Sasa rasmi Mvua za Masika imeanza kunyesha huko Tehran Iran

Sasa rasmi Mvua za Masika imeanza kunyesha huko Tehran Iran

Huyu tayari kaangamizwa asubuhi tu!!
 

Attachments

  • IMG_4989.jpeg
    IMG_4989.jpeg
    41.1 KB · Views: 14
Baadhi ya makombola ya Iran yalivyokuwa yanapopolewa!!!!
 

Attachments

  • IMG_4991.jpeg
    IMG_4991.jpeg
    116.9 KB · Views: 22
  • IMG_4996.jpeg
    IMG_4996.jpeg
    33.7 KB · Views: 17
  • IMG_4995.jpeg
    IMG_4995.jpeg
    35.8 KB · Views: 17
  • IMG_4994.jpeg
    IMG_4994.jpeg
    35.8 KB · Views: 15
Iran inaendelea kushikishwa adabu!!!
 

Attachments

  • -6791784921968989856.mp4
    3.7 MB
  • IMG_4984.jpeg
    IMG_4984.jpeg
    110.2 KB · Views: 17
Yuko wapi ayatollah na masoud pezeshkian, wamepona kweli?
Hao wote walilengwa asubuhi ya leo na makazi Yao yamebomolewa wakipona basi watakuja walikuwa shimonoseki kama kenge!!
Ripoti ya Runinga ya Israeli: Mashambulizi yamepata 'mafanikio makubwa' katika kumlenga rais wa Iran na makamanda wakuu

Soma zaidi: https://toi.li/8ao0zP
 

Attachments

  • IMG_4973.png
    IMG_4973.png
    2.2 MB · Views: 19
  • IMG_5005.jpeg
    IMG_5005.jpeg
    178.1 KB · Views: 16
  • IMG_5004.jpeg
    IMG_5004.jpeg
    225.4 KB · Views: 18
Msemaji wa IDF:

Nyuma ya shambulio la kushtukiza la asubuhi ya leo:

Shambulio la asubuhi ya leo lilifanyika kwa wakati mmoja katika maeneo kadhaa mjini Tehran, ambapo maafisa wakuu kutoka uongozi wa usalama wa kisiasa nchini Iran walikuwa wamekusanyika.

IDF ilijiandaa kwa hili kwa mpango wa uendeshaji ulioandaliwa kwa miezi kadhaa, uliozingatia juhudi za kijasusi za Aman ili kubaini fursa ya uendeshaji mara tu maafisa wakuu wa serikali walipokutana. Uamuzi wa kushambulia asubuhi badala ya usiku uliruhusu Israeli kupata mshangao wa kimkakati kwa mara ya pili licha ya maandalizi mazito ya Iran.

Maelfu ya saa za kazi kubwa ya kijasusi katika kiwanda cha shabaha cha Aman zilifanikiwa kuongeza idadi ya malengo kwa mamia ya asilimia, kwa hivyo Israeli iko tayari kushambulia Iran inapohitajika. Hii ilikuwa pamoja na ufuatiliaji sahihi wa eneo la makamanda na uongozi mkuu wa Iran. Imani katika akili na uwezo wa uendeshaji wa Israeli ni jambo muhimu katika uamuzi wa Marekani kujiunga na kampeni hiyo, pamoja na mafanikio mengi na watu wa Lebanon.

IDF inaandaa majukwaa mengi ya kuigiza kwa ajili ya kampeni hiyo kuendelezwa katika viwanja vya ziada na kwa sasa inatathmini matokeo ya shambulio hilo na tunaamini viongozi wakuu karibu wote wameangamizwa katika shambulio la asubuhi!!!!
 

Attachments

  • IMG_4964.jpeg
    IMG_4964.jpeg
    118.4 KB · Views: 19
Huko Qatar kombola la Iran lilipopolewa lilipoanguka moto mkubwa ulizuka Hongera kwa air defense!!
 

Attachments

  • -8482695992838847877.mp4
    5.6 MB
Baada ya ya Mvua za rasharasha kunyesha huko Iran sasa hivi rasmi kabisa Mvua za Masika zimeanza kumnyeshea Ayatollah huko Tehran Iran.

Kufikia asubuhi hii ameangamizwa
Amir Hatami, Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri za Kiislamu, aliyekuwa anatishia kuangamiza Tel Aviv na Haifa. Na yeye Kaangamizwa bila huruma yeyote.

JAMAA WAMEANZA KUHESABU MMOJA MMOJA.
 
Angalia ujinga wa wapalestina wanayaficha ambaki ya makombola yaliyopopolewa na Air defense za Israel wanafanya hivyo kuficha Siri watu wasiweze kupiga picha na kuzisambaza kuonyesha udhaifu wa Iran,

Hata wayafiche vyumbani mwao ni wazi yamepopolewa wanachokifanya ni Ujinga tu!!
 

Attachments

  • -6448275379680108550.mp4
    2.6 MB
  • 1414213418406108092.mp4
    1 MB
Vilio vimetawala huko Tehran
 

Attachments

  • -6083590836811108157.mp4
    3.1 MB
Rocket launcher za Iran zilivyokuwa zinaangamizwa kablaya kurushwa huko Iran asubuhi ya leo
 

Attachments

  • 6997569493950381914.mp4
    1.2 MB
  • -5613303686654647442.mp4
    5.8 MB
🚨🚨Ving'ora vyasikika kaskazini mwa Israeli huku kukiwa na shambulio la makombora ya masafa marefu la Iran. Wakazi wameamriwa kuingia katika vyumba salama huku IDF ikisema ulinzi wa anga unazuia vitisho vinavyoingia na Jeshi la Anga la Israeli linashambulia inavyohitajika ili kuviangamiza. Wanamaji wa Israel nao nyambizi zao zimejitokeza kupopoa makombola yajayo toka iran
Sema tu wameamriwa kuingia katika mashimo kama panya 😁
 
Back
Top Bottom