Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’

Nyie mlikuwa mnamsema JPM na sio ccm. Vp mmeanza kubadili kauli baada ya chai ya Ikulu na vibahasha kuisha?
Utakuwa mlevi wa dengerua wewe hayo ulinisikia wapi nikiyasema, ninachojua dhalim magufuli ndiye aliasisi huu ushenzi na serikali ya chama chake bado inaendeleza udhalim huo lini nilisema CCM wameacha udhalim.
 
Dah!mwamba kama maskhara vile
Tokea jumapili hadi leo ndo anaonekana tena akiwa kwenye hali ngumu ivo
Hakika mungu yupo,inshallah Mungu akamrudishie afya.
#kikubwa uhai
 
Utakuwa mlevi wa dengerua wewe hayo ulinisikia wapi nikiyasema, ninachojua dhalim magufuli ndiye aliasisi huu ushenzi na serikali ya chama chake bado inaendeleza udhalim huo lini nilisema CCM wameacha udhalim.
Kwahy awamu za nyuma ya JPM kulikuwa hakuna haya mambo?
 
Samia ana uroho wa madaraka na kupenda kusifiwa kuliko alivyokuwa Magufuli
 
Unadhani ni rahisi, mwakyembe walimng'oa meno kwa plaiz hapa, alipofikishwa afrika kusini kupata tiba, akasema akirudi atasema yote atawataja woote, kiko wapi alirudi na akapoa, sijui yuko wapi siku hizi
 
Kumbe mwakyembe alinyofolewa meno?
 
Hivi mwanaume unawezaje kusimamisha dushe kwa mwanaume mwenzako?

Mimi naamini hao wanaofanya michezo hiyo wameshafirika sana sasa wanalipiza kwa innocent people.
Watu wameajiriwa kwa ajili ya hy kazi afu ww unakuja kusema ety wameshafirika? Hao n wazima kabisa ila wanawafanyia hvy mana n kazi yao, sasa siku utekwe ndio utajua vzr
 
Kumbe mwakyembe alinyofolewa meno?
Hii hauijui n kwa sababu enzi hizo Chadema walipewa kila wanachotaka na awamu ile ila ingekuwa n awamu ya JPM ambaye hakutaka upuuzi wao wangeongea mpaka watoto wako ambao hawajazaliwa wangejua
 
Kmmyk..msng ww
 
Maiti kukutwa kwenye sandarusi ni handwork ya magufuli na yule nyamitako wake
Sawa, naona bado marehemu anaendeleza handwork yake 😂
Sasa mm nasema hv, hiyo mimba mliyopewa na JPM hamuwezi kujifungua kamwe na imeshapita miaka mitatu bado mna mimba yake.
 
Samia ana uroho wa madaraka na kupenda kusifiwa kuliko alivyokuwa Magufuli
Eh c mlikuwa mnamsifia na kusema JPM ndio shetani, vp tena mkuu mbona ghafla hvy mnabadili kauli 😂
 
Sawa, naona bado marehemu anaendeleza handwork yake 😂
Sasa mm nasema hv, hiyo mimba mliyopewa na JPM hamuwezi kujifungua kamwe na imeshapita miaka mitatu bado mna mimba yake.
We ulevi wa dengerua haujakutoka narudia tena kuwa udhalimu alioasisi magu bado unaendelezwa na serikali ya chama chake au humsikiagi chura kiziwi kauli mbiu yake kuwa kazi iendelee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…