Sasa wale wafia dini hebu tuelezeni huwa mnawapapatikia hawa watu Kwa sababu zipi?

Sasa wale wafia dini hebu tuelezeni huwa mnawapapatikia hawa watu Kwa sababu zipi?

Kwahiyo wewe ukiona mtu mweupe tu unajua mwarabu 😁 halafu ukisema mwarabu anambagua mtu mweusi ukajua ndio tabia zao basi moja kwa moja umefeli, hiyo ni nafsi ya mtu hata waafrika, wazungu, wahindi wapo wanaobagua race zingine, sometimes uwe unajiongeza na usiwe mtu wa kujiona unaonewa onewa.

Wewe unachuki sana na waarabu na uislamu kwa ujumla na huo ndio ukweli wenyewe, na sijui lini utabadilika, na hata watoto wako wasije wakarithi roho yako.
 
Kwani wewe hujaona Video ya Papa akimbagua Askofu mweusi wakati Maaskofu wazungu walipewa hug/mabusu shavuni alivofika kwa Mweusi nini kilitokea? Tena uyu Papa wa Mambo yaleeeeeee
Kifupi turudi kwenye dini zetu

Huu ni utumwa wa hiari
 
Kingereza nakisomea wapi mzee wewe unabisha kwa ujinga tu ila hujui hata kusoma kitabu ulicholetewa kuna mafundisho mengi sana yapo huko kwa mfano unajua aya inayozungumzia anasa za miti ya pombe na mabikra 70 ..je unajua aya inayotaja jambo la jihadi vita ya kuuwa magafiri wote..
Hujui sasa kutokujua usiseme kwamba haipo..
Hahahaha nimegundua bila shaka wewe ni mtu ambaye hutumii akili vizuri, ni wale makafiri kazi yao ni kudandia tu maneno na fikra zao za upotofu. Kama kitu hujui sema ufundishwe sio kujitolea mawazo yako kichwani ndugu yangu, ukitaka kujua njoo nikufundishe
 
hii video yako haina maelezo wala haioneshi mwisho, pengine keshapewa karudi tena , pengine hakufuata utaratibu, unataka kutumainisha waarabu hawatupendi kwa propaganda za kijinga, huko kijijini kwenu anechimba kisima si muarabu au hujui

Huyu anajulikana sanaa, ana chuki mbaya sana kwa waarabu na uislamu kwa ujumla, anatumia nguvu kubwa kulaghai/kueneza chuki ili tu waarabu wachukiwe 😁 amefeli sana
 
Dini ya haki hii ya kujitoa mhanga na kuuwa watu hovyo kisa kumpigania allah?
Hakuna mahali tumeelekezwa kufanya hivyo, hiyo ni mitazamo ya kibinadamu tu, wengi ni kwa kutoelewa mafundisho na maelekezo na wengine kwa kufuata matamanio ya dunia na kisiasa, lakini dini haiamrishi hivyo, mtume hakuwahi kumvizia mtu kumuua hivyo, yeye alipigana katika uwanja wa vita na maadui zake wote!!
 
Hao makafiri kazi yao kueneza chuki tu, video haina maelezo wala haina mwisho ,
Na Pengine clip hiyo ni ya kutengeneza ili tu kuwachafua waarabu/waislamu waendelee kuchukiwa na nchi za kikafiri, kwa wayahudi weusi wamewapata akina Dr Matola PhD n.k 😁, si unajua tena nchi za kiislamu zinavyopitia wakati mgumu dhidi ya mayahudi na wamagharib!
 
Mimi sitetei Papa wala kipapa, hapa issue watu weusi tuache kuabudu hawa watu.

Ndugu zetu Congo wanakufa kinyama Jirani tu hapo, lakini mswahili yuko bize na Free Please.

Stupid.
Vitu kama hivi vya kubaguliwa vitaisha siku sisi wenyewe watu weusi tukijitambua,kwenye kila kitu zikiwemo hizi dini tunazoziabudu kuzizingatia kiundani kiasi cha kuwazidi hata waliotuletea hizi dini
 

Attachments

  • IS_THE_POPE_RACIST____#popefrancis_#catholic(480p).mp4
    2.7 MB
Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.

Jitafakari.

Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Yaani huwa nawashangaa sana wanaojinasibu na uarabu na kuwasifia...ndio maana kule Saudi Arabia wananyewa midomoni

Yaani Mtu na pua yake pana kama ngumi, nywele ngumu za katani na lips pana anajidai Mwarabu na kuona Waarabu wamestaarabika sana

Yaani hawa Watu weusi wana laana
 
Back
Top Bottom