Sasa rasmi Mvua za Masika imeanza kunyesha huko Tehran Iran

Sasa rasmi Mvua za Masika imeanza kunyesha huko Tehran Iran

Israeli imefikia ukuu wa kuweza kulimiliki anga juu ya Iran Magharibi na sasa inalinda anga ya Tehran hakuna Nywinywinywi wal Nywinywinywi!! Hakuna cha kuwazuia air defence zote zimeangamizwa wanajipigia tu wanapotaka!!
Mbona Iran anashambulia nayeye wakati unasema USA/ISRAEL wamelishika anga lote la Iran?
 
Mbona Iran anashambulia nayeye wakati unasema USA/ISRAEL wamelishika anga lote la Iran?
Nenda kasema vizuri Mimi nimesema Iran Magharibi si Iran yote hata kama ingekuwa Iran yote ingekuwa si rahisi kuzuia asishambulie maana Iran ni nchi kubwa!!!
 
IDF fanyeni kazi yenu kwa kubaka huyu:

Ahmad al-Vahidi ameteuliwa kuwa kamanda mpya wa Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu baada ya mwingine kuuwawa Jana asubuhi

Yeye pia ana Sigda kwenye paji la uso wake, linalofaa kwa kulengea Shabaha!!!
 

Attachments

  • IMG_5053.jpeg
    IMG_5053.jpeg
    51.3 KB · Views: 21
Ripoti nchini Iran: Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad naye ameangamizwa kipindi chake huyu jamaa aliahidi kuifuta Israel katika uso wa dunia.
 

Attachments

  • IMG_5054.jpeg
    IMG_5054.jpeg
    40.4 KB · Views: 22
Kombola la Iran limeangukia huko Bet-Shemesh Israel na kuua watu 9 !!!
 

Attachments

  • IMG_5056.jpeg
    IMG_5056.jpeg
    295.8 KB · Views: 13
  • -2797790610855533717.mp4
    1,001.2 KB
  • IMG_5058.jpeg
    IMG_5058.jpeg
    206.4 KB · Views: 20
  • IMG_5059.jpeg
    IMG_5059.jpeg
    223.6 KB · Views: 16
  • IMG_5060.jpeg
    IMG_5060.jpeg
    251.5 KB · Views: 17
  • IMG_5060.jpeg
    IMG_5060.jpeg
    251.5 KB · Views: 21
  • IMG_5059.jpeg
    IMG_5059.jpeg
    223.6 KB · Views: 20
  • 4752313665946233618.mp4
    1.1 MB
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu: "Tulimwangamiza Gaidi Ali Khamenei mtawala dhalimu na viongozi kadhaa wakuu wa utawala dhalimu. Vikosi vyetu sasa vinashambulia ndani mwa Tehran kwa nguvu inayoongezeka, ambayo itaongezeka zaidi katika siku zijazo."
 

Attachments

  • IMG_6193.mp4
    1.5 MB
Wana wa Israel wamechafukwa wanaichakaza Tehran kama wapendavyo!!
 

Attachments

  • IMG_8117.MP4
    915.1 KB
  • IMG_8118.MP4
    1.5 MB
Kwa kifo cha Ali Khamenei, Israeli sasa imewaangamiza viongozi wote wa mashirika ya kigaidi na mataifa yanayounga mkono ugaidi nyuma ya mauaji ya Oct 07,2023
 

Attachments

  • IMG_20260301_195950_426.jpg
    IMG_20260301_195950_426.jpg
    107 KB · Views: 17
Zaidi ya misheni 700 na maelfu ya risasi zimetumiks katika saa 24.

Jeshi la Anga la Israeli sasa linatawala anga la Tehran, likiponda vifyatuaji vya makombora, makao makuu ya serikali, na ulinzi wa anga huku likipopoa ndege zisizo na rubani 50+ za Iran zinazolenga Israeli.
 

Attachments

  • Untitled design-4.mp4
    2.9 MB
Taarifa ya Waziri Mkuu Netanyahu

Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu akiwa juu ya paa la Kirya huko Tel Aviv, leo (Jumapili, Machi 1, 2026
"Tumemwongamiza Khamenei mtawala dhalimu na viongozi kadhaa wakuu wa utawala dhalimu. Vikosi vyetu sasa vinashambulia ndani ya Tehran kwa nguvu inayoongezeka, vikiwa tayari kuongezeka zaidi katika siku zijazo."

Taarifa kamili:

"Nimemaliza tu mkutano na Waziri wa Ulinzi, Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF, na Mkurugenzi wa Mossad. Nimetoa maagizo ya kuendelea kwa kampeni. Jana, tulimwangamiza Khamenei mtawala dhalimu. Pamoja naye, tuliangamiza viongozi kadhaa waandamizi wa utawala dhalimu. Vikosi vyetu sasa vinashambulia moyo wa Tehran kwa nguvu inayoongezeka, na hii itaendelea kuongezeka zaidi katika siku zijazo.

Na bado, hizi ni siku zenye uchungu. Jana hapa, Tel Aviv, na sasa Beit Shemesh, tumewapoteza wapendwa. Moyo wangu unawahurumia familia, na kwa niaba yenu nyote, raia wa Israeli, natuma matakwa yangu ya kupona haraka kwa waliojeruhiwa.

Tuko katika kampeni ambayo tunaleta nguvu kamili ya IDF kwenye vita, kama hapo awali, ili kuhakikisha uwepo wetu na mustakabali wetu. Lakini pia tunaleta kwenye kampeni hii msaada wa Marekani, rafiki yangu, Rais wa Marekani Donald Trump, na jeshi la Marekani. Muungano huu wa vikosi unaturuhusu kufanya kile ambacho nimetamani kufanya. Miaka 40: piga utawala wa kigaidi kiunoni na paja. Hivi ndivyo nilivyoahidi - na hivi ndivyo tutakavyofanya."
 
BREAKING: Rais Trump atangaza meli 9 za majini za Iran kuharibiwa na makao yao makuu kusambaratishwa.

Harafu akawakejeli kwa kusema: "Mbali na hayo, Jeshi lao la Wanamaji linaendelea vizuri sana". 😂
 

Attachments

  • IMG_20260301_211429_746.jpg
    IMG_20260301_211429_746.jpg
    119.4 KB · Views: 19
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran huko Tehran iliangamizwa yote hivyo anga lote la Tehran linashikiliwa na majeshi ya Israel. Iran hawezi kurusha ndege zake eneo hilo!!
 

Attachments

  • IMG_5004.MP4
    3.9 MB
Tehran, Mji Mkuu wa Iran jana usiku.

Israel inaendelea kulenga utawala wa Kiislamu nchini Iran.

Hatuwezi kusikia utawala ukiimba "kifo kwa Israeli" au "kifo kwa Amerika" tena.
 

Attachments

  • IMG_20260302_100231_732.jpg
    IMG_20260302_100231_732.jpg
    94 KB · Views: 15
Drone za Iran zinaendelea kudondoshwa hii ilikuwa kwenye anga la Syria
 

Attachments

  • IMG_6321.mp4
    1.4 MB
🇮🇷🇧🇭 Ndege isiyo na rubani ya Iran iligonga hoteli huko Bahrain jana usiku

Vita vya panzi furaha ya kunguru!!
 

Attachments

  • telegram-cloud-document-4-5847928484122336376.mp4
    1.7 MB
Taaratibu Tehran inaanza kugeuka kuwa Gaza!!!!
 

Attachments

  • VID_20260302_143341_684.mp4
    3.8 MB
  • IMG_20260302_143341_922.jpg
    IMG_20260302_143341_922.jpg
    114 KB · Views: 14
  • IMG_20260302_143342_465.jpg
    IMG_20260302_143342_465.jpg
    122.8 KB · Views: 20
  • IMG_20260302_143342_402.jpg
    IMG_20260302_143342_402.jpg
    67.6 KB · Views: 14
Marubani wa Ndege-Vita 30 wa kike wa Jeshi la Anga la Israeli IAF wanashiriki katika shambulio la angani dhidi ya utawala wa Iran toka juzi

Mmoja wao aliulizwa anajisikiaje.? alijibu "Kila wakati tunapopaa, kuna jambo moja tu akilini mwetu: Kuilinda nchi yetu."
 

Attachments

  • IMG_5078.jpeg
    IMG_5078.jpeg
    113.5 KB · Views: 23
Back
Top Bottom