Sasa tuhamasike, kuwa na akaunti za Benki ni rahisi. Miamala ya simu gharama hazivumiliki

Vip wale wanao tumia airtel money na mpesa application kwenye smart phone vip nao wataanza kukwata kwenye kutuma pesa??? Na hayo makato mapya yanaanza lin?????

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Yeye kama waziri wa technojia ni lazima apitie mambo yote ya mawasiliano kwa ivo hii inamhusu kwa kiasi kikubwa!! Au lawama ziende kwa nani mkuu?
Ndungulile amebanwa mbavu, lawama kwa waziri wa fedha Mwiguru Nchemba kwa kuongeza Kodi kwenye miamala ya simu katika bajeti ya 2021/2022.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
The struggle is real

Sijui nani atasikiliza kilio hiki Ndugulile wizara haimfai 99.9%%
Tatizo mnalizunguka, ni Tume ya uchaguzi imetuletea viongozi hawa.
Mnhangaika na mtu mmoja. CCM yote inashiriki ktk hili.
Mungu ametuondolea masisi wa haya Ila bado hajatuondolea genge zima yaani CCM
 
Uzuri wake hii haichagui wewe ni chama gani!! Ccm hoyee!!
Ilaaniwe CCM na ma kandokando yake.
 
Internet bank ni nafuu kweli ila kwa benki kama CRDB hawataki kabisaa watu wajiunge na hiyo huduma kwakuwa inawakosesha mapato, niliomba hiyo huduma kwa mara ya kwanza, nilijibiwa baada ya miezi 6 kupita. Mfumo wao ukazingua, nikaenda wa-reset password tu, nikakalishwa kwenye foleni siku nzima, ikapita miezi 6 tena, kwenda kuulizia tena, wakanipa fomu nijaze upya, kimbembe kikawa kwenye sahihi, wanasema haifanani na niliyosaini miaka 10 nyuma, kuwa kuna tofauti kidogo hivyo hawawezi kunipa hiyo huduma mpaka nipige sahihi kama ile.

Nikaona sio kesi, nitakapofikia maamuzi, i will kiss them good bye
 
Huku ndo kukuza biashara kwa madokta wetuu.
Nasema uwongo nguguzanguuu?
 
Kifuatacho ni ongezeko la wizi majumbani na utekaji mavazi na magari kwa tarajio la kupita hela. Ujio wa miamala ya mitandao na utitiri wa benki ulishawishi watu kuacha kutunza pesa kwenye vibubuna kusafiri nazo. Kwa makato makubwa haya watu wanarudi utaratibu wa awali, japo ni majanga.
 
The struggle is real

Sijui nani atasikiliza kilio hiki Ndugulile wizara haimfai 99.9%%
Huyo ndungulile mtamlaumu bure tu, washauri wenyewe wa rais ndo hawa wakina mwigulu wapenda sifa wanaoutaka urais kwa njia yoyote ile, Na Akina Mpango waliokua wanatumia nguvu kukusanya mapato,.
 
Inaumiza sana.tutakuwa tunapeana pesa mkono kwa mkono maana haya ni maumivu makubwa sana.pesa hakuna mtaani alafu iingie hyo mkate pakubwa hvyo.hapana kabisa.
 
Inaumiza sana.tutakuwa tunapeana pesa mkono kwa mkono maana haya ni maumivu makubwa sana.pesa hakuna mtaani alafu iingie hyo mkate pakubwa hvyo.hapana kabisa.
Yaani inakatwa hela kubwa utadhani ulikopa kwa riba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…