The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Tuhuma uchwara kiaje wakati hayo yote yako kwenye ripoti za CAG..,kana kwamba haitoshi hata mwaka juzi ripoti ya CAG ilikuwa mbaya mkaanza kuropoka eti wanataka kufuta legacy, pumbavu..Kuna kitu serikali inatafuta, inaruhusu tuhuma uchwara ili kuchafua serikali.
Aina ya Siasa ndio inaleta vita. Kwa lugha nyingine ni kama kunameguka mapema sana huko CCM.Mkuu usishi kwa historia.
Awamu ya kwanza hadi tano hazipo tena.
Sasa tupo na changamoto zinazoikabili Awamu ya sita.
Changamoto hizo ni pamoja na kusahihisha madudu ya Awamu iliyopita.
Na kwa kuanzia lazima kukaguliwa madudu yote na kubaini makosa.
Nimetoa analysis tu. Ila wapo wengi tu ambao sio wasukuma wanao fanya hivyo. Hapo kuwa neno sukuma gang ndilo linaonesha kama kuna ujabila na hivyo wengine hawaelei vizuriMimi sio Msukuma na naiunga mkono Awamu ya Tano waziwazi.
Labda imepenya kwenye mioyo ya nyie mliokuwa mnafaidika nae na wale mbulula mliokuwa mnawaita wanyonge huku wazalendo mnapiga..Hii habari inaonekana kama kumchafua tu hayati. Imani yake imepenya hadi moyoni. Ni ngumu sana kuwabadili wafuasi wake
Imani ishawakaliwa watu. Alikuwa Mr Clean. Na hata hizo report zinaonekana uzushi tu.
Hii hasira inaonekana kisu kimekupenya hadi moyoni.Labda imepenya kwenye mioyo ya nyie mliokuwa mnafaidika nae na wale mbulula mliokuwa mnawaita wanyonge huku wazalendo mnapiga..
Sasa mimi naelewa wapi wamepiga afu utaniambia eti Imani imepenya? Simkubali mtu Kwa sura bali kwa Kazi zinazoonekana..
Mtwara hapo kwenye mradi wa ULGSP pesa zaidi ya mil.600 zimelipwa hewa..
Huku niliko kwenye mradi huo huo wa ULGSP miradi haikukamilika na Wazalendo uchwara mlikuwepo, pumbavu zenu nyie.
Boss wangu Mara ya mwisho mlituajiri watu 10,Ila leo zamu tumeingia 4 na kila mmoja ana ID 40 mkuu.Mkuu ni kweli mmeshikilia mitandao? mko wangapi na kila mmoja ana ID ngapi?
Tunaisubiri ripoti ya CAG mwaka ujao halafu tufanye marejeo.
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo.
Hizi habari kwamba'sukuma gang' walitaka kupindua meza mama asikalie kiti, jeshi likaingilia Kati na kuhakikisha katiba inafuatwa sio za kweli?Mwamba alikuwa halisi sana ndio sababu alipata wafuasi wengi.hasa watu wa kazi kama majeshi nk
Kwa taarifa yako sio kila mmoja huku mitandaoni ni aidha wa awamu ya dhalimu au ya bibi ushungi. Hivyo ni vita vyenu wanaccm wenye maslahi na awamu hizo. Hapa tunawachora tu.Hahaha. . hiyo ndio Imani. Kuibadili hadi mfanye mambo mazito mwaka huu. Kuanzia bajeti. Sijui Tozo zitakuwa ngapi?
Sema marehemu!
Huyohuyo.Sema marehemu!
Hizi habari kwamba'sukuma gang' walitaka kupindua meza mama asikalie kiti, jeshi likaingilia kati na kuhakikisha katiba inafuatwa sio za kweli?3. Watu wa amawamu ya Tano, wanashikilia majeshi yetu. Kwa maana kwamba majeshi yetu bado yanaishi kwa Imani ya awamu ya Tano. Hayajaelewa vizuri Imani ya awamu ya sita. Si mnajua majeshi yetu yameundwa kwa mtindo wa hapa kazi tu tangu uhuru?