Sasa Vita ya awamu ya Tano na Sita ni dhahiri

Na hao wanaosema Sukuma Gang wanafanya makusudi kuonesha kuna ukabila, lakini hapo hapo wanajichanganya kwa kuwataja watu walio Sukuma Gang ambao sio Wasukuma. Mfano, eti Prof. Kabudi, Dk. Bashiru hata mimi Mtoto wa Shule! Ahahahahahahaha!!!
Hahaha...na hapo ndo Wanapochanganyikiwa..na kuamua kufyeka wote
 
Mkuu usishi kwa historia.
Awamu ya kwanza hadi tano hazipo tena.
Sasa tupo na changamoto zinazoikabili Awamu ya sita.
Changamoto hizo ni pamoja na kusahihisha madudu ya Awamu iliyopita.
Na kwa kuanzia lazima kukaguliwa madudu yote na kubaini makosa.
Si ndiyo ilikuwa awamu ya mzalendo no 1
 
Wameshatuona mabwege,Ina maana serikali ya awamu ya tano alikuwa Magu peke yake!
Hoo wapinzani wana uchu wa madaraka,nini kiliwafanya waendelee kuwepo kwenye serikali ambayo walikuwa hawakubaliani nayo kama sio uchu wa madaraka?
 
Kwani huyo CAG ni malaika we mburula? Kwamba akisema yeye basi ndo ukweli ulivyo. Mara ngapi huyo CAG ameleta taarifa ambazo zilipofuatiliwa hazikua na uhalisia wowote. Nadhani ipo haja nafasi hii iangaliwe upya kikatiba maana sasa inatumika kisiasa.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
...
Hata hivyo mtu akisoma na kuchomwa hadi moyoni lazima abwatuke.
Ukizoesha familia yako kula mkate wa siagi kila asubuhi, siku wakikuta mihogo au magimbi mezani wote wataenda kulala na kujifanya wanaumwa.

Ila sasa ole wake wapate nafasi ya kuongea ndipo utajua.
 
Sio swala la umalaika ni swala la utaalamu.
 
Sukuma Gang tupa kule, washamba sana nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…