Ukisoma comments utagundua wengi wa Tz...tuko wanafiki, waoga, wabinafsi..mtu aliishakula chuma cha kichwa..huyu aliishaona maisha ya mwanadamu hayana maana sana - anaowashuku kufanya hivyo..wapo kawataja, nobody is doing anything...njia pekee anayoona inamsaidia ni hiyo ya mitandao ya kijamii - na kasaidia kuongea sana - kasikika - huwezi ukamlinfanisha ni key - board warriors..tunaotumia majina fake hata kutoa ushauri mzuri..then watu wako bizy..oooh dogo atulie, oohh atapotezwa..sijui blablah gani..Lets him continue with his fights..atakapoishia hapohapo itatosha - at least jamii imepata abc ya vitu vinavyoendelea - Kila mtu apiginanie his/her calling bila kujazwa upepo na uoga...Nyinyi ambao mnafikiri kwa kukaa kimya kwenu au kuwa nice guys..just know kuwa mwisho wa siku we will all die...
Tumuache kijana - apambane na njia aliyoamua kuchukua - tusikae kuhukumu tu wakati hatujawahi hata kupigwa mshale wa mguu.
Tumuache kijana - apambane na njia aliyoamua kuchukua - tusikae kuhukumu tu wakati hatujawahi hata kupigwa mshale wa mguu.