Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’

Wakuu haya mambo ya kunyakuana Bado yapo?!! Tuligemea yameisha Waliokuwa wanalaumu awamu ya sita kuhusu mambo ya kunyakuana wanalipi la kutuambia huko Twitter Leo amepatikana kijana aliepotea toka jumapili jijini dar es salaam nakupatikana katavi akiwa ameteswa vibaya sana watu tulijua haya mambo yalishaisha wakuu picha ya kijana aliepotea hapo chini👇
 

Attachments

  • 20240627_113039.jpg
    45.8 KB · Views: 3
Yaani hii ndio treatment tunauowapa GenZ wetu kwa kuhoji Serikali yao?!.

Kubinya Korodani?! Mama huko uendako unaanza kutuonyesha your true colors kuwa wewe ni Magufuli mwenye Ushungi.
 
Tuanze kupaza sauti sasa, hayo mambo yao ya kishamba ya kutekana kwanza ni uoga. Tusisubiri mpaka watu 10 wakapotea.

Anayeona hataki kusemwa na haongozi ipasavyo, aende akalee wajukuu. Hakuna anayemtaka kwanza atupishe chura kiziwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…