SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

Duuuh Hivi hawa wasioujulikana wao hawana mioyo ya nyama km binadamu wengine? Utu je? Huruma na Hofu? Woga nao?

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Wamekuwa trained kutomhurumia binadamu, wamekuwa trained kuua.
 
Nafikiri huo utaratibu sio sawa kila mtu akiamua kufanya hivyo tutageuka kama somalia tuheshimu mamlaka za maamuzi
Kafunzwa adabu hajauawa kikatiri ni funzo tu siku nyingine akigusa shavu akumbuke kua kutukana sio vizuri itamkumbusha pia kwamba Bange sio nzuri kwa afya ya akili
 
Joined August 7, 2023
We bado ni form one
Akili Sifuri hizi JF unaweza ukawa na akaunti mpya kila Mwaka hata km una akaunti tangu 2008 huko, Wewe kula Bange zako usizi Mzee naona tayari zishakupanda kichwani unaanza kutema ujinga
 
Akili Sifuri hizi JF unaweza ukawa na akaunti mpya kila Mwaka hata km una akaunti tangu 2008 huko, Wewe kula Bange zako usizi Mzee naona tayari zishakupanda kichwani unaanza kutema ujinga
Weka account Yako ya zamani we mkunduh
 
Jamaa mpuuz anatukana watu alaf picha ipo on, au dm ipo wazi watu wanatafuta uzaifu wako tu unadakwa kama kenge
Adhabu ya kutukana nchi hii ni kutekwa na kupigwa risasi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…