Sasa Vita ya awamu ya Tano na Sita ni dhahiri

Sasa Vita ya awamu ya Tano na Sita ni dhahiri

Kuna kitu serikali inatafuta, inaruhusu tuhuma uchwara ili kuchafua serikali.
Tuhuma uchwara kiaje wakati hayo yote yako kwenye ripoti za CAG..,kana kwamba haitoshi hata mwaka juzi ripoti ya CAG ilikuwa mbaya mkaanza kuropoka eti wanataka kufuta legacy, pumbavu..

Upumbavu kama huu unaotetea hauna afya kwa Nchi Kwa sababu ni nyie kenge ndio mlizuia media kuikosoa serikali na hivyo kutoa mwanya kwa wizi mlioufanya.

Jana umesikia bil.222 wazalendo wa Chato mumetafuna toka 2017
 
Mkuu usishi kwa historia.
Awamu ya kwanza hadi tano hazipo tena.
Sasa tupo na changamoto zinazoikabili Awamu ya sita.
Changamoto hizo ni pamoja na kusahihisha madudu ya Awamu iliyopita.
Na kwa kuanzia lazima kukaguliwa madudu yote na kubaini makosa.
Aina ya Siasa ndio inaleta vita. Kwa lugha nyingine ni kama kunameguka mapema sana huko CCM.
 
Hii habari inaonekana kama kumchafua tu hayati. Imani yake imepenya hadi moyoni. Ni ngumu sana kuwabadili wafuasi wake
Labda imepenya kwenye mioyo ya nyie mliokuwa mnafaidika nae na wale mbulula mliokuwa mnawaita wanyonge huku wazalendo mnapiga..

Sasa mimi naelewa wapi wamepiga afu utaniambia eti Imani imepenya? Simkubali mtu Kwa sura bali kwa Kazi zinazoonekana..

Mtwara hapo kwenye mradi wa ULGSP pesa zaidi ya mil.600 zimelipwa hewa..

Huku niliko kwenye mradi huo huo wa ULGSP miradi haikukamilika na Wazalendo uchwara mlikuwepo, pumbavu zenu nyie.
 
Imani ishawakaliwa watu. Alikuwa Mr Clean. Na hata hizo report zinaonekana uzushi tu.

Alikuwa mr. Clean kwa wajinga. Wenye akili zetu tunajua alikuwa ni kiongozi shetani kwenye umbile la ubinadamu.
 
Labda imepenya kwenye mioyo ya nyie mliokuwa mnafaidika nae na wale mbulula mliokuwa mnawaita wanyonge huku wazalendo mnapiga..

Sasa mimi naelewa wapi wamepiga afu utaniambia eti Imani imepenya? Simkubali mtu Kwa sura bali kwa Kazi zinazoonekana..

Mtwara hapo kwenye mradi wa ULGSP pesa zaidi ya mil.600 zimelipwa hewa..

Huku niliko kwenye mradi huo huo wa ULGSP miradi haikukamilika na Wazalendo uchwara mlikuwepo, pumbavu zenu nyie.
Hii hasira inaonekana kisu kimekupenya hadi moyoni.

Mmeishi kwa kubangaiza na kumtukana Hayati kwa mwaka mzima. Sasa huu mwaka mmeweka Tozo kila sehemu na bado mkasingizia kwamba ulikuwa mpango wa Hayati.

Huu mwaka sijui mtasingizia Nini!

Mambo yako buruburuu.
 
Alikuwa mr. Clean kwa wajinga. Wenye akili zetu tunajua alikuwa ni kiongozi shetani kwenye umbile la ubinadamu.
Hahaha. . hiyo ndio Imani. Kuibadili hadi mfanye mambo mazito mwaka huu. Kuanzia bajeti. Sijui Tozo zitakuwa ngapi?
 
Mwamba alikuwa halisi sana ndio sababu alipata wafuasi wengi.hasa watu wa kazi kama majeshi nk
Hizi habari kwamba'sukuma gang' walitaka kupindua meza mama asikalie kiti, jeshi likaingilia Kati na kuhakikisha katiba inafuatwa sio za kweli?
 
Hahaha. . hiyo ndio Imani. Kuibadili hadi mfanye mambo mazito mwaka huu. Kuanzia bajeti. Sijui Tozo zitakuwa ngapi?
Kwa taarifa yako sio kila mmoja huku mitandaoni ni aidha wa awamu ya dhalimu au ya bibi ushungi. Hivyo ni vita vyenu wanaccm wenye maslahi na awamu hizo. Hapa tunawachora tu.
 
Kwa taarifa yako sio kila mmoja huku mitandaoni ni aidha wa awamu ya dhalimu au ya bibi ushungi. Hivyo ni vita vyenu wanaccm wenye maslahi na awamu hizo. Hapa tunawachora tu.
Mnachora tu huku nchi ikidumaa? Fanyeni jambo basi
 
3. Watu wa amawamu ya Tano, wanashikilia majeshi yetu. Kwa maana kwamba majeshi yetu bado yanaishi kwa Imani ya awamu ya Tano. Hayajaelewa vizuri Imani ya awamu ya sita. Si mnajua majeshi yetu yameundwa kwa mtindo wa hapa kazi tu tangu uhuru?
Hizi habari kwamba'sukuma gang' walitaka kupindua meza mama asikalie kiti, jeshi likaingilia kati na kuhakikisha katiba inafuatwa sio za kweli?
Anyway, tuangalie Kwanza cag anasemaje kwenye ukaguzi wa 2020/21.
 
Bondia ameamua kupigana na hewa na anatumia bomu la nyukilia. Mi nawashauri awamu hii watulie tu, hitaji lao na hamu yao ya vita wataipata kwenye uchaguzi wa 2025
Ukisikia mtu anatokewa na nzimu ndio awamu hii.
 
Back
Top Bottom