Good Guy
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 3,822
- 1,434
- Thread starter
- #41
atuelezee vizuri jinsi ya kupokea pesa
hii itamuongezea wateja
Kibaya ni kwamba bank exchange rate yao ni very bad (around 2180 to be exact), pia kwa njia ambayo nafanya pesa inabadilishwa mara mbili. From USD to RM (pesa ya malaysia ambapo ndo my colleague is stationed) then from RM to TZS ikitumwa. Yote hii ni kutokana na restrictions zilizopo kwa sasa. Baada ya hapo kuna makato ya PayPal (2% ya pesa + 0.3$), na baada ya hapo kuna makato ya withdrawing na watu wanaotuma huku Tanzania. Inakupa picha kwanini vitu viko hivyo. Ila nashughulika kuboresha hizi njia za kati kati hapa kuboresha payout. Ila kwa ambao hawana namna kuliko kuishia kutumia Ebay this is a way out at the moment.
Refer to this brother, niko tayari kufafanua zaidi sehemu isiyokua clear.
.