SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

Naona kitengo limeanza kumkosanisha namba moja na raia!!

Yaani wanamuondolea uanademokrasia uliomtambulisha na kuja na identity nyingine ya udikteta!!

Mama kataa wahuni wanakuingiza mkenge kiaina ili ukose uhalali wa state kukuunga mkono!!
 
Ndugu zangu tujifunze sana kanuni za maisha. La sivyo tutajiponza au kuangamia tungali vijana wadogo sana. Ujasiri bila usalama binafsi ni ujinga.
Kuna kitu inabidi tujifunze. Haki na Amani vyote kuna gharama za kulipia ili uvipate. Kwa mentality kama yako ina maana hatukutakiwa kupambania uhuru maana wazungu wakikupata wanakunyonga.

Kama hatuwezi kuwasupport hawa watu wanaopaza sauti dhidi ya matendo maovu ya serikali basi angalau tusiwavunje moyo.
 
View attachment 3027772

Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.

Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya Rufaa Mkoa wa Katavi huku Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Martin Lohay akithibitisha kumpokea akiwa na majeraha.
Lakini dogo naye alikuwa anatukana sana.......maana kama zile screenshot nilizoona ni zake basi dogo alipitiliza.

Japo hakuna justification ya kumteka na kutaka kumuua.

Inaonekana waliomteka ni wale wale machawa aina fulani hivi wenye connection za ndani.
 
Hizi nchi zenye Sera ya kijamaa kama Tanzania,Urusi,China,North korea, etc.... Kuishi hizi nchi ni kama kkubali kuishi na Muuaji kwenye chumba chako tegemea lolote kwa siku yoyote,

Ndomaana watu wenye akili zao timamu huwa wakipata hela wanahamia nchi zinazojali Haki za binadamu kama Marekani, Canada, England nk. Ila hizi nchi zetu za Dunia ya Tatu ni zaidi ya Upumbavu.
 
View attachment 3027767
Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.

Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya Rufaa Mkoa wa Katavi huku Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Martin Lohay akithibitisha kumpokea akiwa na majeraha.

Pia soma
Inaumiza sana aisee
 
Mungu anahaja nae bado.
Yan Mungu bado anamhitajo.
Yafaa kupitia hili amshukuru sana Mungu na atende yaliyo mapenzi ya Mwenyezi Mungu

Sure maana Pori la katavi lina simba wala watu na pia wasiojilikana wamemiss-target ya kupiga kwenye ubongo wakapiga kwenye TAYA ,jamaa bado kazi aliyotumwa hajaikamilisha.

Kumbuka Alipelekwa Arusha kisha KATAVI.

->Kama lengo lilikua kumpeleka Katavi, njia rahisi ingekua kupita Mbeya au Tabora. Kwanini wazungukie Arusha? Walienda kumfuata nani Arusha?

->Je aliyeorganize unyama huo yupo Arusha? Ni nani anaishi Arusha mwenye uzoefu wa kuteka, kutesa na kuua?

Lissu alivyopigwa risasi ,kuna mtu alionekana Dodoma siku ya Tukio na hakuwepo kabisa kwenye sherehe za ikulu ambapo si kawaida yake ,kutekwa kwa Sativa na kupelekwa Arusha ,KUNANI?
 
Back
Top Bottom