Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Hawaelewi hata black Americans hawampendi mwafrika. Muite Jamaica,Haiti,aka Caribbean people wenye asili ya black kuwa wewe Ni muafrika atakumaindi Ile mbaya.Mtu mweusi ni takataka tu mbele za watu wote duniani.
Mwafrika anashindwa kutibu mwafrika mwenzake like mtt mpaka apewe chochote uelewe.Comment ya kubabe sana hii
Ova
Mtoa sadaka anafanya kwa utashi wake binafsi, hajatumwa na dini.Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Hasira za nini? Upo kwanini humsaidii unalalama mwingine ndo amsaidie? Kwani dini gani inalazimisha kusaidia?Sijamaliza kuangalia hii video, inatia hasira sana
Anaweza akamnyma hata muarabu mwenzie. Ni roho mbaya tu ndo tabiaKwahiyo roho mbaya hapo imeamua kuchagua mweusi tu ? Aisee
Weweunamchukuliaje muarabu?Waarabu wanaona mtu mweusi bado ni mtumwa.
Wanamfahau huyo kafir, eti kaenda kuvaa hijab ya kuombea msaada, kapewa Sasa karudia tena kuomba anaambiwa aondoke kupewa ni mara moja tuu.Kafir wa Kwanza ni huyo aliyenyimwa futari.
Yesu kristo anaamini katika Uislamu wewe unamfuata yesu yupi???
Hapa brain wash imefanya kazi yake vizuri, Yani ukiona Mwarabu unatetemeka kabisa.Na Pengine clip hiyo ni ya kutengeneza ili tu kuwachafua waarabu/waislamu waendelee kuchukiwa na nchi za kikafiri, kwa wayahudi weusi wamewapata akina Dr Matola PhD n.k π, si unajua tena nchi za kiislamu zinavyopitia wakati mgumu dhidi ya mayahudi na wamagharib!
Kwa Mwarabu mtu yeyote mweusi ni Kafir tu.Wanamfahau huyo kafir, eti kaenda kuvaa hijab ya kuombea msaada, kapewa Sasa karudia tena kuomba anaambiwa aondoke kupewa ni mara moja tuu.
Alikwambia huwa anasoma kiingereza?Mzee we kiingereza unakijua???
Waarabu walikuja Africa na wakaeneza uislam kwa waafrika, Sasa kama wangekuwa watu weusi wamelaaniwa wangeeneza uislam?Kwa Mwarabu mtu yeyote mweusi ni tu.
Waarabu wote wanaamini mtu mweusi amelaaniwa, hili wala siyo jambo la Siri.
Umesema vizuri sanaRoho mbaya haina dini,walakabila,wala utaifa. Ni tabia ya mtu BINAFSI
U kweli mchungu, bila kujisimamia lazima utadharauliwa tu, vijana wa Senegal wameanza vzr, kama huna kitu lazima utadharauliwa tu,Mtu mweusi ni takataka tu mbele za watu wote duniani.
Kwa Mwarabu mtu yeyote mweusi ni Kafir tu.
Waarabu wote wanaamini mtu mweusi amelaaniwa, hili wala siyo jambo la Siri.
Dini haikuwa target yao, target yao kuu ilikuwa pembe za ndovu Kwa cover ya kueneza dini ambayo wanajuwa wazi wala haimuhusu mtu mweusi/Mwafrica.Waarabu walikuja Africa na wakaeneza uislam kwa waafrika, Sasa kama wangekuwa watu weusi wamelaaniwa wangeeneza uislam?
Teh teh πππ acha uchochezi aiseeeSasa DPWorld imeingiaje hapa au mimi ndio sijaelewa.
Hizo dini zenu ziko wapi? Ebu tuelekeze zilipo tukasikilize mafundisho ili tuwe na ufahamu wa kuchagua kilicho bora.Kifupi turudi kwenye dini zetu
Huu ni utumwa wa hiari
Dini ya kiislamu sio dini ya kiarabu. Hata wa Israel pia warabu na hakuna taifa lenye roho mbaya duniani kama wao, wa Israeli. Kuthibitisha hili, fuatiria kwanin walifukuzwa Uganda na idi amin na Hitler aliwafukuza pia ujerumani. Alafu, mmoja aki fanya kosa haimaanishi wote ni waasi. Kila mmoja ana nafsi yake na ataadhibiwa kwa dhambi zake, sio dhambi za jamii yake. Kwa upande mwingine, kweli hao washenzi wana tabia mbaya kuliko ivyo unavyoona, ila kumbuka tu dini ya kiislamu sio dini ya kiarabu. Mwisho, binadamu kuwa n roho mbaya ni kawaida.Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Upo sahihi..kuna ile nyingine Kadinali mweusi anarukwa na Papa bila kupewa Salamu.Mimi sitetei Papa wala kipapa, hapa issue watu weusi tuache kuabudu hawa watu.
Ndugu zetu Congo wanakufa kinyama Jirani tu hapo, lakini mswahili yuko bize na Free Please.
Stupid.