G
Mbona Iran anashambulia nayeye wakati unasema USA/ISRAEL wamelishika anga lote la Iran?Israeli imefikia ukuu wa kuweza kulimiliki anga juu ya Iran Magharibi na sasa inalinda anga ya Tehran hakuna Nywinywinywi wal Nywinywinywi!! Hakuna cha kuwazuia air defence zote zimeangamizwa wanajipigia tu wanapotaka!!
Hii ni ile iliyokuwa Hayataoulah au?Makao makuu ya serikali ya kiislamu yaangamizwa!! Na kuwaua makamanda zaidi ya 40 waliokuwa ndani ya majengo hayo
Nenda kasema vizuri Mimi nimesema Iran Magharibi si Iran yote hata kama ingekuwa Iran yote ingekuwa si rahisi kuzuia asishambulie maana Iran ni nchi kubwa!!!Mbona Iran anashambulia nayeye wakati unasema USA/ISRAEL wamelishika anga lote la Iran?