SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

Matusi sio mazuri lakini hayashindi uzito wa kudhurumu zawadi ya uhai......
Kabisaa, wanaopaza sauti juu ya matusi yake wangekuwa mstari wa mbele kudai haki yake ya kile alichofanyiwa. Sijui kama wanajua maumivu ya kuchungulia kaburi
 
Kweli matusi sio jambo la busara lakini huyo dogo wakumdhibiti ni Mungu sio nyie
 
Mtu yeyote ambae anatumia matusi kama suluhisho la matatizo yake namuona kama Ana matatizo ya akili kwakweli! Hapa najiuliza kwahiyo anavotukana hivo anasolve tatizo kwa namna gani??? Naomba nieleweshwe kwa yule anayemuelewa..
 
Back
Top Bottom