Sasa tuhamasike, kuwa na akaunti za Benki ni rahisi. Miamala ya simu gharama hazivumiliki

wacheni upumbavu kuchangia kodi kwa Taifa lako sio dhambi bali ni fahari, fedha unayo katwa ndio inayo enda kusaidia kuweka miundo mbinu ya elimu mizuri, afya n.k ambayo watoto wetu ndugu zetu watanufaika nayo, yeyote anaye jaribu kukwepa au kuhamasisha kukwepa huyo sio mtanzania atakuwa ana nchi nyingine.
sisi wazalendo tunayo ipenda nchi yetu ya Tanzania tutaendelea kujisikia fahari kukatwa kodi inayo enda kwenye maendeleo yetu, tunachezea sh.ngapi kwenye mambo yasiyo ya msingi kwetu?! sembuse unakatwa mara moja tu kwa maendeleo yako mwenyewe na ndugu zako?! tuache unafiki na uzandiki!!
tulipende Taifa letu.
Tunajisikia fahari kuchangia maendeleo watoto wetu, ndugu zetu.
kama unaweza kuchangia Harusi na mambo mengine kwa nn uumie kuchangia maendeleo ya elimu ya ndugu zako wa kitanzania?!
kweli ww utakuwa mtanzania halisi?!
Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mgomo mzuri kama wa vitendo,sio maandamano.
 
Hujui unaongea Nini, huo uzalendo huujui Wala huuelewi! Tutaona km hizo huduma zitaboreshwa na nakuambia tu utarudi hapa unalia, nyau wewe
 
Mkuu, huko Banki kwenyewe kuna afadhali gani, ikiwemo hata inayojitia ni benki ya Wananchi, NMB?[emoji22]
 
Benki ndo shida zaidi na ni gharama sana.
 
Hawa madaktari wa binadamu wengi wana roho mbaya sana kama si roho za kishetani,hawafai kupewa uongozi kabisa.

Hata wizara ya afya itakwama kwa sababu ya hawa watu.
The struggle is real

Sijui nani atasikiliza kilio hiki Ndugulile wizara haimfai 99.9%%
 
Bibi yako huko nanjilinji anakuwa na account benki ya nini
umtumie elfu 10 akatoe wilayani nauli 15000?
Mihamala ya mitandao haiepukiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…