Sasa nina hakika CHADEMA haitakufa tena kwa matakwa ya binadamu

Sasa nina hakika CHADEMA haitakufa tena kwa matakwa ya binadamu

Ili na wengine tujue, hebu fafanua wamejiunga lini na kwa utaratib gan. Kutuelimisha kwenye hili utakua umetusaidia tusiojua.
Usitegemee kupata jibu kwa swali zuri Kama Hilo. Akikujibu ukweli kabisa wenzie watamuua maana atakua ametoa Siri kali Kama alivyotaka kuitoa Yule mwanaharakati huru mara tu CCM walivyokata Jina lake alipotaka kugombea ubunge.alisema atatoa Siri namna viongozi wa upinzani walivyokua wananunuliwa.
Kuna watu wema ndani ya CCM wakamwambia ndugu yetu kabla ya kutoa Siri hiyo andika urithi kabisa.
 
Tangu viongozi na wanachama wa CHADEMA ie. Silinde, Lijuakali, Katambi, dr Slaa, Nasari n.k waamie CCM niligundua hiki chama ni cha waganga njaa ambao wanatafuta nitoke vipi wakishapata pa kutokea haoooooooo!
Mi ningewashauri vijana kama haufaidiki na siasa achana nazo unahangaika weee unakifia chama mwishowe viongozi wanapigwa mpunga wanawasaliti.
 
Labda CHADEMA wakatae kuchukua ruzuku ya wabunge au chama. Hili kuendesha chama. Halima na wezake ndio watakao iokoa CHADEME.
 
Wao hata hawajasumbuliwa na sirikali ya jiwe,labda ile kuzuiwa kugawa rushwa ya ubwabwa wakati Wa kampeni
Ha ha ha Jiwe na CCM yake jinsi walivyo waoga waliiogopa Hadi Sera ya Hashim Rungwe wa kugawa msosi.
Waliona Sera hiyo inakua kwa Kasi ya ajabu huenda ingepunguza kura za CCM maana wafuasi wa CCM kwa kupenda kula wangehamia wote kwa Rungwe.
 
Hapa ndio panapo nishangaza Kuhusu CDM, badala wawaze namna ya kuchukua madaraka wanawaza watu KUFA[emoji38]

Na hakuna chama kinachoitwa cha Mungu kikawa kina maombi au maono ya kutegemea watu wafe "wapukutike" ndio kishike dola.
Hiki chama huwa sikielewi kinasimamia nini yani kina hoja za ajabu sana . Sasa mtu anakwambia et wanaoiombea mabaya CHADEMA wanapukutika is it really?

Mi nijuavyo adui/mshindani wa chadema sio individuals bali ni vyama vingine vya siasa eg CCM.
Kama ningekua nawashauri chadema wajikitike katika kutafuta ni namna gani watachukua majimbo mengi na nchi kama ikibidi.

Hayo mambo ya kushadadia malumbano au anguko la watu ndani ya CCM halitawasaidia unless kama ni anguko la chama na sio individuals.

Chama kupitia viongozi wake kijijenge kiwe na misingi yake kinayoisimamia na kiwafikie wananchi ili wakijua na wakichague.

Haya mambo ya kushadadia mambo madogo madogo wawaachie wanaharakati ambao hawatafti madaraka.
 
Labda CHADEMA wakatae kuchukua ruzuku ya wabunge au chama. Hili kuendesha chama. Halima na wezake ndio watakao iokoa CHADEME.
CHADEMA hawajaamua tuwachangi,wakiamua tuwachangie tuko tayari kuchanga kwa miaka ishirini ijayo.
Ndhani unatufahamu juu ya hilo.
Nadhani ukae ukiju CHADEMA inapendwa na matajiri na wasio matajiri wa nchi hii.
Na pia inapendwa na vyama rafiki ndani na nje ya afrika.
 
Hiki chama huwa sikielewi kinasimamia nini yani kina hoja za ajabu sana . Sasa mtu anakwambia et wanaoiombea mabaya Chadema wanapukutika is it really?
Mi nijuavyo adui/mshindani wa chadema sio individuals bali ni vyama vingine vya siasa eg CCM.
Kama ningekua nawashauri chadema wajikitike katika kutafuta ni namna gani watachukua majimbo mengi na nchi kama ikibidi. Hayo mambo ya kushadadia malumbano au anguko la watu ndani ya CCM halitawasaidia unless kama ni anguko la chama na sio individuals.
Chama kupitia viongozi wake kijijenge kiwe na misingi yake kinayoisimamia na kiwafikie wananchi ili wakijua na wakichague. Haya mambo ya kushadadia mambo madogo madogo wawaachie wanaharakati ambao hawatafti madaraka.
Kwa Nini usiwashangae viongozi wa CCM badala ya kujikita kushindana na CHADEMA kwa hoja wao hukimbikia mabunduki mapanga,mapolisi na fedha kupambana na hoja za viongozi wa CHADEMA nchi nzima, si viongozi wanawake au wanaume wa CHADEMA hupigwa na wengine walipigwa marisasi.
Halafu kwa kukusaidia Ni viongozi wa CCM ndio walioanza kutamka kuwa CHADEMA itakufa lakini bahati nzuri wanakufa wao kisiasa na kimwili.
By the way kauli za wanaoiombea CHADEMA mabaya watapukutika wao au watakufa wao sio kauli za chama,Wala hazimo kwenye Sera au ilani ya Chama,kauli hizi Ni za wanachama kwa unyonge wao baada ya maonevu makali humwachia Mungu,na uzuri Mungu hujibu kilio chao kwa kupeleka mapigo kwa adui wa CHADEMA.
Nikutajie wahanga wachache? Ewe kipofu na kiziwi wa Siasa za Tanzania?

Alfonso mawazo
Ben sanane
TAL
Mbowe
Catherine Ruge
N.k
 
Hiki chama huwa sikielewi kinasimamia nini yani kina hoja za ajabu sana . Sasa mtu anakwambia et wanaoiombea mabaya Chadema wanapukutika is it really?
Mi nijuavyo adui/mshindani wa chadema sio individuals bali ni vyama vingine vya siasa eg CCM.
Kama ningekua nawashauri chadema wajikitike katika kutafuta ni namna gani watachukua majimbo mengi na nchi kama ikibidi. Hayo mambo ya kushadadia malumbano au anguko la watu ndani ya CCM halitawasaidia unless kama ni anguko la chama na sio individuals.
Chama kupitia viongozi wake kijijenge kiwe na misingi yake kinayoisimamia na kiwafikie wananchi ili wakijua na wakichague. Haya mambo ya kushadadia mambo madogo madogo wawaachie wanaharakati ambao hawatafti madaraka.
Kwa Nini usiwashangae viongozi wa CCM badala ya kujikita kushindana na CHADEMA kwa hoja wao hukimbikia mabunduki mapanga,mapolisi na fedha kupambana na hoja za viongozi wa CHADEMA nchi nzima,si viongozi wanawake au wanaume wa CHADEMA hupigwa na wengine walipigwa marisasi.
Halafu kwa kukusaidia Ni viongozi wa CCM ndio walioanza kutamka kuwa CHADEMA itakufa lakini bahati nzuri wanakufa wait kisiasa na kimwili.
By the way kauli za wanaoiombea chadeama mabaya watapukutika wao au watakufa wao sip kauli za chama,Wala hazimo kwenye Sera au ilani ya Chama,kauli hizi Ni za wanachama kwa unyonge wao baada ya maonevu makali humwachia Mungu,na uzuri Mungu hujibu kilio chai kwa kupeleka mapigo kwa adui wa CHADEMA.
Nikutajie wahanga wachache? Ewe kipofu na kiziwi wa Siasa za Tanzania?

Alfonso mawazo
Ben sanane
TAL
Mbowe
Catherine Ruge
N.
Mungu Fundi...
Hili jibu lako umemjibu kwa akili ya Hali ya juu mno,ila nakuhakikishia kabisa hajaelewa kitu,maana akili hiyo Hana,wewe fatilia michango yake tu.
Nafikiri huyu Ni usajiri mpya wa Lumumba b7
 
Kitu kilichonivutia Sana ni kampeni za 2020. Mgombea wa Chadema aliweka historia ya kutokuwa na bango hata moja, kutokutangazwa kwa mikutano yake mingi, kutokuwa na hela za kutosha za kampeni, kutokuwa na wasanii wakubwa na wengi, lakini mikutano yake ilikuwa ina hamasa ya Hali ya juu sana.
Alafu kuzunguka kote nchi nzima,kahambulia mbunge mmoja 😁😄😄😁😄
 
Ndugu mleta mada, unataka CHADEMA ifeje ili ujue imekufa? Au kifutiwe usajili. Kisiasa CDM imebakia bendera tu. Ili chama cha siasa kionekana kipo hai, lazima kiwe na vitu muhimu vifuatavyo;

1. Falsafa
2. Itikadi
3. Uwakilishi

Nikikuuliza hapo falsafa ya CDM kwa sasa ni ipi huna la kujibu. Nikikuuliza CDM ina uwakilishi upi kwenye chombo chochote cha maamuzi huna cha kunijibu.Uwakilishi pekee walionao CDM ni humu kwenye mitandao ya kijamii. Sasa hicho chama tukikiita mfu tutakua tunakosea?

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom