Dogo huyu ni baba yangu mkubwa.Tunaogopa usije ukawa ni copy ya mzee wa 'million mia tisa itapendeza'!![emoji116][emoji53][emoji53][emoji53]
asante ntajaribu kufungua akaunti nyingine kwa kutumia vpnAsante mkuu, naelewa kujenga uaminifu sio suala dogo wala la siku moja kwa case kama hii, hasa pesa zinapoingia. Nashughulikia taratibu zaidi na kujua sheria zikoje kwa biashara kama hizi in the mean time. Kama nilivosema huu ni mwanzo kabisa. Kwenye red ninachoongelea hapo ni VPN, ukifungua paypal with vpn unaweza kupokea pesa kama kawaida(unaweza kufanya hata wewe) ila kutoa ndipo tunapokwama na ndio ninapokuja hapo.
atuelezee vizuri jinsi ya kupokea pesaPersonally sina wasi wasi na jamaa
I have 100% trust in him kwa miaka nilokua member hapa JF natambua mchango wake!
Back to the topic mm navyojua hao PayPal uki register kwa VPN or whatever e.g ukafungua account ya Kenya navyojua baada ya kupokea hela kadhaa wanaomba verification uwatumie adress yako kuthibitisha kama upo Kenya au nchi ulotumia kipindi unajisajili!
Naomba mwangaza zaidi hapa maana mwenyewe nimekua nkitafuta huduma kama hii!
Its better mkuu kuliko kukosa kabisahapo umekwama yaa $ 1 unilipe 1700 ndugu PAMBANA NA HALI YAKO
Nipo mkuu, hua napita mara moja moja baada ya shughuli. Sijawahi kutumia skrill accounts hivyo sina ujuzi kama kuna namna kaka.We jamaa ulipotea sana jukwaan!! Karibu sana...
Je naweza kutuma pesa kutoka skill account kwenda paypal??
Kibaya ni kwamba bank exchange rate yao ni very bad (around 2180 to be exact), pia kwa njia ambayo nafanya pesa inabadilishwa mara mbili. From USD to RM (pesa ya malaysia ambapo ndo my colleague is stationed) then from RM to TZS ikitumwa. Yote hii ni kutokana na restrictions zilizopo kwa sasa. Baada ya hapo kuna makato ya PayPal (2% ya pesa + 0.3$), na baada ya hapo kuna makato ya withdrawing na watu wanaotuma huku Tanzania. Inakupa picha kwanini vitu viko hivyo. Ila nashughulika kuboresha hizi njia za kati kati hapa kuboresha payout. Ila kwa ambao hawana namna kuliko kuishia kutumia Ebay this is a way out at the moment.hapo umekwama yaa $ 1 unilipe 1700 ndugu PAMBANA NA HALI YAKO
Mkuu hii huduma/project ni nzuri sana sana ila naona kuna challenge moja ambayo ni kubwa zaidi ya zote...Nipo mkuu, hua napita mara moja moja baada ya shughuli. Sijawahi kutumia skrill accounts hivyo sina ujuzi kama kuna namna kaka.
Nashukuru brother, its been a while. Yeah ukifungua paypal kwa VPN unaweza kuset uko USA au nchi ingine inayoruhusu kupokea malipo kwa paypal ukaweka dummy data tu inakuruhusu kutuma na kupokea. Ndio namna ambavyo nimekua nikiweza kupokea malipo toka kwenye mitandao mbali mbali. Lakini kuwithdraw inabidi uwe na connection na mtu ambae yuko kwenye nchi inayoruhusu kuwithdraw, ambazo kwa Africa sikumbuk vizuri ila ni Kenya na SA i think, na nchi zingine ulaya uko.Personally sina wasi wasi na jamaa
I have 100% trust in him kwa miaka nilokua member hapa JF natambua mchango wake!
Back to the topic mm navyojua hao PayPal uki register kwa VPN or whatever e.g ukafungua account ya Kenya navyojua baada ya kupokea hela kadhaa wanaomba verification uwatumie adress yako kuthibitisha kama upo Kenya au nchi ulotumia kipindi unajisajili!
Naomba mwangaza zaidi hapa maana mwenyewe nimekua nkitafuta huduma kama hii!
.Mkuu hii huduma/project ni nzuri sana sana ila naona kuna challenge moja ambayo ni kubwa zaidi ya zote...
Kwanini mtu akituma dola moja anapokea 1700?
Sijajua mechanism gani mnatumia mpaka mnapata 1700 badala ya 2200 ila kwa nnavyoona hiyo ndiyo challenge utayoipata...
Mngeweza kurekebisha hapo nadhani mkifanyia matangazo mtafanikiwa sana!!
.Kibaya ni kwamba bank exchange rate yao ni very bad (around 2180 to be exact), pia kwa njia ambayo nafanya pesa inabadilishwa mara mbili. From USD to RM (pesa ya malaysia ambapo ndo my colleague is stationed) then from RM to TZS ikitumwa. Yote hii ni kutokana na restrictions zilizopo kwa sasa. Baada ya hapo kuna makato ya PayPal (2% ya pesa + 0.3$), na baada ya hapo kuna makato ya withdrawing na watu wanaotuma huku Tanzania. Inakupa picha kwanini vitu viko hivyo. Ila nashughulika kuboresha hizi njia za kati kati hapa kuboresha payout. Ila kwa ambao hawana namna kuliko kuishia kutumia Ebay this is a way out at the moment.