SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

Hawa wasiojulikana na death squads ni coordination ya uvccm ,polisi na TISS
Ushenzi Sana hii nchi
 
Hawa wasiojulikana na death squads ni coordination ya uvccm ,polisi na TISS
Ushenzi Sana hii nchi
20240628_060208.jpg
 
Ndio unatukana watu mtandaoni ukitegemea kwamba utachekewa kituo Cha Polisi? Unatukana ukitegemea unaenda chekelea mahakamani si ndio? Na Wewe nenda katukane upigwe msako wa Mbwa udakwe ujikute upo huko msitu ambao haujahi hata kufika
Kama kosa ni kutukana ,sheria zipo na sio huo upuuzi wa kuteka na kuua watu .
Ni nchi za kishenzi kama Tz ndio huu upumbavu unafanyika
 
Back
Top Bottom