Sasa unaweza kutoa pesa Pay Pal kupitia Tigo pesa, M Pesa na Airtel Money

Sasa unaweza kutoa pesa Pay Pal kupitia Tigo pesa, M Pesa na Airtel Money

Status
Not open for further replies.

Good Guy

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
3,822
Reaction score
1,434
Habari zenu wakuu, recently nimeanzisha huduma hii kusaidia wenzangu ambao hua tunajishughulisha na kazi za mitandaoni kuweza kutoa pesa wanazozipata kutoka paypal. Maana tunajua kuna restrictions katika

1. Kupokea (ambayo kama umekaa sana mtandaoni unajua kuna namna ya kuizunguka na kuweza kupokea pesa na kuingia kwenye paypal yako)

2. Kuzitoa
Namba mbili ndipo kumekuwa na shida. Namna ninavyofanya ni nimepatner na a colleague ambae yuko nje ya nchi kwahiyo ili utoe pesa zako unazituma kwenye account iliyopo kwenye Page (ntaweka link mwishoni), kisha unatuma taarifa zifuatazo. 1. Picha ya account yako ya paypal ikionyesha muamala huo 2. Namba yako ya simu ukisema pia ni mtandao gani na 3. Jina lako kamili.

Baada ya kucross check ndani ya dakika chache utapata muamala wako.
----
Kuna calculator pia ipo kwenye page (ntaweka link yake na hapa pia) unaweza kuweka pesa katika dollar na inakuonyesha baada ya kuondoa makato yote (paypal, bank withdraw and sending charges) utegemee kupokea kiasi gani. Ni ukurasa mpya na huduma mpya pia ambayo niliwaza baada ya colleague wangu huyo kunisaidia kwa muda sana kuwa natoa pesa zangu nikaona niweke open na wengine pia wafaidike mpaka pale BOT itakaporuhusu mabenki yetu kufanya hivi. Kwahiyo kama kuna ushauri na lolote kuhusu hii huduma kuboresha na mengineyo, please share it here. Thank you.

LINKS:
Money to be received calculator:
2 Rows Frames Layout (header frame)

FB Page: TZPAY

logo1.png

--
cc: @Black Tie Mwl.RCT Rogie Shopfasta King Shaat Ze showstopper wegman Mateja M.G Yango Ndebile Konsciouz Complex Brainze11 lembu Pritty wa joseph Chief-Mkwawa

-----------------------
UPDATE
-----------------------
Kama unahitaji kutumia huduma hii na kwa sababu hatujuani na unaweza kuwa hauna imani, tunaweza kukutana na tukafanya transaction tukiwa pamoja kama uko Dar es salaam. Kama uko mkoani basi unaweza niunganisha na mtu unayemuamini aliye Dar nikutane nae. Otherwise inabidi uwe na imani tu, it is a legitimate service is all i can say.

-----------
ANOTHER CURRENT UPDATE (21/09/2018)
-----------

Hello guys, this is an update to the post, as of today 21/09/2018 nimesitisha kwanza huduma hii kwa muda. Sijafuta uzi kwa sababu i believe once i sort things out i will be back to it ila kwa sasa nimesitisha huduma kwa muda. Sababu zikiwa challenge nyingi sana ambazo sikuziona ahead. Kubwa zikiwa ni:

1. Fraudulent Customers (Matapeli) > costing me significant amount of money

2. Paypal > Measures zilizopo kwenye paypal kuzuia money laundering na matumizi ya manunuzi ya vitu visivyo halali ni nyingi na imekuwa tatizo as siku zinavyokwenda na volume inaongezeka kwa kasi, transactions cancellations, withholding and other inconveniences zimekuwa a bit too much to take. Imebidi nistop everything na kuchukua hatua nyuma kwanza

3. Bank > Again bank zinakuwa na same suspisions na za paypal. An individual with no registrations processing pesa in that rate inatoa suspisions

---
Until i fix and address the issues i have no choice but to suspend the service for an unkown amount of time wakuu

Thanks
 
Tunaogopa usije ukawa ni copy ya huyu mshua!![emoji116][emoji53][emoji53][emoji53]
Hahahaha hapana mkuu, moja ya changamoto iliyopo naelewa ni kupata trust ya wateja ila naamini kwa muda itajengekeka. Ila PayPal mkuu inakuruhusu kufile chargeback complain kama hukupata kile ulichokihitaji na wanasimamia barabara kuhakikisha kweli unapata pesa zako ikiwa watagundua ni kweli. Nachukua taarifa zako kama Jina, namba za simu na picha za miamala ili kama ikitokea kesi kama izo niweze kuprove upande wangu pia kwamba huyu mtu amepata huduma.
 
Kiongozi watu wengi tunahitaji huduma ya kupokea pesa Paypal. Kwa wale tunaouza vitu ebay imekuwa changamoto. Inabidi tutumie accounts za kupokea malipo za watu tunaowaamini. Hii huduma yako ni nzuri, ila inapendeza mkiwa mnafanya katika individual level, lakini isiwe biashara ya kuhusisha watu wengi. Italeta malalamiko makubwa. Haitokuwa sustainable.
 
Hakuna ushauri katika hilo cuz' there's no way I can use unregistered third part kufanya mihamala kwa niaba yangu!

Unaweza kutumia mtu wa aina hiyo endapo tu tayari unafahamiana nae in one way or another.

Only 2 possible solutions:

1. BoT wanatakiwa kufahamu na kuziondoa barriers as to why PayPal Tanzania haziwezi kupokea pesa.

2. M-Pesa waunde mfumo wao au watumie Safaricom system ambayo unaweza kutuma pesa directly kwenye M-Pesa account kutoka kwenye platforms ambazo Safaricom wanatumika kama Payment Processor.
 
Ninafanya kazi mitandaoni part time na kwa sasa Tanzania kutoa pesa toka PayPal directly ni impossible, inabidi kupata ubia na mtu aliesehemu inayowezekana kutoa. Pale mabenki yatakapotoa vikwazo hivi naamini wote tutaneemeka.
 
Na baada ya gazeti lako hilo
Jina lako halisi ni?
Ofisi zako ukihitajika?

Fb page yako umeifungua mwezi uliopita tarehe 24. Una like moja😱😱

Gmail!!

Embu ukiwa na like nyingi niambie
..bora hata ungekuwa na 5 au kumi basi za ndugu na majamaa ila hauna.

Fb page hata mimi naweza kuifungua sasa hivi ikawa kama yako.

Ukibisha
Weka namba zako humu, anuani ya ilipo yaani location, picha yako, shule ulizosoma na miaka.. n.k.

Hii ni ili wakufurahie humu msomi mwenzao ana hii bisahara
 
Hakuna ushauri katika hilo cuz' there's no way I can use unregistered third part kufanya mihamala kwa niaba yangu!

Unaweza kutumia mtu wa aina hiyo endapo tu tayari unafahamiana nae in one way or another.

Only 2 possible solutions:

1. BoT wanatakiwa kufahamu na kuziondoa barriers as to why PayPal Tanzania haziwezi kupokea pesa.

2. M-Pesa waunde mfumo wao au watumie Safaricom system ambayo unaweza kutuma pesa directly kwenye M-Pesa account kutoka kwenye platforms ambazo Safaricom wanatumika kama Payment Processor.

Understood that. Brother sio kwamba hawawezi i mean hata Same Equity Bank iliyopo hapa which is the same Equity in kenya that allows withdraw does not do so over here. There are restrictions placed upon them. Nimefanya maongezi nao marefu sana mpaka kufikia hii hatua. This is an alternative kwa wadau ambao wanahitaji kuzitoa rather than spend the money online. In time it will be registered and trusted. In time.
 
Na baada ya gazeti lako hilo
Jina lako halisi ni?
Ofisi zako ukihitajika?

Fb page yako umeifungua mwezi uliopita tarehe 24. Una like moja😱😱

Gmail!!

Embu ukiwa na like nyingi niambie
..bora hata ungekuwa na 5 au kumi basi za ndugu na majamaa ila hauna.

Fb page hata mimi naweza kuifungua sasa hivi ikawa kama yako.

Ukibisha
Weka namba zako humu, anuani ya ilipo yaani location, picha yako, shule ulizosoma na miaka.. n.k.

Hii ni ili wakufurahie humu msomi mwenzao ana hii bisahara

Nimefungua hii page mkuu muda ambao nilikua nafuatilia taratibu mbali mbali bado na as i said hio page ni very new as in haijawa public, leo ndo nmeitoa public.
.
Ni gmail maana mimi sio kampuni, ni mtu individual ambae nilikua natumia connection niliyokua nayo na nimeona niifungue kwa watu wengine, ninafuatalia taratibu zaidi ila lazima nianzie sehemu.

Nakukaribisha kupitia baadhi ya mada zangu mkuu, most ni technology and animation based ive been here for a very long time, na hua natuma kazi zangu toka kwenye kurasa zangu binafsi. Humu ndo nyumbani. I'm seeking trust from "home" advice as well.
Jambo moja nimegundua nimeiset hii iwe "kampuni" zaidi ila naona inabidi iwe more personal based. Nnalishughulikia hilo

ngoja watu wataleta mrejesho kuwa huyu jamaa tapeli au mwizi sikuhizi hadanganywi MTU ni globalization
 
Habari zenu wakuu, recently nimeanzisha huduma hii kusaidia wenzangu ambao hua tunajishughulisha na kazi za mitandaoni kuweza kutoa pesa wanazozipata kutoka paypal. Maana tunajua kuna restrictions katika
1. Kupokea (ambayo kama umekaa sana mtandaoni unajua kuna namna ya kuizunguka na kuweza kupokea pesa na kuingia kwenye paypal yako)
2. Kuzitoa
Namba mbili ndipo kumekuwa na shida. Namna ninavyofanya ni nimepatner na a colleague ambae yuko nje ya nchi kwahiyo ili utoe pesa zako unazituma kwenye account iliyopo kwenye Page(ntaweka link mwishoni), kisha unatuma taarifa zifuatazo. 1. Picha ya account yako ya paypal ikionyesha muamala huo 2. Namba yako ya simu ukisema pia ni mtandao gani na 3. Jina lako kamili.
Baada ya kucross check ndani ya dakika chache utapata muamala wako.
----
Kuna calculator pia ipo kwenye page (ntaweka link yake na hapa pia) unaweza kuweka pesa katika dollar na inakuonyesha baada ya kuondoa makato yote (paypal, bank withdraw and sending charges) utegemee kupokea kiasi gani. Ni ukurasa mpya na huduma mpya pia ambayo niliwaza baada ya colleague wangu huyo kunisaidia kwa muda sana kuwa natoa pesa zangu nikaona niweke open na wengine pia wafaidike mpaka pale BOT itakaporuhusu mabenki yetu kufanya hivi. Kwahiyo kama kuna ushauri na lolote kuhusu hii huduma kuboresha na mengineyo, please share it here. Thank you.

LINKS:
Money to be received calculator:
2 Rows Frames Layout (header frame)

FB Page:
TZPAY

View attachment 627740

--
cc: @Black Tie Mwl.RCT Rogie Shopfasta King Shaat Ze showstopper wegman Mateja M.G Yango Ndebile Konsciouz Complex Brainze11 lembu Pritty wa joseph Chief-Mkwawa
wazo zuri sema hapo kuna ukakasi wewe tunaweza kukuamini ila vipi kama huyo rafiki yako siku akaamua kukata mawasiliano na wewe ghafla si ndio tunakuwa tumelizwa jijengee kwanza uaminifu kwa kuongeza detail zako za muhimu
hapo kwenye red unafanyaje?
 
Asante mkuu, naelewa kujenga uaminifu sio suala dogo wala la siku moja kwa case kama hii, hasa pesa zinapoingia. Nashughulikia taratibu zaidi na kujua sheria zikoje kwa biashara kama hizi in the mean time. Kama nilivosema huu ni mwanzo kabisa. Kwenye red ninachoongelea hapo ni VPN, ukifungua paypal with vpn unaweza kupokea pesa kama kawaida(unaweza kufanya hata wewe) ila kutoa ndipo tunapokwama na ndio ninapokuja hapo.
 
Understood that. Brother sio kwamba hawawezi i mean hata Same Equity Bank iliyopo hapa which is the same Equity in kenya that allows withdraw does not do so over here. There are restrictions placed upon them. Nimefanya maongezi nao marefu sana mpaka kufikia hii hatua. This is an alternative kwa wadau ambao wanahitaji kuzitoa rather than spend the money online. In time it will be registered and trusted. In time.
I know kwamba kuna restrictions! Back then, 4-5 years ago nili-exchange couple of emails with PayPal wenyewe kuhusu hilo suala. Ni tatizo la one of the 2 sides! Wakati mwingine ni suala la nchi husika but sometimes ni PayPal wenyewe. By PayPal wenyewe I mean wanakuwa tayari wamesha-restrict some transactions kwa nchi fulani fulani na wakati mwingine TOTAL restrictions kwa baadhi ya nchi.

Hata hivyo, for whatever reason, endapo mamlaka husika wangetaka kushughulikia basi ingewezekana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom