SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

Waulize watekaji kwanini walienda kumtupa kwenye hifadhi ya pori la KATAVi ,Dr Ulimboka aliokotwa Msitu wa PANDE tar 27-June-2012 na SATIVA aliokotwa PORI la KATAVI 27-June-2024.
Unaona sasa unavyotoa details, ndo mana nakuambia utupe details vzr tuelewe mana ww unajua kila kitu, sasa mm niwaulize watekaji kwan nawajua?
 
Ni wapi alipoikosoa serikali?

Ameikosoaje au link ya alichosema au kupost.
 
Wasiojulikana bado wana nguvu, tahadhalini ndugu zangu 🙄
 
Hv amepigwa risasi ya kichwa au kwenye taya/mdomoni?
 
Ndugu zangu tujifunze sana kanuni za maisha. La sivyo tutajiponza au kuangamia tungali vijana wadogo sana. Ujasiri bila usalama binafsi ni ujinga.
Nakuunga mkono.mkuu...wakati wa matusi Kila mmoja atakua anatoa pongezi..lakini mtu ukitaitishwa..wanabaki kujificha kwenye keyboard,😂..

NB:wahuni tunajua mipaka yetu..maji mengine marefu
 
Kwa uelewa wako shavu liko kichwani au mat*koni?
Shavu siyo vital, tofauti na sehemu ya juu ya kichwa au pembeni,kidevu siyo kichwa,angekatwa kidevu usingetakiwa kusema kakatwa kichwa,ni miss information
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…