Sasa Vita ya awamu ya Tano na Sita ni dhahiri

Katafute CAG ripoti 2020/2021 kama hutaelewa mtafute mtu akutafsirie... Hayati na ukali wake watu wametafuna pesa balaa. Na yeye kashiriki.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
USALAMA WA TAIFA hivi Kwanini Hawa watu wa awamu ya Tano mnawaacha wakichochea vurugu ndani ya nchi na Hawa ukiwachunguza inaonekana wanataka tutwangane Ili wafiche madhambi waliofanya ya WIZI wa mabilioni katika utawala wa JIWE.
Aisee. Chini ya mama, nchi haitatawalika. Akitaka kuwa na amani atamke wazi kuwa 2025 ataachia kiti.
 
Hapo kwenye majeshi hakika pakiyumba pakaegemea awamu ya 6 kwisha.
Majeshi yabaki kuyasimamia mazuri ya awamu ya 5 na 6 tutafika.
Majeshi ya Tanzania hayana makundi ya kisiasa, wanalinda mipaka ya nchi awamu zote
 
😁😁Wazalendo wa kutoka Sukuma gang👇

 
Kushindana na marehemu ni ujinga utakaokuja kuigharimu serikali ya awamu ya sita kipindi itakapokuja kuwahitaji wananchi 2025.
 
Bondia ameamua kupigana na hewa na anatumia bomu la nyukilia. Mi nawashauri awamu hii watulie tu, hitaji lao na hamu yao ya vita wataipata kwenye uchaguzi wa 2025
 
Kufa kufana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…