Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Wnachofanya ni ujinga, miasha ya duniani tunapita tu .Kwahiyo waliofanya hivyo wameenda mbinguni? Kama siyo wamejichumia dhambi kubwa ambayo iko siku watalazimika kuijibia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wnachofanya ni ujinga, miasha ya duniani tunapita tu .Kwahiyo waliofanya hivyo wameenda mbinguni? Kama siyo wamejichumia dhambi kubwa ambayo iko siku watalazimika kuijibia?
Anajibu kwa vitendo, tutegemee watu kuanza kupotea na kukutwa kwa maiti kwenye sandarusi.Bi Chura Kiziwi aliposema hajibu mtu mnafikir hakuwa na akili? Ule ulikuwa mtego maana anafinya kimya kimya.
Kuwafumba mdomo ukiropoka clip inarushwa tuIvi kuna ulazima wa kuwafanyia hivyo wakiwakamata? Maana hata yule rapa wa Tanga aliepo marekani akusema ila si ajabu walimnanii.
Kumfanyejeee?Hawajamnanii kweli
Pika chakula cha SuguKumekucha tena
Erythrocyte alidai kuwa Bwana yule ndiye alikuwa mtekaji,CCM ni ile ile na ushetani wake ni uleule
Huyo dogo si Mnyakyusa ni watu wa Mbozi huko. SI MNYAKYUSA. niliuliza kwa wadau ndo wakasema huyo si mnyakyusa ni kabila flani toka MboziWanyakusa ni Watu Majasiri sana sijui huyu Lucas Mwashambwa ni wa wapi?!
Au yeye ni mbegu ya mpitanjia alieamua kupumzika Mbeya?!
Dear Luv huogopiiii?Tuanze kupaza sauti sasa, hayo mambo yao ya kishamba ya kutekana kwanza ni uoga. Tusisubiri mpaka watu 10 wakapotea.
Anayeona hataki kusemwa na haongozi ipasavyo, aende akalee wajukuu. Hakuna anayemtaka kwanza atupishe chura kiziwi.
JPM alisingiziwa mabaya mengi sana na Chadema 😔Hangaya naye kaanza haya mambo?
Sasa mnapiga kelele ushoga hamuutaki, ila kuufanya mnatakaaa?Kuwafumba mdomo ukiropoka clip inarushwa tu
Wakina nani haoSasa mnapiga kelele ushoga hamuutaki, ila kuufanya mnatakaaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mpuuzi pamoja na Erythrocyte walikalia rungu ndio mana ujasiri wa kiume umewatokaWanyakusa ni Watu Majasiri sana sijui huyu Lucas Mwashambwa ni wa wapi?!
Au yeye ni mbegu ya mpitanjia alieamua kupumzika Mbeya?!
Wakuu Salama,
Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio.
Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele kuhusu hili hata mmojawapo wa viongozi wa ACT Wazalendo Rahma Mwita alizungumza suala hili kwenye kwenye XSpaces jana 26/6/2024 kuwa yupo tayari kujiyolea muda wake kuambatana na ndugu wa kijana huyo kwenda kwenye vyombo vya habari na asasi mbalimbali za kiraia kupaza sauti kuhusu kupotea kwa kijana huyu.
Edgar anaishi Kimara kwa Msuguli na amepatikana katika Hifadhi ya Katavi akiwa amepigwa sana, hali yake ikiwa si nzuri.
Kama kelele zisingepigwa huyu ndio ilikuwa ntolee, halafu kuna chawa wanaotetea ujinga kila siku.
Aisee, wakati wa kubadilika ni sasa, mtu akipotea wote tupige kelele, serikali ikienda kushoto wote tupige kelele. Isiwe kazi ya wanaharakati wachache au watetezi wa haki za binadamu, peke yao hawawezi. Tukiungana wote tunakuwa na nguvu.
Tuendeleze hashtag Wakuu, #KataaMachawa #KataaUozo2025, amsha kila Bilà shaka ile kauli ya yule dogo wao inafanya kazi
Leo hii ad yule chawa wa mbowe miss Erythrocyte anauliza mama nae ameanza mambo haya wakati alituaminisha mama yuko safi ila JPM ndio shetani 😂Nasoma tu comment za wale wanafiki waliozoea kuimba enzi za utekaji zilipita, kwasababu wanampenda sana mama yao.
Wako sahihi mzee wangu, hosp zetu hawakutibu bila pf3. Hata ukimleta mgonjwa ukasema naenda kuleta pf3 ukirudi utamkuta mgonjwa wako yupo vile vile wakiona huruma sana labla wampe paracetamolHapo wanapanga kumpelekw police kwanza kabla ya kumfikisha hospitali!
Unbelievable.
Erythrocyte usimfanananishe na huyo mbubujikwa machozi Mwamala unaposoma.Huyo mpuuzi pamoja na Erythrocyte walikalia rungu ndio mana ujasiri wa kiume umewatoka