Sasa unaweza kutoa pesa Pay Pal kupitia Tigo pesa, M Pesa na Airtel Money

Status
Not open for further replies.
Good mkuu keep the spirit unaweza kuwa game changer in few day ahead

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAKUU A VERY IMPORTANT UPDATE, NIMESITISHA KWA MUDA KIDOGO HUDUMA. PLEASE PITIA UZI TENA JUU NIMEONGEZA UPDATE KUELEZEA BRIEFLY WHY THIS IS.
 
Njia mwafaka kwa Watanzania waliopo kenya au wanamiliki safaricom SIM card kutoa fedha kutoka PayPal account simple kweli.
1. Hamisha fedha kutoka PayPal hadi safaricom mpesa account yako.
2.Hamish fedha kutoka safaricom mpesa account yako hadi vodacom mpesa account yako. Simple convinient and fast. Mungu ibariki Afrika Mashariki na watu wake.
 

Kutoa tu ni part ya equation, paypal as well ni changamoto.
 
Sijaelewa. Registration PayPal account siyo zaidi ya dakika tatu- Majina yako na email account yako.
Limits. Kuna limits hutakiwi kuzivuka. Paypal wanaangalia kwa makini kuhakikisha kuwa haitumiki kwa biashara za kinyume na sheria, na ishu za kutakatisha pesa. Ukiwa unapokea kiasi fulani ikatokea ukapokea kiasi kikubwa zaidi ya kawaida yako wanakuwa flagged. Buyers wana abuse system ya paypal kuwajibisha wewe as a seller ni issue ingine. After using paypal kwa muda mrefu, i can tell you it is not as easy to use as you say, Kama unamatumizi madogo madogo yes you are right ni sahihi ila ukianza process kiasi kikubwa it is a nightmare na muda wowote wanahold account yako hostage huwezi kufanya kitu chochote.
 
Mkuu hii kufungua paypal kwa vpn ndo unafanyaje? mana mm ofisin kwetu natumia erp sysytem ambayo inatumia vpn lkn sijajua kuitumia hyo vpn kwa mambo mengine,, n btw mambo ya tech siko vizuri saana
 
Mkuu hii kufungua paypal kwa vpn ndo unafanyaje? mana mm ofisin kwetu natumia erp sysytem ambayo inatumia vpn lkn sijajua kuitumia hyo vpn kwa mambo mengine,, n btw mambo ya tech siko vizuri saana
Hiyo ya ERP achana nayo iko defined kwenye network yenu..ila unaweza ukadownload browsers ambazo zinakuwa na inbuilt VPN..just google.
 
Mkuu hii kufungua paypal kwa vpn ndo unafanyaje? mana mm ofisin kwetu natumia erp sysytem ambayo inatumia vpn lkn sijajua kuitumia hyo vpn kwa mambo mengine,, n btw mambo ya tech siko vizuri saana
--
Download vpn program, kwa ufupi ukiweka vpn program kwenye mashine yako na kuifungua. Inakuwezesha kubadili location yako with respect to outside communication coming to you. Nikimaanisha kama sasa hivi ukisearch "where am I" google itakuonyesha uko tanzania au more specifically ukisearch "what is my IP address" utaona ni IP ya provider wa tz, so ukiwa na VP unaweza kuchagua nchi yoyote (kwa vpn za bure unakuwa na option ya nchi kama 10 ivi) kisha ukirudia hizo steps juu utaona itakuonyesha uko nchi hiyo ambayo umechagua.

VPN ziko nyingi, just google "free vpn" au kitu kama hicho utazipata. I use one called, cyber ghost. Ukishakuwa na vpn ukiiwasha unakuwa sawa na mtu ambae anabrowse akiwa labda in USA kama umechagua USA. Hivyo ukiingia kwenye websites like paypal ukafungua account inakupa option zote.

Problem with this ni kuwa utaweka fake phone number, na fake addresses na kama ikitokea siku labda umelog in kwa device zingine au kukawa na suspicious activity wakaomba u-verify account yako hautaweza na kama kuna kiasi ndani ya account ina maana hautakipata tena, hivyo acc kama hii ni kwa ajili ya kupokelea kisha kutoa as soon as possible.

Regards
 

Unanitisha mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…