Sasa rasmi Mvua za Masika imeanza kunyesha huko Tehran Iran

Sasa rasmi Mvua za Masika imeanza kunyesha huko Tehran Iran

HII NI HABARI KUU KWA MASHARIKI YA KATI! 🌍

Kama nilivyotarajia, viongozi wa Ghuba wanaweza kujiunga na vita dhidi ya utawala wa Kiislamu nchini Iran ikiwa nchi hizo zitaendelea kushambuliwa na Iran.

Hatua hii itapendeza sana na utakuwa mwiba kwa Iran
 
Attachments

  • IMG_20260228_220445_555.jpg
    IMG_20260228_220445_555.jpg
    156.4 KB · Views: 24
TAZAMA: Ndege zisizo na rubani za Iran zinavyopopolewa.

Zaidi ya ndege zisizo na rubani 10 tayari zimepopolewa na Jeshi la Anga la Israeli leo.

Drone zote za Iran zikiwemo Sheed hazikuweza kufua dafu mbele ya majeshi hodari ya Israel!!
 
Attachments

  • AVENIR-7.mp4
    2.2 MB
Vijana wa Yeshiva wakisherehekea shambulio dhidi ya Iran wakiwa katika makazi salama ya kujikinga na mabomu

Wayahudi ni watu wa vita toka zaman hivyo wakati wa vita kwao ni furaha kubwa maana wajua wanakwenda kuibuka washindi dhidi ya adui zao!!!
 
Attachments

  • 1772307836587.mp4
    5.9 MB
Huku ripoti ya kuangamizwa kwa Khamenei ikiwa rasmi, itakuwa mara ya kwanza katika historia kwa Israeli kumwangamiza kiongozi wa taifa.

Hongera sana wanajeshi wa jeshi la anga la Israel Iaf kwa kutekeleza majukumu yenu vizuri na kwa weledi
Adiosamigo waeleze na wajinga wenzako kuwa Israel si ya kuchezea
 
Huu ni maendeleo mengine ya ajabu yanayoonyesha jinsi Israeli ilivyo tofauti baada ya Oktoba 7, 2023.

🔹 Israeli ilishambulia kwa mabomu miji mikuu ya majimbo matano ya maadui yaliyounga mkono au kushiriki katika shughuli za kigaidi dhidi yake;

🔹 Israeli iliangamiza wanamgambo wakubwa zaidi wa kigaidi duniani (Hezbollah) katika operesheni ya kushangaza ya pager;

🔹 Israeli sasa imemuua kiongozi wa taifa la adui katika hatua ya kijeshi ya makusudi dhidi yake.
 
Huku ripoti ya kuangamizwa kwa Khamenei ikiwa rasmi, itakuwa mara ya kwanza katika historia kwa Israeli kumwangamiza kiongozi wa taifa.

Hongera sana wanajeshi wa jeshi la anga la Israel Iaf kwa kutekeleza majukumu yenu vizuri na kwa weledi
Adiosamigo waeleze na wajinga wenzako kuwa Israel si ya kuchezea
Hizo habari umezipatia chronic kule Tela Aviv. Netanyahu lazima atajidai kumuwa Ayatollah Khomen sababu jabzisha vita siku watu wote wanajua Jumamosi mara nyingi wa Israel ni siku ya kuabudu au kufunga lakini yeye akaumua kuvizia akamuwe Khomen hahaha ka failed vibaya na kipigo anacho kipokea inabidi ajitape tape ili kuficha aibu.
 
Kila siku Mimi huwa nawaambia kuwa Israel si level yenu wao ni Taifa teule limechaguliwa na Mungu ambaye si Allah!!

Kwa hiyo tunaomba mtujulishe mnasafirisha au mnazika hapahapa kahtaan 100 others
 
Attachments

  • IMG_5030.jpeg
    IMG_5030.jpeg
    98.7 KB · Views: 18
  • IMG_4973.png
    IMG_4973.png
    2.2 MB · Views: 21
  • IMG_4969.jpeg
    IMG_4969.jpeg
    143.9 KB · Views: 17
  • IMG_3366.jpeg
    IMG_3366.jpeg
    347.7 KB · Views: 20
  • IMG_2722.jpeg
    IMG_2722.jpeg
    328.2 KB · Views: 14
  • IMG_2452.jpeg
    IMG_2452.jpeg
    167.2 KB · Views: 23
  • IMG_2417.jpeg
    IMG_2417.jpeg
    173.8 KB · Views: 22
  • IMG_0268.png
    IMG_0268.png
    407.7 KB · Views: 18
Kila siku Mimi huwa nawaambia kuwa Israel si level yenu wao ni Taifa teule limechaguliwa na Mungu ambaye si Allah!!

Kwa hiyo tunaomba mtujulishe mnasafirisha au mnazika hapahapa kahtaan 100 others
Taifa teule hahaha na USA ni nani k a ma wao teule sijawahi ona taifa teule likamtegemee USA kumbe huyo mungu wenu wa bibilia hana nguvu mpaa waje USA kumsaidia kupigana vita na Iran.
 
Taifa teule hahaha na USA ni nani k a ma wao teule sijawahi ona taifa teule likamtegemee USA kumbe huyo mungu wenu wa bibilia hana nguvu mpaa waje USA kumsaidia kupigana vita na Iran.
Hivi unajua maana ya Allies au kwa Kiswahili Washirika?

Kuna mizoga mwingine hii hapa chini na kuna wengine mnawaficha lakini wameuwawa sisi tunawasubiri walianza kunuka mnasema wenyewe tu kuwa nao wameangamizwa.

Jeshi la Israel halina ugomvi na Askari wadogo sisi tunawataka Makamanda waandamizi tuwafyekelee mbali!!
 
Attachments

  • IMG_5031.jpeg
    IMG_5031.jpeg
    83.3 KB · Views: 20
Marehemu Ayatollah Ali Khamenei Oct 07,2023 Alia diva ujumbe kwenye X kuikejeli Israel sasa yeye ndiyo yamemkuta nawashauli tu wengine waache kulikejeri Taifa teule watakwisha!!!
 
Attachments

  • IMG_5033.jpeg
    IMG_5033.jpeg
    103.5 KB · Views: 19
  • IMG_5032.jpeg
    IMG_5032.jpeg
    85.4 KB · Views: 16
Kuna Mwingine huyu naye kaangamizwa Ali Shamkhani, Katibu wa zamani wa Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Iran walimficha asijulikane Bahati nzuri walikuwa pamoja na Gaidi Mkuu Ayatollah!!!!
 
Attachments

  • IMG_5038.jpeg
    IMG_5038.jpeg
    71.1 KB · Views: 19
Yule dikteta Ayatollah naye nimesikia maskani yake yameangamizwa lakini sijui hatima yake iko vipi.
Ameshayaanza tayari maisha mapya ndani ya Friji za Mochwari ya Muhimbili ya Tehran Iran huku Jina lake kuanzia sasa likianza kuitwa Hayati Khamenei.
 
Hivi unajua maana ya Allies au kwa Kiswahili Washirika?

Kuna mizoga mwingine hii hapa chini na kuna wengine mnawaficha lakini wameuwawa sisi tunawasubiri walianza kunuka mnasema wenyewe tu kuwa nao wameangamizwa.

Jeshi la Israel halina ugomvi na Askari wadogo sisi tunawataka Makamanda waandamizi tuwafyekelee mbali!!

View: https://youtu.be/5xC_QXEEJC4?si=OBz3lUgnZ7TsMjb5

Tazama Tela Aviv inatoa moshi tu

Sawa jifurahisheni huyu Shamkhan mmeisha muuwa mara ngapi 😄
 
Pamoja na VITISHO vyao vyote wao ndiyo wamekufa kwa Upande wa Israel hakuna aliyekufa hata mmoja kuna waliojeruhiwa tu na ambako ya Makombola yaliyokuwa yanapopolewa na majeshi hodari ya Israel!!

Kuna mwingine anaweza kwa nini hakuna aliyekufa? Jibu ni kwamba Israel Ina MFUMO madhubuti waandamizi Usalama, kuna basement vyombo vya Usalama wana mitandao wa nawasikia no nchi nzima hivyo coordination ni nzuri na rahisi sana
 
Attachments

  • -2832373886308639468.mp4
    1.3 MB
  • -2796049711476532714.mp4
    777.8 KB
  • 6684111196913939236.mp4
    1.9 MB
  • 6684111196913939236.mp4
    1.9 MB
  • -3262586843441908265.mp4
    3.6 MB

View: https://youtu.be/5xC_QXEEJC4?si=OBz3lUgnZ7TsMjb5

Tazama Tela Aviv inatoa moshi tu

Sawa jifurahisheni huyu Shamkhan mmeisha muuwa mara ngapi 😄

Pamoja na kwamba Mimi sielewi lugha za Majini lakini Naona picha Air defense za Israel zikifanya kazi yake vizuri na kwa umahiri mkubwa hakuna bomu lililopenya yote yalipopolewa ambako yake ndiyo yaliyoleta madhara na kwa sababu huwa yana mafuta hivyo husababisha mioto mikubwa.
 
Israel ni Taifa teule katika vita hii Ayatollah alikamia kuiangamiza Israel Uzuri Mungu Fundi kageuza Ubakaji Kama yeye mpaka usiku huu ninapoandika ni wayahudi 21 tu waliojeruhiwa na hakuna aliyekufa.

Njoo sasa kwa Wafuga Midevu na Majini wamepukutika wengi sana mpaka wengine wanawaficha ili idadi kamili isijulikane. Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Iran alitudanganya kuwa Ayatollah na viongozi wengine ni wazima Uzuri Kifo kimewaumbua mbwa hawa
 
Attachments

  • 695899932169469956.mp4
    1.2 MB
Mipaka yote ya Israel inalindwa vilivyo mpaka magaidi wa Hezbollah na Houth wameufyata. Askari hawa wana Linda mpaka na Syria
 
Attachments

  • IMG_5041.jpeg
    IMG_5041.jpeg
    160.9 KB · Views: 17
  • IMG_5040.jpeg
    IMG_5040.jpeg
    252 KB · Views: 19
  • IMG_5039.jpeg
    IMG_5039.jpeg
    230.3 KB · Views: 19
Back
Top Bottom