Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

Kuwa famous raha wengine tunavuta sharubu tu [emoji23] [emoji23] wengine wanapiga beat et msiponitaja ntawatumbua [emoji23] [emoji23]
 
Duh, hapa ndo ule msemo wa unampenda asiyekupenda unatimia. Yani kwenye ile thread inayofanana na hii wanaume wamewataja sana tena kwa kugombaniana, lakini huku zamu yenu mmeamua kukimbia!!!!!???? Mje muwataje huku.
 
Back
Top Bottom