Sativa alipia matangazo Instagram kuanika uchafu wa Jeshi la Polisi

Sativa alipia matangazo Instagram kuanika uchafu wa Jeshi la Polisi

Shida tupu. Dogo kawatambua wauaji halafu watu wanajifanya hawataki kuambiwa kama huyu na huyu ndio wauaji wangu na wanaotekwa etii kisa kuogopa kupotezwa Watanzania kweli sisi wajinga sana.

Bora upinzani wangetuacha na maujinga yetu tu
Hata mimi nimeshangaa sana. Yaani kitu hamkijui kuhusu huyo dogo hana cha kupoteza kabisa nini hajakiona? Anyamaze kisa nini? kuna kitu watu wanashindwa kuelewa mtu ametesswa life yake iikuwa between life and death
 
"It is not enough to avoid injustice if you're not promoting justice" Pope Francis
"When injustice becomes law resistance becomes duty."
Thomas Jefferson.

Therefore, Sativa is right in his activism of resisting brutality done by criminal Police Officers and other security agents of the brutal regime.
 
Wakati mwingine kukaa kimya ni bora zaidi. Unadhani anaweza shindana na mamlaka katika taifa hili lililojaa wahuni kwenye mamlaka? Ili kulinda hadhi na vyeo vyao wako tayari kumwaga ubongo wa mtu bila kusita..
Ogopa sana mtu anaepambania madaraka na cheo.
Hao amabao wako tayari kumwaga ubongo wa watu nakuhakikishia hawataishi milele wote ni wapitaji

Mwache sativa aongee yaani utekwe upelekwe kituo cha polis alafu kamanda wa polisi aje aseme kwa dharau eti ni washikaji ndo wamemteka mambo mengine yanakera
 
Wakati mwingine kukaa kimya ni bora zaidi. Unadhani anaweza shindana na mamlaka katika taifa hili lililojaa wahuni kwenye mamlaka? Ili kulinda hadhi na vyeo vyao wako tayari kumwaga ubongo wa mtu bila kusita..
Ogopa sana mtu anaepambania madaraka na cheo.
In my view, Sativa has nothing to lose because he has already lost each and everything during his abduction and when he kept into hostage.
 
"When injustice becomes law resistance becomes duty."
Thomas Jefferson.

Therefore, Sativa is right in his activism of resisting brutality done by criminal Police Officers and other security agents of the brutal regime.
Mfano sahivi utekaji hatuusikii tena hii ni kwa sababu ya kelele za sativa na watu wengine
Laiti watu wangekaa kimya mpaka sahivi ule utekaji ungekuta unaendelea
 
Hana cha kupoteza
Ukimuua usipomuua kwake yote ni sawa sawa.

Kule Talibani Wamarekani waliamua kuondoka wenyewe.

Wakati Wamarekani wanapambana kulinda uhai na hadhi ya binadamu lakini Watalibani wao waliona kuishi. Na kutoishi vyote ni sawa sawa.

Sasa kupamana na mtu kama huyu unakuwa unapoteza resources na muda wako bure. Over several decades US wakaamua wajiondokee tu.
 
Ukimuua usipomuua kwake yote ni sawa sawa.

Kule Talibani Wamarekani waliamua kuondoka wenyewe.

Wakati Wamarekani wanapambana kulinda uhai na hadhi ya binadamu lakini Watalibani wao waliona kuishi. A kutoishi vyote ni sawa sawa.

Sasa kupamana na mtu kama huyu unakuwa unapoteza resources na muda wako bure. Over several decades US wakaamua wajiondokee tu.
Ingekua ni mimi hata ile ela ya matibabu ya Rais ningeikataa haiwezekan serekali yako initeke alafu baadae unipe ela ya matibabu alafu siku mbili ulisema wanaotekwa ni drama mimi binafsi ningekataa na nisingekubali kuhojiwa na polisi ambao ni watuhumiwa wakwanza
 
Jamaa Bado hawajamalizana naye cha kufanya ni atokomee nje ya East Africa kabisa.

Yeah ,sehemu alipo siyo salama sana ,namshauri aongee vizuri na ubalozi aondoke aende Europe kama aliyoenda Jasusi Chahali na Ngurumo au aende State alipo Da Mange ,huko ni salama kuwapa Makavu kina mafwele na Muliro....kwa E.A Sir100 akipiga simu moja tu kwa Hustler, Sativa anadakwa kama kuku wa MDONDO.
 
Back
Top Bottom