DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Kifupi turudi kwenye dini zetuKwani wewe hujaona Video ya Papa akimbagua Askofu mweusi wakati Maaskofu wazungu walipewa hug/mabusu shavuni alivofika kwa Mweusi nini kilitokea? Tena uyu Papa wa Mambo yaleeeeeee
Hahahaha nimegundua bila shaka wewe ni mtu ambaye hutumii akili vizuri, ni wale makafiri kazi yao ni kudandia tu maneno na fikra zao za upotofu. Kama kitu hujui sema ufundishwe sio kujitolea mawazo yako kichwani ndugu yangu, ukitaka kujua njoo nikufundisheKingereza nakisomea wapi mzee wewe unabisha kwa ujinga tu ila hujui hata kusoma kitabu ulicholetewa kuna mafundisho mengi sana yapo huko kwa mfano unajua aya inayozungumzia anasa za miti ya pombe na mabikra 70 ..je unajua aya inayotaja jambo la jihadi vita ya kuuwa magafiri wote..
Hujui sasa kutokujua usiseme kwamba haipo..
hii video yako haina maelezo wala haioneshi mwisho, pengine keshapewa karudi tena , pengine hakufuata utaratibu, unataka kutumainisha waarabu hawatupendi kwa propaganda za kijinga, huko kijijini kwenu anechimba kisima si muarabu au hujui
Sijaona tatizo.Kwaio hapo huoni tatzo punguza udini
Dini gani hizo?Kifupi turudi kwenye dini zetu
Huu ni utumwa wa hiari
Hakuna mahali tumeelekezwa kufanya hivyo, hiyo ni mitazamo ya kibinadamu tu, wengi ni kwa kutoelewa mafundisho na maelekezo na wengine kwa kufuata matamanio ya dunia na kisiasa, lakini dini haiamrishi hivyo, mtume hakuwahi kumvizia mtu kumuua hivyo, yeye alipigana katika uwanja wa vita na maadui zake wote!!Dini ya haki hii ya kujitoa mhanga na kuuwa watu hovyo kisa kumpigania allah?
Dini gani sasa??Kifupi turudi kwenye dini zetu
Huu ni utumwa wa hiari
Na Pengine clip hiyo ni ya kutengeneza ili tu kuwachafua waarabu/waislamu waendelee kuchukiwa na nchi za kikafiri, kwa wayahudi weusi wamewapata akina Dr Matola PhD n.k π, si unajua tena nchi za kiislamu zinavyopitia wakati mgumu dhidi ya mayahudi na wamagharib!Hao makafiri kazi yao kueneza chuki tu, video haina maelezo wala haina mwisho ,
Bora hata wewe umeliona hili..Wametia huruma, duh sio poa....
Weee kijana weweNa nyie muache uroho
Hapo utakuta wanarudi mara ya 10 π
Kama anarudia mara 2 2 je! Na unajuaje huyo ni mwarabu na sio myahudi kwa myahudi mweusi, au mmagharibi kwa myahudi weusi!Inasikitisha sana
Vitu kama hivi vya kubaguliwa vitaisha siku sisi wenyewe watu weusi tukijitambua,kwenye kila kitu zikiwemo hizi dini tunazoziabudu kuzizingatia kiundani kiasi cha kuwazidi hata waliotuletea hizi diniMimi sitetei Papa wala kipapa, hapa issue watu weusi tuache kuabudu hawa watu.
Ndugu zetu Congo wanakufa kinyama Jirani tu hapo, lakini mswahili yuko bize na Free Please.
Stupid.
Yaani huwa nawashangaa sana wanaojinasibu na uarabu na kuwasifia...ndio maana kule Saudi Arabia wananyewa midomoniHebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Hahahasioni kosa la mwarabu hapo. mtu mweusi anapaswa kubaguliwa haswa mpaka awe mtu kamili.
Ehh itakuwa kwa sababu ya kuomba omba piaHao sio vilema, waache kuombaomba na kuwapapatikia hao wavaa wavaa madera
Kwahiyo roho mbaya hapo imeamua kuchagua mweusi tu ? AiseeRoho mbaya haina dini,walakabila,wala utaifa. Ni tabia ya mtu BINAFSI
Comment ya kubabe sana hiisioni kosa la mwarabu hapo. mtu mweusi anapaswa kubaguliwa haswa mpaka awe mtu kamili.