Sativa alipia matangazo Instagram kuanika uchafu wa Jeshi la Polisi

Ukiwa katika hali ya emotional usifanye maamuzi yatakayobeba hatima yako badala yake ihusishe akili ama tulia kwanza. Hakuna tatizo lisilo na suluhu.
Huyo alikuwa keshakufa anasema yeye anajihesabu kama mfu tayari, kwa pumzi yake iliyosalia kaamua kufanya kile alichoamua sasa wewe unamshauri kipi tena? Ushauri wako ulifaa kabla hajapata madhila yale kwa mara ya kwanza
 
Mm wapi nimekwambia nna uhakika?
Kwa hiyo mtu Kama hajulikani alipo anakuwa kauawa?
Sasa kama hauna uhakika walipo mbona unanibishia navyosema wameuliwa? Vituoni vya polisi hawapo ,hospital hawapo ,jinsi walivyopotea ni kwamba wametekwa ,Ben saanane mwaka wa 8 huu haonekani unataka kusema kwamba hajauliwa? Zitto alifanya uchunguzi alisema ben alichukuliwa na TEETH........Soka na Chaula washauliwa hutokuja kusikia wamepatikana kama ben Saanane au azory.
 
HAO WATU WANAYATAKA WENYEWE WACHA WAHANGAIKE NA FAMILIA ZAO WEWE UKITULIA NA KUFANYA MAMBO YAKO NANI ATAKUFUATA KUKUTEKA? UNAACHA KUFANYA KAZI UNATAKA KUFANYA KAZI ZA WENGINE ACHA KAA TULIA FANYA YAKO WAACHE WAFANYE YAO UONE KAMA KUNA KMTU ATAKUTAFUTA UNACHEZEA MWILI KWA MAMBO YA HIOVYO KAMA SIASA? UNATAKA MAJUTI YASIYO NA MAANA
 
Huyo alikuwa keshakufa anasema yeye anajihesabu kama mfu tayari, kwa pumzi yake iliyosalia kaamua kufanya kile alichoamua sasa wewe unamshauri kipi tena? Ushauri wako ulifaa kabla hajapata madhila yale kwa mara ya kwanza
ANAHAMU YA KUFA AU ANA BIP KIFO KITAMPIGIA HALAFU ALETE SHIDA KWA NDUIGUZAKE
 
Najua anaumia kwa yale waliyomfanyia, ila mie ningemshauri apotezee tu, watanzania wenyewe tunaopambaniwa ni zaidi mgonjwa wa nusu kaputi, sisi na maiti tofauti yetu ni mwendo tu, watanzania sisi ni maiti zinazoJONGEA.
HAMNA HAJA YA KUPOTEZA UHAI WAKO KWA MTU ANAITWA MTANZANIA UNAPOTEA PEKEYAKO WANAKUSAHAU
 
Angekufa ile mara ya kwanza? Ungepata mshauri hiki unachosema?
 
ANAHAMU YA KUFA AU ANA BIP KIFO KITAMPIGIA HALAFU ALETE SHIDA KWA NDUIGUZAKE
"If you are neutral in the situation of injustice you have chosen the side of oppressor."
Archbishop late Desmond Tutu of Anglican Church of South Africa.

Je, wale wafanyabiashara wa madini kutoka Mahenge Morogoro waliouliwa na Askari Polisi wa Kamanda Abdallah Zombe, na yule mfanyabishara mwingine wa madini ambaye pia aliuliwa na Askari Polisi kule Mtwara (wakiongozwa na Kalanje) nao walikuwa wanafanya siasa?
 
SASA HAO WANAHUSIKANA VIPI NA HUYU SATIVA ANAYETAKA KUIKOMBOA TANZANIA KWAKUFANYA UJINGA WA KUCHEZEA MWILI WAKE YAANI JAMAA ANACHEKESHA SANA HAJIHURUMII
 
Madhara yake anayajua na kayaona
Nilikubali alipoamua kufunguka ni jambo zuri ila sasa mambo ya kuingia mitandaoni kufanya fujo mara mafyelee mara mulikoo mara mtoto wa mafyelee this mara mtoto wa muliko that kila anaemgusa dogo anajaa upepo tu sio fresh kabisa
Amefungua kesi asubiri majibu ya kesi yake kama yamekuja vibaya hapo sasa tunaweza kusema kama mbwai na iwe mbwai
Kwanini asifanye kama kaflag,tito ?
Apunguze utoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…