Pre GE2025 Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata nikipotea kesho Jeshi la Polisi litakuwa limehusika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maneno hayo hutolewa na aidha mtu ambaye hayajamkuta,hufikiria mwisho wa pua yake au hajapata uchungu hata wa mtoto/nduguye kutendwa unyama.
Yatamkuta vipi huyo anaendelea kufanya kazi zake haangaiki na yasiyo muhusu ,ukitaka yasikukute kuwa busy na mishe zako sasa wengi humu ndani wamebaki keyboard warrior,nendeni fb,x na IG mkatetee wenzenu ,kuwaacha wenzenu sio sawa.
 
Kama yeye kakubaliana na kilichompata asitegemee kuna mtu atakua na uchungu nae baada ya kutekwa kwa mara nyingine, hapo kazungukwa na wanafki wanaotumia hayo matukio kujijenga kisiasa Kama wangekua na uchungu na uhai wa watu wasingekubali la Ben sanane lipite Kama lilivyopita, ila hakuna hatua zozote
Kama ndivyo uwazavyo ni vema usisumbuke na yeye.Ungetulia tu kama unavyoshauri atulie.
 
Jamaa unajizima data balaa 😃
We unachoshauri ni nini jikite kwenye mada , au ndo miongoni mwa wanaharakati wanafki mnaowaambia watu mko nyuma yao ila yakiwapata matatizo hakuna hata mmoja anaejitokeza kuandamana hadharani?
 
Yatamkuta vipi huyo anaendelea kufanya kazi zake haangaiki na yasiyo muhusu ,ukitaka yasikukute kuwa busy na mishe zako sasa wengi humu ndani wamebaki keyboard warrior,nendeni fb,x na IG mkatetee wenzenu ,kuwaacha wenzenu sio sawa.
Kunichagulia upande wa muelekeo na kunipangia cha kufanya nao ni utovu wa akili na adabu.
 
Yatamkuta vipi huyo anaendelea kufanya kazi zake haangaiki na yasiyo muhusu ,ukitaka yasikukute kuwa busy na mishe zako sasa wengi humu ndani wamebaki keyboard warrior,nendeni fb,x na IG mkatetee wenzenu ,kuwaacha wenzenu sio sawa.
Na hiyo ndio silaha yangu Mimi mawazo yangu ni kutafuta pesa tu hayo mengine nimewaachia wajinga. Na kama unavyojua wajinga hawaishi
 
Watu wanauelewa mdogo sana kuhusu sheria Yeye ndo aende kuwashitaki hao polisi muda huu akiwa hai kwa kesi ya kuteka na attempt murder kama anasubiri atekwe na auwawe alafu watu watumie hiyo tweet kuwashitaki polisi hiyo kesi kushinda ni ndoto ya abunuwasi
KAMA MAHAKAMA NA BUNGE VINAKANUSHA UNATEGEMEA NANI HAKUPOKEE KWENYE SERIKALI YA SAMIA
 
We unachoshauri ni nini jikite kwenye mada , au ndo miongoni mwa wanaharakati wanafki mnaowaambia watu mko nyuma yao ila yakiwapata matatizo hakuna hata mmoja anaejitokeza kuandamana hadharani?
Unataka nikueleze nachoshauri, hapo hapo umejipa majibu mwenyewe, mkuu hapo tu tayari ni kiashiria kuwa unajizima data kama nilivyosema awali.
 
Kama ni hivyo,basi unajipotezea muda kwa kumjadili huyo Sativa.Ni vema uendelee kutafuta hela ambazo haukuwahi kuzipoteza wala kuzimiliki lakini unazitafuta.
Wajinga ni kama sativa na wewe wanaotafuta kiki mtandaoni kwasababu ya umasikini wao ukifa watu watakufukia halafu hawana habari na wewe ukiwa chini ya ardhi Kwa ajili ya kutafuta kiki
 
Unataka nikueleze nachoshauri, hapo hapo umejipa majibu mwenyewe, mkuu hapo tu tayari ni kiashiria kuwa unajizima data kama nilivyosema awali.
Ushauri wako siuhitaji mimi jikite kwenye mada.
 
Kama ni hivyo,basi unajipotezea muda kwa kumjadili huyo Sativa.Ni vema uendelee kutafuta hela ambazo haukuwahi kuzipoteza wala kuzimiliki lakini unazitafuta.
Vijana wapatiwe ushauri wa kujiongezea kipato siasa za africa haziwezi wasaidia ukipoteza maisha watu watakusikitikia na utakuwa mtaji wa wanasiasa wa vyama pinzani,huu ni ujinga unawapa hasara ndg zako kwa faida ya watu wachache
 
Kiki?Nini kiki kwa mikikimikiki?Inawezekana umekuta tu mtaani neno kiki linatumika bila wewe kujishughulisha kulielewa maana yake na muda wake wa matumizi.
Endeleeni kutafuta kiki mtandaoni na huo ugumu wa maisha hautoisha Kwa staili ya kutafuta kiki
 
Watu wanauelewa mdogo sana kuhusu sheria Yeye ndo aende kuwashitaki hao polisi muda huu akiwa hai kwa kesi ya kuteka na attempt murder kama anasubiri atekwe na auwawe alafu watu watumie hiyo tweet kuwashitaki polisi hiyo kesi kushinda ni ndoto ya abunuwasi
Hana mshauri mwenye upeo mkubwa!
 
Vijana wapatiwe ushauri wa kujiongezea kipato siasa za africa haziwezi wasaidia ukipoteza maisha watu watakusikitikia na utakuwa mtaji wa wanasiasa wa vyama pinzani,huu ni ujinga unawapa hasara ndg zako kwa faida ya watu wachache
Na ni vema ukapigiwa makofi kwa akili hizo.
 
Back
Top Bottom