Sativa alipia matangazo Instagram kuanika uchafu wa Jeshi la Polisi

Sativa alipia matangazo Instagram kuanika uchafu wa Jeshi la Polisi

Nilikubali alipoamua kufunguka ni jambo zuri ila sasa mambo ya kuingia mitandaoni kufanya fujo mara mafyelee mara mulikoo kila anaemgusa dogo anajaa upepo tu
Amefungua kesi asubiri majibu ya kesi yake kama yamekuja vibaya hapo sasa tunaweza kusema kama mbwai na iwe mbwai
Kwanini asifanye kama kaflag,tito ?
Apunguze utoto
Hapo sawa.
 
Hapo sawa.
Mshaurini vizuri ukakamavu wa mitandaoni halafu deep down mtaan unaishi kama digi digi sio mzuri atulize kichwa atafute washauri wazuri maria ana hasira za karibu hii ni nature ya kinamama asikubali kila ushauri anaopewa halafu abwage tu mitandaoni
Mafyelee maulikooo
 
Anatumia nguvu kubwa sana, Mambo mengine ni ya kuachana nayo tu ili ujenge Uchumi wako, Kiburi cha CCM na majeshi yao ni cha kuvunja miamba na kuamisha milima.
 
Wewe unaandika maneno kihisia mkuu.

Ugumu wa maisha usikuchanganye Mzee wangu...CCM ni dude kubwa
Kwamba CCM hilo dude kubwa ndo linateka watu kama akina Sativa sio, nyie si mlisema CHADEMA ndo wanateka watu - sasa hivi mnarudi kwenye dude kubwa...CCM chama la wenyewe au sio??
 
Kwamba CCM hilo dude kubwa ndo linateka watu kama akina Sativa sio, nyie si mlisema CHADEMA ndo wanateka watu - sasa hivi mnarudi kwenye dude kubwa...CCM chama la wenyewe au sio??
CCM ni Chama la wananchi wa Tanzania 🇹🇿
 
Huyo alikuwa keshakufa anasema yeye anajihesabu kama mfu tayari, kwa pumzi yake iliyosalia kaamua kufanya kile alichoamua sasa wewe unamshauri kipi tena? Ushauri wako ulifaa kabla hajapata madhila yale kwa mara ya kwanza
Sijamshauri nimetoa maoni yangu. Wewe unadhani unampenda zaidi ya familia yake? Uhai ni zawadi mwenye uwezo wa kuulinda ni aliyetupa hii zawadi ila mwenye jukumu la kuutunza ni la mwenye huo uhai. Ebu juchukulie wewe kwanza maamuzi uliyowahi kuyachukua kwa kufuata mihemko yako yakikufikisha wapi?

Kijana anapaswa kuwa unpredictable kwa sasa, atulize akili.
 
Sijamshauri nimetoa maoni yangu. Wewe unadhani unampenda zaidi ya familia yake? Uhai ni zawadi mwenye uwezo wa kuulinda ni aliyetupa hii zawadi ila mwenye jukumu la kuutunza ni la mwenye huo uhai. Ebu juchukulie wewe kwanza maamuzi uliyowahi kuyachukua kwa kufuata mihemko yako yakikufikisha wapi?

Kijana anapaswa kuwa unpredictable kwa sasa, atulize akili.
Uko sahihi simanzi inakwenda kwa familia yake. Kwa upande mwingine huenda risasi imemuachia majeraha ya kisaikolojia ambayo hayataponyeka kamwe. Na athari zake ndio msingi wa akifanyacho sasa. Na hili analisema sana kuwa yeye alishakufa tayari.
 
Unamuuma mwenzio halafu unapata ajali ya gari unaumia vibaya halafu jamii inakuona mzigo inakutekeleza. Hapo ndio unapojutia ubaya wako maana unakuwa kitandani unauguza kiuno kiliovunjika
 
Hii maana yake ni kwamba maisha ya dogo ndo ya hivi mpaka mwisho... Kwa ufupi tayari Yuko black listed Kila Kona.
 
Edgar Mwakabela maarufu kama Sativa ambaye ni muhanga wa matukio ya utekaji, leo hii amelipia matangazo ya Instagram ili kuanika uhalifu unaofanywa baadhi ya askari wa jeshi la polisi.

Haya ameyaeleza Sativa katika ukurasa wake wa Twitter (X) leo tarehe 06/10/2024, ambapo ametenga bajeti ya Tshs. 135,000/= kwa muda wa siku tano kulipia matangazo hayo.

Ifuatayo ni nukuu kutoka kwenye ukarasa wa X wa Sativa:

MULILO TIME YO SHINE.🔥
Mnalipa CHAWA 20k wanichafue.

Mimi nawalipa INSTAGRAM kuaniaka uchafu wenu.

@tanpol u messed w/ GEN Z.

Budget $50 = 135,000/= TSH.
Duration: siku 5.

@tanpol shindaneni na Technology.😁

Let's Cruise🤝

Mwisho wa kunukuu.

View attachment 3116835View attachment 3116836
Pia soma: Kuelekea 2025 - Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata nikipotea kesho Jeshi la Polisi litakuwa limehusika
Siku anajizahau hamna ushahidi watamalizia
 
Ameanza kutumika vibaya
Wanaotumika vibaya ni haya majambazi yanayoteka watu. Shetia zipo wazi, kama mtu anakosa akamatwe ashtakiwe, lakini haya mashetani badala ya kumkamata mtuhumiwa, yanateka na kuua. Haya wacha yashambuliwe kwa nguvu zote. Lakini Polisi wanaofanya kazi kwa kufuata sheria, waheshimiwe, wapongezwe na kutiwa moyo.
 
Back
Top Bottom