Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kinyume cha kutokuwa muislamu sio kuwa mkristu.Usiongee usichkijua Kuna uislam na waarabu na sio waarabu wote wanafata Sheria za Mungu kwn wakristo wote ndo wannafata ukristo si ndo wanaongoza Kwa maasi?
Nawauliza wakristo wote kuanzia wewe muha na mkristo mwenzio mwarabu mzungu mchina mhindi mlatini na wakristo wenzio wote duniani, na kama unajua kuwa kuna waarabu wakristo inawezekana hata huyo kwenye video akawa mkristo,Hapa brain wash imefanya kazi yake vizuri, Yani ukiona Mwarabu unatetemeka kabisa.
Inawezekana hujui kama kuna Waarabu Wakristo.
Ndio maana tunasema, ukristo na uislamu ni dini za kipuuzi.Kwani wewe hujaona Video ya Papa akimbagua Askofu mweusi wakati Maaskofu wazungu walipewa hug/mabusu shavuni alivofika kwa Mweusi nini kilitokea? Tena uyu Papa wa Mambo yaleeeeeee
Mrangi,
Uarabuni kuna matabaka wao kwao wanabaguana sembuse mtu aliyetoka Afrika.Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Sasa utanifundishaje kitu hukijui nimekuuliza we unaweza kusoma kiarabu ukasema hapana sasa utanifundishaje??Hahahaha nimegundua bila shaka wewe ni mtu ambaye hutumii akili vizuri, ni wale makafiri kazi yao ni kudandia tu maneno na fikra zao za upotofu. Kama kitu hujui sema ufundishwe sio kujitolea mawazo yako kichwani ndugu yangu, ukitaka kujua njoo nikufundishe
ipo iyo Video,inasikitisha sana.Kwani wewe hujaona Video ya Papa akimbagua Askofu mweusi wakati Maaskofu wazungu walipewa hug/mabusu shavuni alivofika kwa Mweusi nini kilitokea? Tena uyu Papa wa Mambo yaleeeeeee
Ni mpumbavuWeweunamchukuliaje muarabu?
Mbona sasa magaidi yanaua ili kusimamisha dini?Hakuna mahali tumeelekezwa kufanya hivyo, hiyo ni mitazamo ya kibinadamu tu, wengi ni kwa kutoelewa mafundisho na maelekezo na wengine kwa kufuata matamanio ya dunia na kisiasa, lakini dini haiamrishi hivyo, mtume hakuwahi kumvizia mtu kumuua hivyo, yeye alipigana katika uwanja wa vita na maadui zake wote!!
Nimeipenda hiiHizo ni roho tu za kibinadamu ni kama mzungu anavyombagua vinicius Junior.
Dini ililetwa kwa wote thats why kuna wachina wanaijua dini na wanapractice kuliko waarabu na Allah amesema
"Hakika nimewaumbeni mataifa na makabila mbalimbali ili tu mjuane, Ila aliye bora na aliye karibu na Allah ni mtu mchamungu...... "
Angalia matendo ya binadamu wote duniani yanafanana, waislamu wa kweli tabia zao zinafanana, waislamu wa mchongo pia wanafanana na hata wanaopinga uislamu wanafanana kwa hoja na chuki zao.
Nakuusia ingia kwenye dini ya haki dokta Matola
Huku kwetu, "naam" anaitika mwanaume/mtoto wa kiume.Naam, umeniita?
Tatizo nini?
ππ HALAFU WAO WANAJIONA NDUGU MOJA NA WAARABU!Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Nilitalajia aitike Bee, anyway huwezi kujuwa hii ndio JF labda hiyo ni ID ya taasisi.Huku kwetu, "naam" anaitika mwanaume/mtoto wa kiume.
Wewe ukiitwa itika kwa namna ya kwetu, au huko uliko wanawake mnaitika "naam"?
πCheka Pole Poleππ HALAFU WAO WANAJIONA NDUGU MOJA NA WAARABU!
ACHA WAWAKOMESHE!