wa chama. CHADEMA kama chama kichnga hakina mali au uwekezaji wowote. Kwa hiyo mategemeo yake ni ruzuku ya serkali pamoja na michango waliyokuwa wakipata toka wabunge wake.
Kurubuniwa wanachama wenye nguvu kunatokana au na siasa mbaya za kufkuzana (Zitto,Slaa) bila kujuwa na bhili hupunguza saana nguvu za chama. mCHADEMA imekuwa na msukosuko wa kuondokewa na wanasiasa wenye nguvu, aidha kwa sababu kuna watu wanakumbatiwa na wanadhani bila wao CHADEMA haitakuwepo. Kukisha kuwa na mawazo ya namna hii hukatisha tamaa viongozi wengine ambao huonekana kama wasaliti wanapojitokeza kugombea nafasi. Dr. Slaa aliondoka CHADEMA kwa sababu walimuengua kugombea na kumpa nafasi Lowasa mtu aliyejiunga na CHADEMA baada kupata matatizo kwenye chama chake. Zitto ambaye aliijenga sana CHADEMA aliwekewa mizengwa tu eti kwa sababu alitaka kugombea.
Cha ajabu CHADEMA ni haki kuwawekea wanachma wao mizengwe na kuwafukuza, lakini CCM ikiwaziodi kete maneno. Kwa nini mbowe huwa hata hataki kuwa na mpinzani? Yeye anaogopa nini watu kusimama kugombea uwenyekiti. Hivi anategemea kuwa Museveni wa CHADEMA?
Hapa ndio panapo nishangaza Kuhusu CDM, badala wawaze namna ya kuchukua madaraka wanawaza watu KUFA[emoji38]Na ukiendelea kushupaza shingo kudai Chadema itakufa utapukutika kama vumbi la mbao za mnazi , waangalie wenzio waliko
HakikaAsilmia 90 ya walioiombea CHADEMA mabaya yamewapata wao
Nahisi hujaelewa kilichoandikwaNi Tanzania pekee ambayo haiwezi kufa,
Vyamavyama hivi ni rahisi Sana kufa!!
Kwa mfono mdogo tu, Ikitokea Chadema imekufa utahama nchi??
Nyie endeleeni kula ubwaba na maharage[emoji1787][emoji1787]Sisi vijana wa mzee Rungwe mbona mnatusahau sana waleta siredi
Kaa usubirie hizo ndoto zitimie..Acha uongo Chadema chaguzi zinafanyika wazi hakuna mizengwe ya kuchukua fomu ha kugombea. Mwendazake angeruhusu kitu kama hiki hata ndani ya chama chake asingepita. Alikuqa mbovu hana uwezo.
Lipumba aliingizwa kingi akaisambaratisha cuf na baada ya kufanya hivyo akatupwa kwenye dust binSio cha Lipumba?
Waambie hao MATAGA wa lumumbaAcha uongo Chadema chaguzi zinafanyika wazi hakuna mizengwe ya kuchukua fomu ha kugombea. Mwendazake angeruhusu kitu kama hiki hata ndani ya chama chake asingepita. Alikuqa mbovu hana uwezo.
Kawashangae maccm wenzako habari za cdm wachana nazo maana siyo size yako.Hapa ndio panapo nishangaza Kuhusu CDM, badala wawaze namna ya kuchukua madaraka wanawaza watu KUFA[emoji38]
Na hakuna chama kinachoitwa cha Mungu kikawa kina maombi au maono ya kutegemea watu wafe "wapukutike" ndio kishike dola.
Kweli sio size yangu[emoji38][emoji38]Kawashangae maccm wenzako habari za cdm wachana nazo maana siyo size yako.
Wewe na wao hamna tofauti maana jinsia yenu ni moja kwahiyo wewe kuwa nao siyo issueKaa usubirie hizo ndoto zitimie..
Nipo na kina Mdee hapa wanachoma nyama [emoji38]
Wewe size yako ni kina MdeeKweli sio size yangu[emoji38][emoji38]
[emoji38][emoji38]naona nimepiga mwiba wa Ta**ko tayariWewe na wao hamna tofauti maana jinsia yenu ni moja kwahiyo wewe kuwa nao siyo issue
Mwiba umeingia unatema mapovu[emoji38]Wewe size yako ni kina Mdee
Chadema imewekeza kwenye mioyo ya watu,sio kwenye majengo.Kwanza napenda kukujulisha kuwa uanasisa ni kazi ya kutafuta ajira. Chama kinapopata wabunge wengi na kura nyingi kinatengeza ajira kwa wanachama na viongozi. Wingi wa wabunge na kura unaongeza ruzuku kwa chama.
Chama kinaposhindwa kupata kura au wabunge mwisho wake ni kufa, kwa sababu uhai wa chama hasa katika nchi maskinbi kama TZ unategemea hasa ruzuku na labda uwekezaji wa chama. CHADEMA kama chama kichnga hakina mali au uwekezaji wowote. Kwa hiyo mategemeo yake ni ruzuku ya serkali pamoja na michango waliyokuwa wakipata toka wabunge wake.
Kurubuniwa wanachama wenye nguvu kunatokana au na siasa mbaya za kufkuzana (Zitto,Slaa) bila kujuwa na bhili hupunguza saana nguvu za chama. mCHADEMA imekuwa na msukosuko wa kuondokewa na wanasiasa wenye nguvu, aidha kwa sababu kuna watu wanakumbatiwa na wanadhani bila wao CHADEMA haitakuwepo. Kukisha kuwa na mawazo ya namna hii hukatisha tamaa viongozi wengine ambao huonekana kama wasaliti wanapojitokeza kugombea nafasi. Dr. Slaa aliondoka CHADEMA kwa sababu walimuengua kugombea na kumpa nafasi Lowasa mtu aliyejiunga na CHADEMA baada kupata matatizo kwenye chama chake. Zitto ambaye aliijenga sana CHADEMA aliwekewa mizengwa tu eti kwa sababu alitaka kugombea.
Cha ajabu CHADEMA ni haki kuwawekea wanachma wao mizengwe na kuwafukuza, lakini CCM ikiwaziodi kete maneno. Kwa nini mbowe huwa hata hataki kuwa na mpinzani? Yeye anaogopa nini watu kusimama kugombea uwenyekiti. Hivi anategemea kuwa Museveni wa CHADEMA?
CHADEMA ilikuwa inaenda vizuri tu hadi alipokuja tundulipssu. Akija tena, au mwingine kama yeye, kweli itakufaNimefatilia mlolongo wa njia ilizopitia CHADEMA nikagundua iliwekewa mitego mingi Sana ili ife lakini haikufa.
Iliondokewa na viongozi wake nguli walioiinua kwa mikono, jasho na damu zao lakini haikufa, wachache ni Slaa, Zitto, Kitila, Mwigamba, Arfi na msululu wa viongozi wake nguli Chadema haijafa.
Kuna watu ndani ya CCM walipanga mipango ya wazi na ya kificho ili Chadema ife wakijiapiza hadharani na mafichoni kuwa wataiua, lakini ama wao wamepoteza nafasi zao za kazi ama wao ndio wamekufa na kuiacha Chadema hai.
Kuna watu walitabiri hata mwaka kuwa ifikapo mwaka Fulani Chadema itakua historia. Naona watu hao wengine walipoteza nafasi zao za ubunge, uwaziri ama kwenye chama ama Serikalini lakini CHEDEMA ipo inadunda.
Kitu kilichonivutia Sana ni kampeni za 2020. Mgombea wa Chadema aliweka historia ya kutokuwa na bango hata moja, kutokutangazwa kwa mikutano yake mingi, kutokuwa na hela za kutosha za kampeni, kutokuwa na wasanii wakubwa na wengi, lakini mikutano yake ilikuwa ina hamasa ya Hali ya juu sana.
Chadema haijafa, kama mnabisha ruhusuni harakati za kisiasa kama zamani.
Narudia kusema waliotaka kuiua CHADEMA wamepoteza fedha za umma bure hasa kwenye operesheni manunuzi ya viongozi wake. Baadhi ya waliotaka Chadema ife hapo zamani leo hii hawapo.