Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kama ni rahisi hivyo,hebu jikate hata kidole tu ili tuone kiki utakayoipata.Aendelee kutafuta kiki ataipata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni rahisi hivyo,hebu jikate hata kidole tu ili tuone kiki utakayoipata.Aendelee kutafuta kiki ataipata
Jamaa unajizima data balaa 😃Kama anachaguo hilo la kutokufungua basi atulie hivyo hivyo asiwape watu baki jukumu ambalo yeye kaona halina umuhimu kwake
Yatamkuta vipi huyo anaendelea kufanya kazi zake haangaiki na yasiyo muhusu ,ukitaka yasikukute kuwa busy na mishe zako sasa wengi humu ndani wamebaki keyboard warrior,nendeni fb,x na IG mkatetee wenzenu ,kuwaacha wenzenu sio sawa.Maneno hayo hutolewa na aidha mtu ambaye hayajamkuta,hufikiria mwisho wa pua yake au hajapata uchungu hata wa mtoto/nduguye kutendwa unyama.
Kama ndivyo uwazavyo ni vema usisumbuke na yeye.Ungetulia tu kama unavyoshauri atulie.Kama yeye kakubaliana na kilichompata asitegemee kuna mtu atakua na uchungu nae baada ya kutekwa kwa mara nyingine, hapo kazungukwa na wanafki wanaotumia hayo matukio kujijenga kisiasa Kama wangekua na uchungu na uhai wa watu wasingekubali la Ben sanane lipite Kama lilivyopita, ila hakuna hatua zozote
We unachoshauri ni nini jikite kwenye mada , au ndo miongoni mwa wanaharakati wanafki mnaowaambia watu mko nyuma yao ila yakiwapata matatizo hakuna hata mmoja anaejitokeza kuandamana hadharani?Jamaa unajizima data balaa 😃
Kunichagulia upande wa muelekeo na kunipangia cha kufanya nao ni utovu wa akili na adabu.Yatamkuta vipi huyo anaendelea kufanya kazi zake haangaiki na yasiyo muhusu ,ukitaka yasikukute kuwa busy na mishe zako sasa wengi humu ndani wamebaki keyboard warrior,nendeni fb,x na IG mkatetee wenzenu ,kuwaacha wenzenu sio sawa.
Na hiyo ndio silaha yangu Mimi mawazo yangu ni kutafuta pesa tu hayo mengine nimewaachia wajinga. Na kama unavyojua wajinga hawaishiYatamkuta vipi huyo anaendelea kufanya kazi zake haangaiki na yasiyo muhusu ,ukitaka yasikukute kuwa busy na mishe zako sasa wengi humu ndani wamebaki keyboard warrior,nendeni fb,x na IG mkatetee wenzenu ,kuwaacha wenzenu sio sawa.
KAMA MAHAKAMA NA BUNGE VINAKANUSHA UNATEGEMEA NANI HAKUPOKEE KWENYE SERIKALI YA SAMIAWatu wanauelewa mdogo sana kuhusu sheria Yeye ndo aende kuwashitaki hao polisi muda huu akiwa hai kwa kesi ya kuteka na attempt murder kama anasubiri atekwe na auwawe alafu watu watumie hiyo tweet kuwashitaki polisi hiyo kesi kushinda ni ndoto ya abunuwasi
Unataka nikueleze nachoshauri, hapo hapo umejipa majibu mwenyewe, mkuu hapo tu tayari ni kiashiria kuwa unajizima data kama nilivyosema awali.We unachoshauri ni nini jikite kwenye mada , au ndo miongoni mwa wanaharakati wanafki mnaowaambia watu mko nyuma yao ila yakiwapata matatizo hakuna hata mmoja anaejitokeza kuandamana hadharani?
Kama ni hivyo,basi unajipotezea muda kwa kumjadili huyo Sativa.Ni vema uendelee kutafuta hela ambazo haukuwahi kuzipoteza wala kuzimiliki lakini unazitafuta.Na hiyo ndio silaha yangu Mimi mawazo yangu ni kutafuta pesa tu hayo mengine nimewaachia wajinga. Na kama unavyojua wajinga hawaishi
Wajinga ni kama sativa na wewe wanaotafuta kiki mtandaoni kwasababu ya umasikini wao ukifa watu watakufukia halafu hawana habari na wewe ukiwa chini ya ardhi Kwa ajili ya kutafuta kikiKama ni hivyo,basi unajipotezea muda kwa kumjadili huyo Sativa.Ni vema uendelee kutafuta hela ambazo haukuwahi kuzipoteza wala kuzimiliki lakini unazitafuta.
Ushauri wako siuhitaji mimi jikite kwenye mada.Unataka nikueleze nachoshauri, hapo hapo umejipa majibu mwenyewe, mkuu hapo tu tayari ni kiashiria kuwa unajizima data kama nilivyosema awali.
Kiki?Nini kiki kwa mikikimikiki?Inawezekana umekuta tu mtaani neno kiki linatumika bila wewe kujishughulisha kulielewa maana yake na muda wake wa matumizi.Wajinga ni kama sativa na wewe wanaotafuta kiki mtandaoni kwasababu ya umasikini wao
Vijana wapatiwe ushauri wa kujiongezea kipato siasa za africa haziwezi wasaidia ukipoteza maisha watu watakusikitikia na utakuwa mtaji wa wanasiasa wa vyama pinzani,huu ni ujinga unawapa hasara ndg zako kwa faida ya watu wachacheKama ni hivyo,basi unajipotezea muda kwa kumjadili huyo Sativa.Ni vema uendelee kutafuta hela ambazo haukuwahi kuzipoteza wala kuzimiliki lakini unazitafuta.
Endeleeni kutafuta kiki mtandaoni na huo ugumu wa maisha hautoisha Kwa staili ya kutafuta kikiKiki?Nini kiki kwa mikikimikiki?Inawezekana umekuta tu mtaani neno kiki linatumika bila wewe kujishughulisha kulielewa maana yake na muda wake wa matumizi.
Hana mshauri mwenye upeo mkubwa!Watu wanauelewa mdogo sana kuhusu sheria Yeye ndo aende kuwashitaki hao polisi muda huu akiwa hai kwa kesi ya kuteka na attempt murder kama anasubiri atekwe na auwawe alafu watu watumie hiyo tweet kuwashitaki polisi hiyo kesi kushinda ni ndoto ya abunuwasi
Ushauri wako siuhitaji mimi jikite kwenye mada.
Nimekuwekea comment yako ya ulichosema awali, halafu hapa tena unasema ushauri wangu huuhitaji, hii ni dalili ya pili pia ya kile nimesema awali, unajizima data.We unachoshauri ni nini
Unachukua hatua gani sasa? Na utailaani hadi lini?Polisi ni Kazi ya laana mpaka kifo
Na ni vema ukapigiwa makofi kwa akili hizo.Vijana wapatiwe ushauri wa kujiongezea kipato siasa za africa haziwezi wasaidia ukipoteza maisha watu watakusikitikia na utakuwa mtaji wa wanasiasa wa vyama pinzani,huu ni ujinga unawapa hasara ndg zako kwa faida ya watu wachache
Jielimishe chanzo na maana ya neno kiki halafu upanguse kamasi uje uendelee kucharaza muandiko hapa.Endeleeni kutafuta kiki mtandaoni na huo ugumu wa maisha hautoisha Kwa staili ya kutafuta kiki