mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Nafikiri kodi wanazotozwa ndio zinapelekea gharama zote hizi. Ndungulile kama ana uwezo wa asaidieThe struggle is real
Sijui nani atasikiliza kilio hiki Ndugulile wizara haimfai 99.9%%
Unamlaumu Ndungulile, umesoma Finance act ya mwaka huu?The struggle is real
Sijui nani atasikiliza kilio hiki Ndugulile wizara haimfai 99.9%%
Yeye kama waziri wa technojia ni lazima apitie mambo yote ya mawasiliano kwa ivo hii inamhusu kwa kiasi kikubwa!! Au lawama ziende kwa nani mkuu?Unamlaumu Ndungulile, umesoma Finance act ya mwaka huu?
View attachment 1846520
Narudia tena soma hiyo Finace act, kisha jikumbushe mchakato wa mabadiliko ya sheria unavyopaswa kua, mpaka kusainiwa kwake.Yeye kama waziri wa technojia ni lazima apitie mambo yote ya mawasiliano kwa ivo hii inamhusu kwa kiasi kikubwa!! Au lawama ziende kwa nani mkuu?
Ndomaana Umasikini hapa itakua wa kudumu, saving ni ngumu huwezi kubakiza pesa ya development kabisa. Uchumi wa nchi unahitaji overhauling kupata mchumi nje ya CCM to fix it back.Hela itabanwa kila sehemu, serikali si wajinga hivyo
Awamu ya TOZO hii. Hivyo tuendelee tu kuvumilia maumivu.Sasa ni wakati wa benki kujitanua zaidi na kila mmoja ajitahidi kuwa na akaunti ya benki, japo na wao wana makato Ila haya ya simu ni makubwa mno, yaani kusafirisha milioni wanakata 31,000 kutuma na kutoa...
Naunga mkono hojawabunge wapumbavu sana..yapo yapo tuu
Mkuu mara Mia upande basi tuView attachment 1846638
Tozo hizi hakika ni kubwa Sana na hazibebeki. Zitafanya watu wengi sana sasa waache kufanya miamala kwa njia za simu. Tutapanga foleni benki na tutapeana fedha mkononi.
Hata kama mpokeaji yupo mkoa jirani ni bora kupanda basi ukampelekea hiyo milioni moja kuliko kuituma.
Mfano nauli ya kwenda na kurudi
Moro-Dar, Mwanza-Shinyanga, Mwanza-Geita, Mwanza - Mara, Mbeya- Iringa, Mtwara-Lindi, Dar- Tanga, Tabora -Kigoma, Dodoma-Singida, n.k haizidi Shs 20,000/= wakati kutuma kwa simu hata mtaa wa pili tu ni Shs 31,000/=
Kama chaguzi zingekuwa zinafanyika kihalali ccm wangekuwa wanawaogopa wananchi na hivyo wangekuwa wanapanga mipano isiyowaumiza wananchi kama hivi.
Anyway, tunahitaji katiba mpya