Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Msaidie wewe, kwani umeshindwa nini.Ninyi ndio mnampoteza huyo kijana badala ya kumsaidia hata kwa ushauri wa kisaikolojia. Hivi hamuoni kuwa anaendelea kupotea kabisa.
Kama umejua ana tatizo, litatue wewe.