Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Haha mtaje tu, me na wewe tena kizuri tunakula woteNitamtaja mumeo umbea ukutokee puani
Nami nasubiri amtaje.Haha mtaje tu
Haha wewe ulimtaja wako?Nami nasubiri amtaje.
kosea hata kunitaja mimi basi ehhhhNami nasubiri amtaje.
THE RICHARDS haya nishakosea[emoji12]kosea hata kunitaja mimi basi ehhhh
Ndio nilimtaja, nasubiri ataje maana amesema atamtaja mumeo.Haha wewe ulimtaja wako?
wewe ushatajwaaa nimekimbiaa hilo jimboTHE RICHARDS haya nishakosea[emoji12]
Nimetajwa na nani sasa, mwanaume hutakiwi kuwa muoga hivyo.wewe ushatajwaaa nimekimbiaa hilo jimbo
haaaaa tena unataka kutugombanisha nitarudi kujenga kambi ujue japo wewe wa wengiπππππNimetajwa na nani sasa, mwanaume hutakiwi kuwa muoga hivyo.
ha ha ha haNaombeni mnichague,sintowaangusha
ha ha ha haOnyo!!mimi ni padre hivyo tuheshimiane!![emoji85]
Sasa nikugombanishe na nani?haaaaa tena unataka kutugombanisha nitarudi kujenga kambi ujue japo wewe wa wengiπππππ
oh mimi nasubiri upewe taraka ndipo nianze kukufaidiSasa nikugombanishe na nani?
Talaka nipewe na nani?oh mimi nasubiri upewe taraka ndipo nianze kukufaidi
pole best ndo hivyo mtaje mwingine hahahahaaaNiliemfikiria ameshatajwa!! bora nikae kimya!! imagine ametajwa tu na roho imeniuma lol.