SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

Basi jambo usilokuwa na reference nalo ni la kulikalia kimya, hivyo tu.
Wewe huna akili, mimi nikiweka matusi hapa kilamtu akija ataona nipo against Sativa na naungana na waliomteka hatujua tumeanzia wapi wakati mpishano wetu ulikuwa mdogo tu.....YOU CANT THINK THIS WAY.

Nimempa jamaa njia ya kufanya hat wewe unaweza kwenda kwenye page kusachi hayo matusi inatosha sio kulazimisha kunijengea agenda za kijingajinga hapa....USE YOUR BRAIN.
 
Kama Lisu na school mate wangu Dokta Ulimboka.
 
Lakini Tz si Kisiwa cha amani?
 
Dah watu wasiojulikana wanalaumiana mida hii.
 
Mwananchi ampeleke Karakana ya Polisi Oesterbay hiyo Access mwananchi wa Kawaida anaitoa wapi??

Na bado asubuhi amchukue ampeleke Arusha ampeleke katavi pia akampige risasi???

Mwananchi wa Kawaida?? Really??
Atakuwa mwananchi anayemiliki kituo cha Polisi.

Hivi utaratibu ukoje kwa raia anayetaka kuwa na kituo chake binafsi cha Polisi?
 
Tukifa tutajibu nini kwa MUUMBA?.
Haya maisha ni zawadi tu tumepewa kwa kitambo kidogo.

Mambo ya dunia yasitufanye kusahau kuwa sisi ni kama ua huchanua na kupendeza ila mwisho hunyauka
 
TUKANA UONE alafu onyesha Sura utatafutwa tu hata ujichimbie handaki ujifukie Chini watakufuata huko huko as long as Sura yako wanaijua
 
maelezo yake yanamwonyesha anamaumivu makali huwenda yakapelekea kutota picha kwa ufasaha au pengine waliomfanyia hayo(watu wenye hasira kali) wakawa wamemtisha na kumpa maelezo hayo ndio ayatoe kwa maslahi yao binafsi.
Mbona majibu yako ya ajabu sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…