Kiberenge
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 1,104
- 1,035
Good mkuu keep the spirit unaweza kuwa game changer in few day aheadWazo zuri sana hili, ninalifanyia kazi mkuu. Kuna makato makubwa sana kwenye process nzima hii, pamoja na risks nyingi sana. Maana jinsi nilivyoweka hii calculator trust me nimeiweka in such a way nisipate tu hasara na sio kupata profit, maana mwanzoni nilipoanza ilikuwa juu kidogo nikawa najikuta pesa yangu ndio inakatwa nikawa na adjust to now kwenye transactions inabaki like elfu 1 au chini ya hapo, ambayo sidhani kama unaweza kuiita napata faida. Maana kwa mimi kuitoa inachukua days. Ila i do believe its helpful to people na ninajitahidi kuboresha, makato hayako very clear at the moment, since sipo upande wa pili kwenye utoaji personally na yanakuwa yanabadilika mara kwa mara hivyo ninachofanya sasa ni kwanza kunarrow down cuts and improve efficiency by directly going to the people i work with on the other side and see how to cut down transfering costs, and hopefully have better rates.
Appreciate the comment aloot kaka, ni mwanzo bado, i'm still working to improve the service.
Sent using Jamii Forums mobile app