Isakhamisi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 387
- 448
Awamu ya magufuli ilikuwa ni ulaji mtupu ila tu alikuwa akiwalinda watu wake aliowaweka katika sehemu nyeti ile kujidai ni kiongozi wa wanyonge ilikuwa ni hadaa tu unafikiri hayo matrilioni ya shilingi yaliyopotea na mariba serikali inayolipa mpaka leo kutokana na kutolipwa wakandarasi alikuwa hayaoni, ni wizi tu nastaajabu hao ambao mpaka leo wanaendelea kumuaabudu magufuli.Katafute CAG ripoti 2020/2021 kama hutaelewa mtafute mtu akutafsirie... Hayati na ukali wake watu wametafuna pesa balaa. Na yeye kashiriki.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Umenikumbusha pm majaliwa alipotutahadharisha tuachane na uzushi: 'Mh rais ni mzima anachapa kazi ...' Punde si punde tukasikia parapanda italia.Achana na uzushi.
Achana naye huyo jamaa, kavuta bangi lililoota Chato!Hizi habari kwamba'sukuma gang' walitaka kupindua meza mama asikalie kiti, jeshi likaingilia kati na kuhakikisha katiba inafuatwa sio za kweli?
Anyway, tuangalie Kwanza cag anasemaje kwenye ukaguzi wa 2020/21.
Sijaanza leo wala Jana kuwa na hasira na Dhalimu,toka wewe humfahamu mimi nilikuwa namkosoa na kueleza kwamba hafai ,miaka mingi kabla ya kuwa hata Waziri.Hii hasira inaonekana kisu kimekupenya hadi moyoni.
Mmeishi kwa kubangaiza na kumtukana Hayati kwa mwaka mzima. Sasa huu mwaka mmeweka Tozo kila sehemu na bado mkasingizia kwamba ulikuwa mpango wa Hayati.
Huu mwaka sijui mtasingizia Nini!
Mambo yako buruburuu.
Tutawasaga hadi kaburini,akigeuka nchale akitokisika nchaleSukuma gang haiundwi na wasukuma pekee,
Hata hivyo ni kweli wasukuma wengi tunaipenda sana awamu ya tano na yeyote anayeipondea anakuwa adui wetu automatically.
Mimi ombi langu wauane kabisa kwani wote ni CCM na CCM ndiye adui namba moja wa Taifa letu.Siasa ni msingi wa mambo mengi hapa diniani. Siasa iko kila sehemu, kanisani, makazini, na hata kwenye kumbi za starehe.
Siasa ni Imani, mtu akiishi kwenye mlengo furani wa siasa na akakolea ni ngumu sana kumuondoa huko.
Awamu ya Tano ilikuwa na Aina yake ya Siasa, mlengo wake wa siasa, na hii ikawa kama Imani kwa watu walio hudumu katika awamu Ile. Na wananchi wengi pia wakazoe mtindo ule wa siasa, hasa we aliokuwa wanyonge:
Siasa hizo zilikuwa na mambo yafuatayo;
1. Siasa za hapa kazi tu: yaani watu walikuwa wakiamka wakilala wanawaza kazi tu. Mambo ya starehe hapana na yalikuwa machache mno. Na hata mambo ya Siasa kila Mara yakapigwa marufuku, mambo ya show off yakapungua. Watu wakajenga Imani ya hapa kazi tu
2. Siasa za kujitegemea. Hii iliwajengea watanzania matamanio ya kutaka kujitegemea, na wengi waliamini wanaweza kujitegemea bila kuomba omba kwa Wazungu.
3. Siasa za kuwajali wanyonge. Wanyonge walitembea kifua mbele.
4. n.k..hizo ni mifano tu Aina ya Siasa ambazo awamu ya Tano ilijenga Imani.
Bàada ya kiongozi mkuu kuaga Dunia, watu wengi Sana walilia na kuhudhinika. Lakini wangine waliamini anaeingia ataendelea na Aina Ile ya utawala/siasa.
Wakashangaa amewaacha na kujiunga na wale waliokuwa kinyume na kiongozi wao (Kigogo2014 Group).
Hii inawatesa wengi Sana hasa walio na imani ya utawala wa awamu ya Tano. Wengi wanaenda mbali na kusema Mama ndie alikuwa anavujisha siri za awamu ya Tano ( kwa kigogo 2014). Na wengine Wana muita msariti.
Sasa basi, vita imeanza kupamba moto. Na hii vita inapiganwa kwa style hii.
1. Watu wa awamu ya Sita wameshikilia mitandao. Kama kawaida Yao hata awamu ya Tano walikuwa vile vile. Na wanawapeleka hasa awamu ya Tano.
2. Watu wa amawamu ya Sita wameshika majukwaa ya kisiasa na kiutawala. Hivyo Wana nguvu na visemeo wanavyo.
3. Watu wa amawamu ya Tano, wanashikilia majeshi yetu. Kwa maana kwamba majeshi yetu bado yanaishi kwa Imani ya awamu ya Tano. Hayajaelewa vizuri Imani ya awamu ya sita. Si mnajua majeshi yetu yameundwa kwa mtindo wa hapa kazi tu tangu uhuru?
4. Watu wa awamu ya Tano wameshikilia vizuri Sana siasa za chini kwa chini hasa kwa wanyonge. Ukiongea na watu watano wale wa nchini, nne haiwaelewi hii awamu. Wengi watakwambia ni awamu ya wapigaji. Ndio maana hata mawaziri wakitumia ndege utasikia wapigaji wanapenda Raha.
Vita hii vinaipa nguvu awamu ya Tano kushinda uchaguzi iwapo uchaguzi ungefanyika Leo. Kwa maana ya walio wapiga kura ni wale wanao iunga mkono awamu ya Tano.
Awamu ya Tano haijapata mtu wa kujitoa hadharani na kutetea, Imani Yao. Hivyo wanaitwa washamba.
Awamu ya sita, inajulikana kama awamu ya wahuni. Awamu ya msoga. Wengi wanawaita wezi.
Awamu ya Tano , wanajulikana kama sukuma gang, hii inawapunguzia mashabiki wasio wasukuma. Ila inawapa nguvu wasukuma kuendelea kuipigania awamu ya Tano kimyakimya.
Itaendelea
Dhalim alikuwa mpigaji ila hakutaka wengine wapige,alikuwa fisadi papaKatafute CAG ripoti 2020/2021 kama hutaelewa mtafute mtu akutafsirie... Hayati na ukali wake watu wametafuna pesa balaa. Na yeye kashiriki.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Aliyapata mazombie tu kama weweMwamba alikuwa halisi sana ndio sababu alipata wafuasi wengi.hasa watu wa kazi kama majeshi nk
Kama mimi zombie wewe maiti kabisa.Aliyapata mazombie tu kama wewe
Kwa sasa aliyezuia anajuta.sema ni kwa vile tu alifanya kazi aliyoapa kuifanya.ila ni kama anaelewa kwanini dr alitaka kufanya aliyotaka.Hizi habari kwamba'sukuma gang' walitaka kupindua meza mama asikalie kiti, jeshi likaingilia Kati na kuhakikisha katiba inafuatwa sio za kweli?
Hii nchi ni maskini toka enzi za Nyerere, dhalimu ndio alikuwa anashurutisha tuamini ni tajiri, wakati yeye mwenyewe alikuwa anategemea uporaji ili awe tajiri.Mnachora tu huku nchi ikidumaa? Fanyeni jambo basi
Tunaishi humu kitambo. Tunajuana. Hahaha..Mtoa mada umeandika kutokana na unavyoona siasa ikisonga ila na wewe umeingia kwenye genge la SG, huku wale uliowataja kuwepo mitandaoni kuchafua ya 5 wakikuchapa kwa replies, hawajui umesimamia 5 au 6!.
Najua tu moja kwamba wote ni ccm wanyojaji wakubwa wa nchi hii,kumbafu zaoSiasa ni msingi wa mambo mengi hapa diniani. Siasa iko kila sehemu, kanisani, makazini, na hata kwenye kumbi za starehe.
Siasa ni Imani, mtu akiishi kwenye mlengo furani wa siasa na akakolea ni ngumu sana kumuondoa huko.
Awamu ya Tano ilikuwa na Aina yake ya Siasa, mlengo wake wa siasa, na hii ikawa kama Imani kwa watu walio hudumu katika awamu Ile. Na wananchi wengi pia wakazoe mtindo ule wa siasa, hasa we aliokuwa wanyonge:
Siasa hizo zilikuwa na mambo yafuatayo;
1. Siasa za hapa kazi tu: yaani watu walikuwa wakiamka wakilala wanawaza kazi tu. Mambo ya starehe hapana na yalikuwa machache mno. Na hata mambo ya Siasa kila Mara yakapigwa marufuku, mambo ya show off yakapungua. Watu wakajenga Imani ya hapa kazi tu
2. Siasa za kujitegemea. Hii iliwajengea watanzania matamanio ya kutaka kujitegemea, na wengi waliamini wanaweza kujitegemea bila kuomba omba kwa Wazungu.
3. Siasa za kuwajali wanyonge. Wanyonge walitembea kifua mbele.
4. n.k..hizo ni mifano tu Aina ya Siasa ambazo awamu ya Tano ilijenga Imani.
Bàada ya kiongozi mkuu kuaga Dunia, watu wengi Sana walilia na kuhudhinika. Lakini wangine waliamini anaeingia ataendelea na Aina Ile ya utawala/siasa.
Wakashangaa amewaacha na kujiunga na wale waliokuwa kinyume na kiongozi wao (Kigogo2014 Group).
Hii inawatesa wengi Sana hasa walio na imani ya utawala wa awamu ya Tano. Wengi wanaenda mbali na kusema Mama ndie alikuwa anavujisha siri za awamu ya Tano ( kwa kigogo 2014). Na wengine Wana muita msariti.
Sasa basi, vita imeanza kupamba moto. Na hii vita inapiganwa kwa style hii.
1. Watu wa awamu ya Sita wameshikilia mitandao. Kama kawaida Yao hata awamu ya Tano walikuwa vile vile. Na wanawapeleka hasa awamu ya Tano.
2. Watu wa amawamu ya Sita wameshika majukwaa ya kisiasa na kiutawala. Hivyo Wana nguvu na visemeo wanavyo.
3. Watu wa amawamu ya Tano, wanashikilia majeshi yetu. Kwa maana kwamba majeshi yetu bado yanaishi kwa Imani ya awamu ya Tano. Hayajaelewa vizuri Imani ya awamu ya sita. Si mnajua majeshi yetu yameundwa kwa mtindo wa hapa kazi tu tangu uhuru?
4. Watu wa awamu ya Tano wameshikilia vizuri Sana siasa za chini kwa chini hasa kwa wanyonge. Ukiongea na watu watano wale wa nchini, nne haiwaelewi hii awamu. Wengi watakwambia ni awamu ya wapigaji. Ndio maana hata mawaziri wakitumia ndege utasikia wapigaji wanapenda Raha.
Vita hii vinaipa nguvu awamu ya Tano kushinda uchaguzi iwapo uchaguzi ungefanyika Leo. Kwa maana ya walio wapiga kura ni wale wanao iunga mkono awamu ya Tano.
Awamu ya Tano haijapata mtu wa kujitoa hadharani na kutetea, Imani Yao. Hivyo wanaitwa washamba.
Awamu ya sita, inajulikana kama awamu ya wahuni. Awamu ya msoga. Wengi wanawaita wezi.
Awamu ya Tano , wanajulikana kama sukuma gang, hii inawapunguzia mashabiki wasio wasukuma. Ila inawapa nguvu wasukuma kuendelea kuipigania awamu ya Tano kimyakimya.
Itaendelea
Na hao wanaosema Sukuma Gang wanafanya makusudi kuonesha kuna ukabila, lakini hapo hapo wanajichanganya kwa kuwataja watu walio Sukuma Gang ambao sio Wasukuma. Mfano, eti Prof. Kabudi, Dk. Bashiru hata mimi Mtoto wa Shule! Ahahahahahahaha!!!Nimetoa analysis tu. Ila wapo wengi tu ambao sio wasukuma wanao fanya hivyo. Hapo kuwa neno sukuma gang ndilo linaonesha kama kuna ujabila na hivyo wengine hawaelei vizuri