Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #381
Mimi siyo mjinga.labda wewe ndiye mjinga.Acha kung'ang'aniza kuwahusisha wazazi au ndugu kwenye kinyongo chako kwa Sativa.Kwa mfano,wewe unajulikana JF kwamba ni mjinga sana.Kwa hiyo tuwahusishe wazazi na nduguzo kwenye ukarunguyeye wako?
Biashara ipi anayofanya pale Ikulu? mali za umma zinachotwa wewe shetani unashangili sababu ya kusubiri uteuzi.Mfukoni
Tuombe kupigiwa kura humu JF.Nikikushinda kwa ujinga nahama kijijini kwetu.Mimi siyo mjinga.labda wewe ndiye mjinga.
Yeye mwenyewe wazazi wake wanaombea afe wapate hata rambirambi maana ni hasara kuwa na jitu lijinga kama hiliAcha kung'ang'aniza kuwahusisha wazazi au ndugu kwenye kinyongo chako kwa Sativa.Kwa mfano,wewe unajulikana JF kwamba ni mjinga sana.Kwa hiyo tuwahusishe wazazi na nduguzo kwenye ukarunguyeye wako?
sasa si itakua ni kutukana zaidi gentleman 🐒Salaam gentleman nmnasema
Sativa anatukana matusi Mbona hamyataji hayo matusi
Wamuuze au kubadilishana na debe moja la ulanzi.Yeye mwenyewe wazazi wake wanaombea afe wapate hata rambirambi maana ni hasara kuwa na jitu lijinga kama hili
Hili ni chizi kabisaKwani hao waliomteka na kumtupa pori la katavi hawakujua kama mungu yupo? Acha ufala we KIMA chawa mkubwa wewe kujipendekeza tuu mtoto wa kiume na teuzi hupewi, na sativa ashasema hataki ushauri wowote wa kima kama wewe.
Hata kuwa PS pale UWT Chunya sijui alifikaje huyu shetaniWamuuze au kubadilishana na debe moja la ulanzi.
Alihonga mbalagha na kitimoto aliye hai.Hata kuwa PS pale UWT Chunya sijui alifikaje huyu shetani
MtekeniInatakiwa akamatwe haraka sana.maana amevuka mpaka na mstari wa kibinadamu unaokubalika katika jamii yoyote ile.
Huyu shetani hana faida yoyoteAlihonga mbalagha na kitimoto aliye hai.
Hili ni TAHIRA kabisa.Hili ni chizi kabisa
Daah, kwa mfano ametoa tusi gani? Kwa nani?Ndugu zangu Watanzania,
Kiwango alichofikia huyu kijana ni kibaya sana,ni kiwango ambacho hakihitaji kuvumiliwa wala kuachwa hivi hivi pasipo kudhibitiwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
Kwa sasa anatukana matusi ya nguoni mpaka mtu mwenye hekima na akili timamu unabaki unaona aibu na fedheha kubwa.Ni matusi na lugha ambazo yeyote mwenye akili Timamu,mwenye hofu ya Mungu na mcha Mungu na aliyepata malezi mazuri ya wazazi wake hawezi kutukana wala kutoa iwe hadharani au mafichoni.
Sielewi huyu kijana kama wazazi wake wapo hai au walishatangulia mbele za haki.sielewi ikiwa huyu kijana ana ndugu wa karibu au viongozi wa Dini . sielewi huyu kijana kama amewahi hata kujua kama Mungu yupo na kwamba kuna siku sisi wanadamu tutakufa na kwenda kutoa hesabu mbele za Mwenyezi Mungu.sielewi kama huyu Kijana amewahi kuishi na wazazi wake na kulelewa katika ukuaji wake.
Anatoa lugha na matusi makubwa na yenye kuibua hasira,chuki na ghadhabu kubwa sana . Ni matusi na lugha ambazo hazikubaliki mbele ya jamii iliyostaarabika. Ni matusi na lugha ambazo haziwezi na hazipaswi kufumbiwa macho na kuachwa zipite hivihivi.
Huyu kijana anapaswa kudhibitiwa haraka sana.hawezi kuachwa aendelee kutukana matusi ya Nguoni.ni lazima akamatwe na kuwajibishwa kisheria.ni lazima afundishwe adabu ,ni lazima aambiwe huo siyo utamaduni wetu na siyo maadili yetu ya kitanzania. Ni lazima aambiwe wazi kwa vitendo kuwa popote pale Duniani hakuna uhuru wa kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu mbele ya watu waliostaarabika na ukaachwa hivi hivi.
Kama kuna mtu anaweza kuunga mkono matusi ya huyu kijana basi atakuwa ni mtu wa ajabu sana,mwenye matatizo ya akili,mwenye kukosa hofu ya Mungu na aliyekosa malezi ya wazazi wake na mwenye matatizo kichwani na asiyejitambua.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ila waliomteka na kumpiga risasi wapo vizuri mentally?Saliva hayupo vizuri mentally kutokana na magum aliyopitia, nadhan anahitaji tiba!
Ana faida nzuri tu.Ni mtumbuizaji wa JF.Huyu shetani hana faida yoyote
Hovyo mkuuHili ni TAHIRA kabisa.
Hivi we jamaa sio shoga kweli?Ndugu zangu Watanzania,
Kiwango alichofikia huyu kijana ni kibaya sana,ni kiwango ambacho hakihitaji kuvumiliwa wala kuachwa hivi hivi pasipo kudhibitiwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
Kwa sasa anatukana matusi ya nguoni mpaka mtu mwenye hekima na akili timamu unabaki unaona aibu na fedheha kubwa.Ni matusi na lugha ambazo yeyote mwenye akili Timamu,mwenye hofu ya Mungu na mcha Mungu na aliyepata malezi mazuri ya wazazi wake hawezi kutukana wala kutoa iwe hadharani au mafichoni.
Sielewi huyu kijana kama wazazi wake wapo hai au walishatangulia mbele za haki.sielewi ikiwa huyu kijana ana ndugu wa karibu au viongozi wa Dini . sielewi huyu kijana kama amewahi hata kujua kama Mungu yupo na kwamba kuna siku sisi wanadamu tutakufa na kwenda kutoa hesabu mbele za Mwenyezi Mungu.sielewi kama huyu Kijana amewahi kuishi na wazazi wake na kulelewa katika ukuaji wake.
Anatoa lugha na matusi makubwa na yenye kuibua hasira,chuki na ghadhabu kubwa sana . Ni matusi na lugha ambazo hazikubaliki mbele ya jamii iliyostaarabika. Ni matusi na lugha ambazo haziwezi na hazipaswi kufumbiwa macho na kuachwa zipite hivihivi.
Huyu kijana anapaswa kudhibitiwa haraka sana.hawezi kuachwa aendelee kutukana matusi ya Nguoni.ni lazima akamatwe na kuwajibishwa kisheria.ni lazima afundishwe adabu ,ni lazima aambiwe huo siyo utamaduni wetu na siyo maadili yetu ya kitanzania. Ni lazima aambiwe wazi kwa vitendo kuwa popote pale Duniani hakuna uhuru wa kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu mbele ya watu waliostaarabika na ukaachwa hivi hivi.
Kama kuna mtu anaweza kuunga mkono matusi ya huyu kijana basi atakuwa ni mtu wa ajabu sana,mwenye matatizo ya akili,mwenye kukosa hofu ya Mungu na aliyekosa malezi ya wazazi wake na mwenye matatizo kichwani na asiyejitambua.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Binafsi simtaki kabisa anachafua jukwaa wote tunaonekana ni wajinga kama yeyeAna faida nzuri tu.Ni mtumbuizaji wa JF.