ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,936
- 3,054
Ni kweli asee maana ana bei kubwa sanaMkuu una makato makubwa sana...... Ungeweka range.... 0~49 wawe na bei yao, 50~99 wawe na bei yao 100+ wawe na bei yao pia...
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi wewe nakufahamu kama Tapeli hata Waunganisha bando huwa unawa support kwa Kuleta shuhuda za uongo hadi wanatapeliwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] inawezekana ni yeye huyo ana dp 2Binafsi wewe nakufahamu kama Tapeli hata Waunganisha bando huwa unawa support kwa Kuleta shuhuda za uongo hadi wanatapeliwa
Una laana si bure lini nimewahi kutapeli pesa ya mtu ? Sijawahi kutapeli mtu na kama nimemtapeli ajitokeze .kwanza toka lini nikashauri mtu anunue vifurushi kwa mtu km hana imani nae? Acha ujinga wwBinafsi wewe nakufahamu kama Tapeli hata Waunganisha bando huwa unawa support kwa Kuleta shuhuda za uongo hadi wanatapeliwa
Wewe ni tapeli mkubwa Yaani kulia lia kwako hakuwezi kubadilisha ukweli wewe umekua ukitumika kuita watu kwenye project nyingi za Kitapeli Mimi mwenyewe nikiamua naweza kukukamata sema tu nakuacha watu wanafanya manunuzi ya Pesa ndefu Online lakini wewe unakuja na vi transactions vyako vya buku na Buku mbili.Una laana si bure lini nimewahi kutapeli pesa ya mtu ? Sijawahi kutapeli mtu na kama nimemtapeli ajitokeze .kwanza toka lini nikashauri mtu anunue vifurushi kwa mtu km hana imani nae? Acha ujinga ww
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ni mwaminifu nimefanya kutoa kiasi changu cha pesa kwenye paypal kwenda kwa email yake [email protected] naona imekubali na imemfikia na kanitumia pesa yangu kwa njia ya mpesa sema makato ndo makubwa ila inasaidia sana nachoomba apunguze gharama za libaView attachment 843193
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi ni huu hapa.ya kuwa kanitumia nami pesa nikaitumia kwa shida zangu
Yaani ww wacha nikuache hunifahamu sikufahamu na sijawahi kufanya biashara na mbwa kama ww wala sijakwambia ufanye biashara na huyo mtu mimi nimeleta feedback tu kwa anaeyeamini basi aamini na sijawaambia mfanye biashara nae kama hauna imani nae we kenge kabisa .. unaniita tapeli toka lini nimekushawishi ukatapeliwa ?nimeshauri wangapi wafanye biashara na watu humu ndani ? Usiongee kama malayaWewe ni tapeli mkubwa Yaani kulia lia kwako hakuwezi kubadilisha ukweli wewe umekua ukitumika kuita watu kwenye project nyingi za Kitapeli Mimi mwenyewe nikiamua naweza kukukamata sema tu nakuacha watu wanafanya manunuzi ya Pesa ndefu Online lakini wewe unakuja na vi transactions vyako vya buku na Buku mbili.
Utapeli hautakusaidia kijana Fanya Kazi nataka utamke mbele ya wanajamii Forums kua umeacha utapeli Otherwise nikiamua Ndugu zako watakuokota kwenye kiroba.
Kaza boss watanzania akili zao nusu vijiko ila kwa waelewa watafanya kazi nawe msingi usikate tamaa maana wengi imani zao chafuNashukuru kwa comment yako mkuu, nashughulikia bado. Kuna vikwazo nakutana navyo lakini nashughulika kuvivuka. Natumai mambo yatakuwa mazuri zaidi mbeleni.
oooooohhh mhhggggHabari zenu wakuu, recently nimeanzisha huduma hii kusaidia wenzangu ambao hua tunajishughulisha na kazi za mitandaoni kuweza kutoa pesa wanazozipata kutoka paypal. Maana tunajua kuna restrictions katika
1. Kupokea (ambayo kama umekaa sana mtandaoni unajua kuna namna ya kuizunguka na kuweza kupokea pesa na kuingia kwenye paypal yako)
2. Kuzitoa
Namba mbili ndipo kumekuwa na shida. Namna ninavyofanya ni nimepatner na a colleague ambae yuko nje ya nchi kwahiyo ili utoe pesa zako unazituma kwenye account iliyopo kwenye Page(ntaweka link mwishoni), kisha unatuma taarifa zifuatazo. 1. Picha ya account yako ya paypal ikionyesha muamala huo 2. Namba yako ya simu ukisema pia ni mtandao gani na 3. Jina lako kamili.
Baada ya kucross check ndani ya dakika chache utapata muamala wako.
----
Kuna calculator pia ipo kwenye page (ntaweka link yake na hapa pia) unaweza kuweka pesa katika dollar na inakuonyesha baada ya kuondoa makato yote (paypal, bank withdraw and sending charges) utegemee kupokea kiasi gani. Ni ukurasa mpya na huduma mpya pia ambayo niliwaza baada ya colleague wangu huyo kunisaidia kwa muda sana kuwa natoa pesa zangu nikaona niweke open na wengine pia wafaidike mpaka pale BOT itakaporuhusu mabenki yetu kufanya hivi. Kwahiyo kama kuna ushauri na lolote kuhusu hii huduma kuboresha na mengineyo, please share it here. Thank you.
LINKS:
Money to be received calculator: 2 Rows Frames Layout (header frame)
FB Page: TZPAY
View attachment 627740
--
cc: @Black Tie Mwl.RCT Rogie Shopfasta King Shaat Ze showstopper wegman Mateja M.G Yango Ndebile Konsciouz Complex Brainze11 lembu Pritty wa joseph Chief-Mkwawa
-----------------------
UPDATE
-----------------------
Kama unahitaji kutumia huduma hii na kwa sababu hatujuani na unaweza kuwa hauna imani, tunaweza kukutana na tukafanya transaction tukiwa pamoja kama uko Dar es salaam. Kama uko mkoani basi unaweza niunganisha na mtu unayemuamini aliye Dar nikutane nae. Otherwise inabidi uwe na imani tu, it is a legitimate service is all i can say.
chal una mdiss m2 usiyemjuaa duuuh shaur yako dogo 😈😈😈😈😈😈Kaza boss watanzania akili zao nusu vijiko ila kwa waelewa watafanya kazi nawe msingi usikate tamaa maana wengi imani zao chafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kufahamu nikitaka kutoa dola 50 baada y makato yote nitapokea kiasi gn
Mwanangu we ni Kibaka wa Mitandaoni unawaibia kinyama US$50 ni kama TSh.113,000 hivi lakini unawapuna na kuwapa Sh.87,320 hili si sawa. C.c RasokauzuUtapata Tsh 87,320 /=.
tumia hii calculator kujua kiasi utakachopata kwa kiwango kingine utakachotaka kutoa mkuu
MONEY CALCULATOR
Teh teh mkuu vp ......Mwanangu we ni Kibaka wa Mitandaoni unawaibia kinyama US$50 ni kama TSh.113,000 hivi lakini unawapuna na kuwapa Sh.87,320 hili si sawa. C.c Rasokauzu
Mwanangu we ni Kibaka wa Mitandaoni unawaibia kinyama US$50 ni kama TSh.113,000 hivi lakini unawapuna na kuwapa Sh.87,320 hili si sawa. C.c Rasokauzu
Wazo zuri sana hili, ninalifanyia kazi mkuu. Kuna makato makubwa sana kwenye process nzima hii, pamoja na risks nyingi sana. Maana jinsi nilivyoweka hii calculator trust me nimeiweka in such a way nisipate tu hasara na sio kupata profit, maana mwanzoni nilipoanza ilikuwa juu kidogo nikawa najikuta pesa yangu ndio inakatwa nikawa na adjust to now kwenye transactions inabaki like elfu 1 au chini ya hapo, ambayo sidhani kama unaweza kuiita napata faida. Maana kwa mimi kuitoa inachukua days. Ila i do believe its helpful to people na ninajitahidi kuboresha, makato hayako very clear at the moment, since sipo upande wa pili kwenye utoaji personally na yanakuwa yanabadilika mara kwa mara hivyo ninachofanya sasa ni kwanza kunarrow down cuts and improve efficiency by directly going to the people i work with on the other side and see how to cut down transfering costs, and hopefully have better rates.Mkuu una makato makubwa sana...... Ungeweka range.... 0~49 wawe na bei yao, 50~99 wawe na bei yao 100+ wawe na bei yao pia...
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo baada ya kuuona huu uzi nimefungua acc yangu ya paypal. Kuna App moja ya michezo inaitwa AllFootball huwa wanatoa nafasi kwa washabiki kupridict baadhi ya game ambazo wametuwekea. Ukipatia au ukishinda basi wana kulipa kupitia paypal. Niliwahi kushinda na sikuwa na paypal acc basi nikaiachia pesa ikapotea hivi hivi. Ilikuwa kama $37 hivi.
Sasa baada ya kuweka huu uzi hapa nimeamua rasmi kumiliki paypal acc. Nitakuja inbox kwa maelezo zaidi au kama vp nitakupigia kabisa.
Ahsante Good Guy
Sent using Jamii Forums mobile app