Baada ya ya Mvua za rasharasha kunyesha huko Iran sasa hivi rasmi kabisa Mvua za Masika zimeanza kumnyeshea Ayatollah huko Tehran Iran.
Kufikia asubuhi hii ameangamizwa
Amir Hatami, Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri za Kiislamu, aliyekuwa anatishia kuangamiza Tel Aviv na Haifa. Na yeye Kaangamizwa bila huruma yeyote.
Why this only happens on weekends ?Baada ya ya Mvua za rasharasha kunyesha huko Iran sasa hivi rasmi kabisa Mvua za Masika zimeanza kumnyeshea Ayatollah huko Tehran Iran.
Kufikia asubuhi hii ameangamizwa
Amir Hatami, Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri za Kiislamu, aliyekuwa anatishia kuangamiza Tel Aviv na Haifa. Na yeye Kaangamizwa bila huruma yeyote.
Gholam-Hossein Mohseni-Ejei, Mkuu wa Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu aliyekuwa anawahukumu waandamanaji kifo sasa na yeye amepokea adhabu ya kifo kwa haraka.
Alihusika na kuwahukumu waandamanaji kifo naye kuangamizwa
Mbona unafurahi sanaHapo halikuwa vita hiyo ilikuwa ni Mvua za rasharasha tu na sasa ndiyo rasmi kabisa Mvua za Masika zimeanza!!!