Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’

Bi Chura Kiziwi aliposema hajibu mtu mnafikir hakuwa na akili? Ule ulikuwa mtego maana anafinya kimya kimya.
Anajibu kwa vitendo, tutegemee watu kuanza kupotea na kukutwa kwa maiti kwenye sandarusi.
 
Constructive criticism ndio mpango mzima!!

System kama itaruhusu haya ita signal mawindo ya wao kwa kwa wao!!
Sequence and series ya matukio itafuata!
 
Reactions: I M
Tuanze kupaza sauti sasa, hayo mambo yao ya kishamba ya kutekana kwanza ni uoga. Tusisubiri mpaka watu 10 wakapotea.

Anayeona hataki kusemwa na haongozi ipasavyo, aende akalee wajukuu. Hakuna anayemtaka kwanza atupishe chura kiziwi.
Dear Luv huogopiiii?
 
 
Hapo wanapanga kumpelekw police kwanza kabla ya kumfikisha hospitali!
Unbelievable.
Wako sahihi mzee wangu, hosp zetu hawakutibu bila pf3. Hata ukimleta mgonjwa ukasema naenda kuleta pf3 ukirudi utamkuta mgonjwa wako yupo vile vile wakiona huruma sana labla wampe paracetamol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…