Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hapo sawa.Nilikubali alipoamua kufunguka ni jambo zuri ila sasa mambo ya kuingia mitandaoni kufanya fujo mara mafyelee mara mulikoo kila anaemgusa dogo anajaa upepo tu
Amefungua kesi asubiri majibu ya kesi yake kama yamekuja vibaya hapo sasa tunaweza kusema kama mbwai na iwe mbwai
Kwanini asifanye kama kaflag,tito ?
Apunguze utoto
Mshaurini vizuri ukakamavu wa mitandaoni halafu deep down mtaan unaishi kama digi digi sio mzuri atulize kichwa atafute washauri wazuri maria ana hasira za karibu hii ni nature ya kinamama asikubali kila ushauri anaopewa halafu abwage tu mitandaoniHapo sawa.
Kwamba CCM hilo dude kubwa ndo linateka watu kama akina Sativa sio, nyie si mlisema CHADEMA ndo wanateka watu - sasa hivi mnarudi kwenye dude kubwa...CCM chama la wenyewe au sio??Wewe unaandika maneno kihisia mkuu.
Ugumu wa maisha usikuchanganye Mzee wangu...CCM ni dude kubwa
CCM ni Chama la wananchi wa Tanzania 🇹🇿Kwamba CCM hilo dude kubwa ndo linateka watu kama akina Sativa sio, nyie si mlisema CHADEMA ndo wanateka watu - sasa hivi mnarudi kwenye dude kubwa...CCM chama la wenyewe au sio??
Sijamshauri nimetoa maoni yangu. Wewe unadhani unampenda zaidi ya familia yake? Uhai ni zawadi mwenye uwezo wa kuulinda ni aliyetupa hii zawadi ila mwenye jukumu la kuutunza ni la mwenye huo uhai. Ebu juchukulie wewe kwanza maamuzi uliyowahi kuyachukua kwa kufuata mihemko yako yakikufikisha wapi?Huyo alikuwa keshakufa anasema yeye anajihesabu kama mfu tayari, kwa pumzi yake iliyosalia kaamua kufanya kile alichoamua sasa wewe unamshauri kipi tena? Ushauri wako ulifaa kabla hajapata madhila yale kwa mara ya kwanza
Uko sahihi simanzi inakwenda kwa familia yake. Kwa upande mwingine huenda risasi imemuachia majeraha ya kisaikolojia ambayo hayataponyeka kamwe. Na athari zake ndio msingi wa akifanyacho sasa. Na hili analisema sana kuwa yeye alishakufa tayari.Sijamshauri nimetoa maoni yangu. Wewe unadhani unampenda zaidi ya familia yake? Uhai ni zawadi mwenye uwezo wa kuulinda ni aliyetupa hii zawadi ila mwenye jukumu la kuutunza ni la mwenye huo uhai. Ebu juchukulie wewe kwanza maamuzi uliyowahi kuyachukua kwa kufuata mihemko yako yakikufikisha wapi?
Kijana anapaswa kuwa unpredictable kwa sasa, atulize akili.
Hayajukukuta wewe. Yakikuta hata chupi utagopa kuvaaManeno ya mtandaoni hayata mfikisha popote
🤣🤣🤣uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo dogo mkudaUnaf*rwa
Siku anajizahau hamna ushahidi watamaliziaEdgar Mwakabela maarufu kama Sativa ambaye ni muhanga wa matukio ya utekaji, leo hii amelipia matangazo ya Instagram ili kuanika uhalifu unaofanywa baadhi ya askari wa jeshi la polisi.
Haya ameyaeleza Sativa katika ukurasa wake wa Twitter (X) leo tarehe 06/10/2024, ambapo ametenga bajeti ya Tshs. 135,000/= kwa muda wa siku tano kulipia matangazo hayo.
Ifuatayo ni nukuu kutoka kwenye ukarasa wa X wa Sativa:
MULILO TIME YO SHINE.🔥
Mnalipa CHAWA 20k wanichafue.
Mimi nawalipa INSTAGRAM kuaniaka uchafu wenu.
@tanpol u messed w/ GEN Z.
Budget $50 = 135,000/= TSH.
Duration: siku 5.
@tanpol shindaneni na Technology.😁
Let's Cruise🤝
Mwisho wa kunukuu.
View attachment 3116835View attachment 3116836
Pia soma: Kuelekea 2025 - Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata nikipotea kesho Jeshi la Polisi litakuwa limehusika
Wanaotumika vibaya ni haya majambazi yanayoteka watu. Shetia zipo wazi, kama mtu anakosa akamatwe ashtakiwe, lakini haya mashetani badala ya kumkamata mtuhumiwa, yanateka na kuua. Haya wacha yashambuliwe kwa nguvu zote. Lakini Polisi wanaofanya kazi kwa kufuata sheria, waheshimiwe, wapongezwe na kutiwa moyo.Ameanza kutumika vibaya