Insipectakomba
Member
- Aug 29, 2024
- 63
- 89
Ni kweli kabisa mkuu mafwele ni wakerewe hao nimeishi kule hayo majina yapo mengi sanaMafwele watu wa ukerewe hao,wanashiriki ujinga hawa ndugu zetu,wanatuaibisha kanda ya ziwa.cc wambura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa mkuu mafwele ni wakerewe hao nimeishi kule hayo majina yapo mengi sanaMafwele watu wa ukerewe hao,wanashiriki ujinga hawa ndugu zetu,wanatuaibisha kanda ya ziwa.cc wambura
Unafikir hatabyuke aliyekuja anapiga push up jukwaani yeye mwenyewe alikua anaogopa kufa. Kweli kweliKumbe na wao wsnaogopa kufa?
Inasikitisha sanaMuda so mrefu utasikia Mafwele kapandishwa cheo.... Hii ndiyo Tanzania ya Mama
Mbaya zaidi ni pale waliokabidhiwa dhamana ya kulinda wanapogeuka kuwa ndio ADUI.So sad nchi yetu sio salama
Sitoshangaa sansMuda so mrefu utasikia Mafwele kapandishwa cheo.... Hii ndiyo Tanzania ya Mama
Kwa sababu ni Serikali ya waovu, hivyo jitu ovu kuliko yote, ndiyo linaonekana linafaa kuliko wote.Muda so mrefu utasikia Mafwele kapandishwa cheo.... Hii ndiyo Tanzania ya Mama
Lucas Mwashambwa na chawa wenzako njooni basi mkanusheSativa amesimulia kwa kina tukio la kutekwa kwake jijini Dar es Salaam, ambapo alifunikwa kwa mask yenye matundu ya macho na mdomo yaliyogeuzwa nyuma. Alisafirishwa kwa gari aina ya Hilux Double Kab lenye rangi ya kijivu na namba zisizo za Tanzania, huku dereva akienda kwa kasi ya 120-140 km/h. Safari hiyo ilijawa na vitisho, ikiwemo bastola ndogo iliyomuonyesha porini walipomshusha kujisaidia. Baada ya mateso na vitisho, alipelekwa kituo cha polisi Arusha ambacho hakukijua kwa jina, lakini alithibitisha kuwa ni kituo cha polisi kutokana na sare za askari waliomlinda.
Hili ndio gari walilolitumia kunisafirisha kutokea DAR (kituo cha polisi OSTABAY siku ya 24/6 "jumatatu" majira ya saa 0520- 0525).
Nilifunikwa na mzura (zile mask zenye matobo ya macho na mdomo) ila hayo matundu waliyageuzia kwa nyuma kwenye kisogo.
Hii gari ilitembea speed kubwa sana kwenye 120 - 140. Nilijua hii speed baada ya wao kwa wo kuanza kuzozana baada ya kuwa wamevuta BANGI SANA NA POMBE NYINGI.
Mmoja akaanza kuingia mashaka na dereva kuwa "kuwa makini saizi ni usiku afu umevaa miwani ya tinted utatuletea shida"
Ndipo dereva akajibu kwa kupanic "yani mchana wote nilikuwa natembea na speed ya 120-140-160 saizi natembelea 100 unaniletea mawenge yako" akaanza kutukana matusi.
Hili gari nililijuaje kama ni "HILUX 4X4 DOUBLE KAB".
Kuna muda baada ya kuulizwa maswali na kuna tuhuma walitaka kunipa ambayo mimi niliona kabisa natenda kuteswa kwa kosa la kuonewa TUMBO LILIVHAFUKWA nikaomba nijisaidie haja kubwa.
Tumbo lilianza kuunguruma wakaona wanishushe PORINI na kunitoa mask na pingu na kuniambia nisimame pale nijisaidie.
Wakati huo nimeshushwa ndio nikawaona wao body structure zao wakiwa na miili mikubwa sana (WANATISHA SANA).
Wakaniambia "unaiona hii?" Nikajibu ndio naiona. Ilikuwa ni Bastora ndogo. Wakaniambia "fanya usenge tukumwage ubongo". Wakanipa maji ya kujisafisha.
Ikabidi nitoe nguo muda huo waniangalia, kiukweli sikuweza kufanya lolote ikabidi nisimame nivae nguo nigeukie lilipo gari.
Hapo ndio nikalijua gari.
Lilikuwa gari aina ya HILUX DOUBLE KAB.
Rangi ya kijivu.
Plate number haikuwa yenye usajilu wa TANZANIA zilikuwa namba nyingi nyingi kama zile gari za usajili kutokea "South Africa"
Nikapigwa Pingu na mask na kurudishwa kwenye gari na safari kuendelea.
Saizi nilipelekwa kituo cha polisi ARUSHA ambacho sikukijua jina ila niliweza kukijua kuwa ni kituo cha polisi kwa rangi nilizoziona zimepakwa ukutani pale mapokezi (blue & white).
Lakini pia kuna muda nililetewa chakula na Mapolisi waliovalia sare za jeshi la Tanzania kabisa.
MAFWELE HAWA WATU NDIO ALIOWAAMBIA WALE MAPOLISI WA OSTABAY KUWA WANIFUNGE PINGU KUNA WATU WATAKUJA KUNICHUKUA.
HAWA WATU MAFWELE ANAWAJUA VIZURI SANA NA NDIO ANAWAFADHIRI HUKO MBELE MTANIELEWA VIZURI SANA.
MAFWELE MUACHIE SOKA NA WOTE ULIOWATEKA MAANA ISHAKUWA NOMA, MIMI KABLA HUJAJA KUNIUA MARA YA PILI DUNIA ITAKUWA ISHAJUA KILA KITU KUHUSU WEWE.
SATIVA17🫡
Wale polisi wa ostabay (wanne) na watano tuliemkuta "kalakana" nawakumbuka wote kwa sura na maumbile yao.
Wadada wawili na wanaume watatu. Walinikaribisha kule kalakana kw kusema "karibu hapa ndio ofisini kwetu".
Ofisi yao wao ni kalakana.
Mafwele alipofika walimpigia SALUTE🫡
Siku ya kwanza nimeongea story yangu public niliongea kwenye Club house. Ilikuwa 7/8 saa mbili kamili usiku.
Kwenye story yangu kuna mahali nilimtaja mtu mwenye sifa hizi hapo awali sikumjua kabisa kwa majina.
Sifa nilizozitaja;
1. Mrefu
2. Mweusi
3. Mwili wa ukakamavu (kama mtu wa mazoezi)
4. Ni kama mtu wa kanda ya Ziwa kimuonekano wake (watu wa Mwanza, geita, ukerewe).
5. Alivaa jezi ya simba (ya msimu uliopita nyekundu)
6. Alivaa bukta ya kaki.
7. Mkononi alikuwa na simu nyingi kama sio 2 basi 3.
Siku 20 baadae nikaja kuona picha za huyu jamaa hapo pichani alifahamika kwa jina la MAFWELE. Siku nimeiona hii picha nilitetemeka sanaa.
Niliogopa sana nikakumbuka mateso makali niliyopitishwa, nikarudia kuangalia hii picha nikakumbuka ni yeye aliekuja kituo cha polisi usiku ule OSTABAY.
Hapo hapo nikawatumia watu wangu wa karibu kuwa huyu mtu ndie alikuja usiku ule Obay na kutoa amri niwekwe pembeni aongee na wale mapolisi waliokuja kunikamata KOROGWE.
Hili jamaa ndio lilitaka nife, Huyu ndio anahisi yeye atafika 2099 hapa duniani.
Kama kweli jina lako ndio MAFWELE NKUAHIDI tutakuwa na safari ndefu mimi na wewe.🤝
Soma
=> Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa
=> Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata nikipotea kesho Jeshi la Polisi litakuwa limehusika
Karma itaanza nae, familia na hata kizazi cha tano. Hata waliomtuma na kushikiana nae hawatasalia. Mungu hadhihakiwi.Inatisha sana, binadamu kuwa na roho mbaya si sawa kabisa. Ana familia kweli mtu aina hiyo?
Aache uongo wake hapa.Lucas Mwashambwa na chawa wenzako njooni basi mkanushe
Pia somaSativa amesimulia kwa kina tukio la kutekwa kwake jijini Dar es Salaam, ambapo alifunikwa kwa mask yenye matundu ya macho na mdomo yaliyogeuzwa nyuma. Alisafirishwa kwa gari aina ya Hilux Double Kab lenye rangi ya kijivu na namba zisizo za Tanzania, huku dereva akienda kwa kasi ya 120-140 km/h. Safari hiyo ilijawa na vitisho, ikiwemo bastola ndogo iliyomuonyesha porini walipomshusha kujisaidia. Baada ya mateso na vitisho, alipelekwa kituo cha polisi Arusha ambacho hakukijua kwa jina, lakini alithibitisha kuwa ni kituo cha polisi kutokana na sare za askari waliomlinda.
Hili ndio gari walilolitumia kunisafirisha kutokea DAR (kituo cha polisi OSTABAY siku ya 24/6 "jumatatu" majira ya saa 0520- 0525).
Nilifunikwa na mzura (zile mask zenye matobo ya macho na mdomo) ila hayo matundu waliyageuzia kwa nyuma kwenye kisogo.
Hii gari ilitembea speed kubwa sana kwenye 120 - 140. Nilijua hii speed baada ya wao kwa wo kuanza kuzozana baada ya kuwa wamevuta BANGI SANA NA POMBE NYINGI.
Mmoja akaanza kuingia mashaka na dereva kuwa "kuwa makini saizi ni usiku afu umevaa miwani ya tinted utatuletea shida"
Ndipo dereva akajibu kwa kupanic "yani mchana wote nilikuwa natembea na speed ya 120-140-160 saizi natembelea 100 unaniletea mawenge yako" akaanza kutukana matusi.
Hili gari nililijuaje kama ni "HILUX 4X4 DOUBLE KAB".
Kuna muda baada ya kuulizwa maswali na kuna tuhuma walitaka kunipa ambayo mimi niliona kabisa natenda kuteswa kwa kosa la kuonewa TUMBO LILIVHAFUKWA nikaomba nijisaidie haja kubwa.
Tumbo lilianza kuunguruma wakaona wanishushe PORINI na kunitoa mask na pingu na kuniambia nisimame pale nijisaidie.
Wakati huo nimeshushwa ndio nikawaona wao body structure zao wakiwa na miili mikubwa sana (WANATISHA SANA).
Wakaniambia "unaiona hii?" Nikajibu ndio naiona. Ilikuwa ni Bastora ndogo. Wakaniambia "fanya usenge tukumwage ubongo". Wakanipa maji ya kujisafisha.
Ikabidi nitoe nguo muda huo waniangalia, kiukweli sikuweza kufanya lolote ikabidi nisimame nivae nguo nigeukie lilipo gari.
Hapo ndio nikalijua gari.
Lilikuwa gari aina ya HILUX DOUBLE KAB.
Rangi ya kijivu.
Plate number haikuwa yenye usajilu wa TANZANIA zilikuwa namba nyingi nyingi kama zile gari za usajili kutokea "South Africa"
Nikapigwa Pingu na mask na kurudishwa kwenye gari na safari kuendelea.
Saizi nilipelekwa kituo cha polisi ARUSHA ambacho sikukijua jina ila niliweza kukijua kuwa ni kituo cha polisi kwa rangi nilizoziona zimepakwa ukutani pale mapokezi (blue & white).
Lakini pia kuna muda nililetewa chakula na Mapolisi waliovalia sare za jeshi la Tanzania kabisa.
MAFWELE HAWA WATU NDIO ALIOWAAMBIA WALE MAPOLISI WA OSTABAY KUWA WANIFUNGE PINGU KUNA WATU WATAKUJA KUNICHUKUA.
HAWA WATU MAFWELE ANAWAJUA VIZURI SANA NA NDIO ANAWAFADHIRI HUKO MBELE MTANIELEWA VIZURI SANA.
MAFWELE MUACHIE SOKA NA WOTE ULIOWATEKA MAANA ISHAKUWA NOMA, MIMI KABLA HUJAJA KUNIUA MARA YA PILI DUNIA ITAKUWA ISHAJUA KILA KITU KUHUSU WEWE.
SATIVA17🫡
Wale polisi wa ostabay (wanne) na watano tuliemkuta "kalakana" nawakumbuka wote kwa sura na maumbile yao.
Wadada wawili na wanaume watatu. Walinikaribisha kule kalakana kw kusema "karibu hapa ndio ofisini kwetu".
Ofisi yao wao ni kalakana.
Mafwele alipofika walimpigia SALUTE🫡
Siku ya kwanza nimeongea story yangu public niliongea kwenye Club house. Ilikuwa 7/8 saa mbili kamili usiku.
Kwenye story yangu kuna mahali nilimtaja mtu mwenye sifa hizi hapo awali sikumjua kabisa kwa majina.
Sifa nilizozitaja;
1. Mrefu
2. Mweusi
3. Mwili wa ukakamavu (kama mtu wa mazoezi)
4. Ni kama mtu wa kanda ya Ziwa kimuonekano wake (watu wa Mwanza, geita, ukerewe).
5. Alivaa jezi ya simba (ya msimu uliopita nyekundu)
6. Alivaa bukta ya kaki.
7. Mkononi alikuwa na simu nyingi kama sio 2 basi 3.
Siku 20 baadae nikaja kuona picha za huyu jamaa hapo pichani alifahamika kwa jina la MAFWELE. Siku nimeiona hii picha nilitetemeka sanaa.
Niliogopa sana nikakumbuka mateso makali niliyopitishwa, nikarudia kuangalia hii picha nikakumbuka ni yeye aliekuja kituo cha polisi usiku ule OSTABAY.
Hapo hapo nikawatumia watu wangu wa karibu kuwa huyu mtu ndie alikuja usiku ule Obay na kutoa amri niwekwe pembeni aongee na wale mapolisi waliokuja kunikamata KOROGWE.
Hili jamaa ndio lilitaka nife, Huyu ndio anahisi yeye atafika 2099 hapa duniani.
Kama kweli jina lako ndio MAFWELE NKUAHIDI tutakuwa na safari ndefu mimi na wewe.🤝
Soma
=> Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa
=> Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata nikipotea kesho Jeshi la Polisi litakuwa limehusika
Deputy commissioner kabisa. SACP atairuka.Muda so mrefu utasikia Mafwele kapandishwa cheo.... Hii ndiyo Tanzania ya Mama
Hapa umeona umemaliza maelezo yote!Aache uongo wake hapa.