NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Watu kama nyie hamkupaswa kuishi dunian, mlipaswa kuishi kuzimu na mashetani wenzenuDaaaaa....wamemfilimbaa huyo hatakaa atukane serikali kamweer
Kuna kitu inabidi tujifunze. Haki na Amani vyote kuna gharama za kulipia ili uvipate. Kwa mentality kama yako ina maana hatukutakiwa kupambania uhuru maana wazungu wakikupata wanakunyonga.Ndugu zangu tujifunze sana kanuni za maisha. La sivyo tutajiponza au kuangamia tungali vijana wadogo sana. Ujasiri bila usalama binafsi ni ujinga.
Nje ya madam, mbagaAisee
Lakini dogo naye alikuwa anatukana sana.......maana kama zile screenshot nilizoona ni zake basi dogo alipitiliza.View attachment 3027772
Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.
Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya Rufaa Mkoa wa Katavi huku Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Martin Lohay akithibitisha kumpokea akiwa na majeraha.
Huyo ni Mungu Juha.Tumekusikia Mungu mtu
Logic ndogo hivi umeshindwa kuelewa, shuleni Mofimu huru ulikuwa unaelewa kweli?Kwahiyo amepigwa risasi ya kichwa ikatokea mdomoni na anaongea vizuri tu...basi sawa
Napata shida sana ..Huwezi pigwa risasi kichwani na upone,Tena uongee hivyo
Inaumiza sana aiseeView attachment 3027767
Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.
Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya Rufaa Mkoa wa Katavi huku Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Martin Lohay akithibitisha kumpokea akiwa na majeraha.
Pia soma
Imetokea kwenye taya, risasi umeingilia kichwani upande wa nyuma. Tafuta video upanue uelewa wako.Ahaaa kumbe taya. Basi sawa
Hapana mkuu nilikuwa sielewiLogic ndogo hivi umeshindwa kuelewa, shuleni Mofimu huru ulikuwa unaelewa kweli?
Watu walilambwa 😂Nje ya madam, mbaga
Eti ni nn ss mbona watu siwaoni naona ban tu
Mliendelea kwenye Uzi😔😄
Mungu anahaja nae bado.
Yan Mungu bado anamhitajo.
Yafaa kupitia hili amshukuru sana Mungu na atende yaliyo mapenzi ya Mwenyezi Mungu