Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

Nilitaka kusema ila hayo maandishi ya herufi kubwa yamenitishamo
 
Mimi nitamchagua pedeshee ndama toto ya ng'ombe "mooooo"
Anamahela.
 
Kwendraaa zako, huyo ulomuongelea hapo sio daddy hata. Nitajie buana, ntatunza siri kwa mzee
Hahahaaaaaa!! Hivi kuna siri ulowahi kuitunza kwa baba yako wewe!! Labda za baba yako unifiche mimi.
Ila kwa baba yako utajikuta tu umesema hata usipoulizwa.
 
Hahahaaaaaa!! Hivi kuna siri ulowahi kuitunza kwa baba yako wewe!! Labda za baba yako unifiche mimi.
Ila kwa baba yako utajikuta tu umesema hata usipoulizwa.
Ndo Leo naanza kutunza lol, so niamini tu
 
Ole wako uwe bibi bomba halafu nikuone kwa pm [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji109]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…