Sasa nina hakika CHADEMA haitakufa tena kwa matakwa ya binadamu

Sasa nina hakika CHADEMA haitakufa tena kwa matakwa ya binadamu

Kazi yetu kutoa rambi rambi tu
Ha ha ha haa.
Wamejaribu kumchukua Mzee Mdee na wenzake,huku nyuma akina mama wanapigana vikumbo kuchukuliwa fomu za kugombea nyadhifa mbalimbali..
Kama aliyekua Amiri Jeshi Mkuu alitolewa machozi wakati wa kampeni na kuishia kuruhusu aibu ya kimataifa ya kuyatumia majeshi kukimbia na mabox ya Kura wakati alishawaaminisha watu wake kuwa keshaua upinzani je Kuna mwingine Tena zaidi ya Amiri Jeshi Mkuu katika nchi?
Chadema ikifa Mungu kapenda.
 
Chadema imewekeza kwenye mioyo ya watu,sio kwenye majengo.
Ukitaka kulifahamu kuwepo na Tume huru ya Uchaguzi na misingi ya Demokrasia ifuatwe.
Mpango wa Mungu mwanadamu hawezi kuzuia!Unapigwa Chepe, CDM inaenderea mbere.
CCM inatetewa/inalindwa na vyombo vya dola kujihami dhidi ya CDM na ndiyo salama yao.Ukitaka kuwafahamu CCM kwenye kundi la watu tamka CDM,PEOPLES, Mbowe,Lissu ama Heche!Utawaona wanavyoweweseka.
CCM ni kinyume cha Haki?Maana kila mtetezi wa Haki ataitwa CDM.
 
Ha ha ha haa.
Wamejaribu kumchukia Mzee Mdee na wenzake,huku nyuma akina mama wanapigana vikumbo kuchukuliwa fomu za kugombea nyadhifa mbalimbali..
Kama aliyekua Amiri Jeshi Mkuu alitolewa machozi wakati wa kampeni na kuishia kuruhusu aibu ya kimataifa ya kuyatumia majeshi kukimbilia na mabox ya Kura wakati alishawaaminisha watu wake kuwa keshaua upinzani je Kuna mwingine Tena zaidi ya Amiri Jeshi Mkuu katika nchi?
Chadema ikifa Mungu kapenda.
Sahihi kabisa,siyo maneno ya wanasiasa uchwara
 
Aliseme Kikwete "Fikra haipigwi rungu"

Fikra za kutaka mabadiliko ya kweli haziwezi kufa hata siku moja. Kinachobadilika ni gari tu ambalo watu wanatumia kuelekea mabadiliko. Ilikuwepo NCCR, wapenda mabadiliko wakaiamini, NCCR ilivyo-prove kwamba ni gari bovu; wakashuka wakaamia CUF, nalo lilivyokuja kuonekana halifai; watu wakaamia CHADEMA. Na siku CHADEMA ikija kupoteza direction watahama pia.

Kwa ufupi, Osama amekufa, lakini ugaidi haujaisha.
 
Ha ha ha haa.
Wamejaribu kumchukia Mzee Mdee na wenzake,huku nyuma akina mama wanapigana vikumbo kuchukuliwa fomu za kugombea nyadhifa mbalimbali..
Kama aliyekua Amiri Jeshi Mkuu alitolewa machozi wakati wa kampeni na kuishia kuruhusu aibu ya kimataifa ya kuyatumia majeshi kukimbilia na mabox ya Kura wakati alishawaaminisha watu wake kuwa keshaua upinzani je Kuna mwingine Tena zaidi ya Amiri Jeshi Mkuu katika nchi?
Chadema ikifa Mungu kapenda.
CDM inawapa CCM na viongozi wake Stress ya kiwango cha 4G.Hawana hamu,ilibidi kutumia instruments zote kujitangazia ushindi wa kishindo kifigisu figisu.Hiyo pekee ndiyo ilikuwa salama yao vinginevyo tungeshakuwa na CCM chama kikuu cha upinzani.
Muwashukuru Watanzania kuwa mazwazwa,ingekuwa kwingineko mhhh!
 
Aliseme Kikwete "Fikra haipigwi rungu"

Fikra za kutaka mabadiliko ya kweli haziwezi kufa hata siku moja. Kinachobadilika ni gari tu ambalo watu wanatumia kuelekea mabadiliko. Ilikuwepo NCCR, wapenda mabadiliko wakaiamini, NCCR ilivyo-prove kwamba ni gari bovu; wakashuka wakaamia CUF, nalo lilivyokuja kuonekana halifai; watu wakaamia CHADEMA. Na siku CHADEMA ikija kupoteza direction watahama pia.

Kwa ufupi, Osama amekufa, lakini ugaidi haujaisha.
Kwa ccm wao wanataka cdm ife hata kutajwa isitajwe.

Sasa sijui watatumia njia gani kuimaliza kama wanavyotaka wao
 
CDM inawapa CCM na viongozi wake Stress ya kiwango cha 4G.Hawana hamu,ilibidi kutumia instruments zote kujitangazia ushindi wa kishindo kifigisu figisu.Hiyo pekee ndiyo ilikuwa salama yao vinginevyo tungeshakuwa na CCM chama kikuu cha upinzani.
Muwashukuru Watanzania kuwa mazwazwa,ingekuwa kwingineko mhhh!
Pangechimbika
 
Kitu kilichonivutia Sana ni kampeni za 2020. Mgombea wa Chadema aliweka historia ya kutokuwa na bango hata moja, kutokutangazwa kwa mikutano yake mingi, kutokuwa na hela za kutosha za kampeni, kutokuwa na wasanii wakubwa na wengi, lakini mikutano yake ilikuwa ina hamasa ya Hali ya juu sana.
 
Kwiyoooo.
Nyumbu wa Ufipa mnaliwazana eti?
Haaaa,,,,hongera Bavichaa kwa kupumbazana.
 
Ni Tanzania pekee ambayo haiwezi kufa,

Vyamavyama hivi ni rahisi Sana kufa!!

Kwa mfono mdogo tu, Ikitokea Chadema imekufa utahama nchi??
"Temea chini ndugu" usikalili,sijui elimu yako wala umri wako,Wala upeo wako wa kujua Mambo.
Ingawa sipendi itokee na pia naogopa hata kuandika.
Unajua na ninakuhakikishia kuwa Tanzania inaweza kufa ndani ya saa moja tu.
Muungano unaweza kuvunjika wakati wowote ule na Tanzania ikawa Historia.
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ndio unazaa Tanzania na kwa bahati mbaya muungano wetu uko very delicate.
Pia kwa kukusaidia nakupa baadhi ya nchi zilizokufa.
Ndio maana nikatilia mashaka ufahamu wako.
1.USSR
2.Yugoslavia
3.Sudan
4.chekoslovakia
Kwa uchache.
Usikalili.
 
Nimefuatilia mlolongo wa njia ilizopitia CHADEMA nikagundua iliwekewa mitego mingi Sana ili ife lakini haikufa.

Iliondokewa na viongozi wake nguli walioiinua kwa mikono, jasho na damu zao lakini haikufa, wachache ni Slaa, Zitto, Kitila, Mwigamba, Arfi na msululu wa viongozi wake nguli Chadema haijafa.

Kuna watu ndani ya CCM walipanga mipango ya wazi na ya kificho ili Chadema ife wakijiapiza hadharani na mafichoni kuwa wataiua, lakini ama wao wamepoteza nafasi zao za kazi ama wao ndio wamekufa na kuiacha Chadema hai.

Kuna watu walitabiri hata mwaka kuwa ifikapo mwaka Fulani Chadema itakua historia. Naona watu hao wengine walipoteza nafasi zao za ubunge, uwaziri ama kwenye chama ama Serikalini lakini CHEDEMA ipo inadunda.

Kitu kilichonivutia Sana ni kampeni za 2020. Mgombea wa Chadema aliweka historia ya kutokuwa na bango hata moja, kutokutangazwa kwa mikutano yake mingi, kutokuwa na hela za kutosha za kampeni, kutokuwa na wasanii wakubwa na wengi, lakini mikutano yake ilikuwa ina hamasa ya Hali ya juu sana.

Chadema haijafa, kama mnabisha ruhusuni harakati za kisiasa kama zamani.

Narudia kusema waliotaka kuiua CHADEMA wamepoteza fedha za umma bure hasa kwenye operesheni manunuzi ya viongozi wake. Baadhi ya waliotaka Chadema ife hapo zamani leo hii hawapo.
Mbowe yuko wapi?
 
Mbona unang'aka kama nh'ungo?

Narudia tena, Ni Tanzania pekee itakayodumu, vyamavyama hivi vinamwisho wake,

Na ikitokea Chadema imekufa, Je, utajitundika??
Tanzania inaweza kufa ndugu acha kukariri maneno ya akina kibajaji.
Hujawahi kusikia nchi Fulani majimbo au mikoa inajitenga?
 
Back
Top Bottom